Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

Heroin the opioid hiyo ishafanya yake kwenye ubongo, heroin imesababisha respiratory depression kwenye brain stem ikapelekea mapafu kushindwa kufanya kazi.....anyway jamaa kafa akiwa anaexperience Euphoria ya kipekee huku pumzi inakatika
Euphoria ni kweli raha yake ni Mara 200 kuliko unavyofika kileleni ukiwa na mwanamke, hapo watumiaji hawawezi kuacha.
 
Nini alichokifanya Makonda katika vita dhidi ya madawa
hujanielewa,nawacheka wanaosema kwamba hizi ni juhudi za makonda..ni wajinga wa hali ya juu utadhani hakuna watu wenye weledi wa kufanya upelelezi na wenye kazi hiyo
 
Hapa DDC Keko, Dar es salaam, kwenye eneo la wazi, katika ukuta unaotenganisha eneo hilo na National Hotel, wakazi wamekusanyika kwa tahayuri baada ya kumuona kijana amelala ukutani na hapumui, inaonekana ameshakufa muda mrefu, kwasababu hata mwili wake umeganda hivyo hivyo alivyo.View attachment 480786View attachment 480796
Mkononi kijana huyu ana bomba la sindano bado lina ning'inia , kwahiyo inasadikika alikuwa amejidunga madawa ya kulevya.
Majirani waliofika eneo hili, wanasema vita ya Makonda dhidi ya dawa za kulevya inahitajika sana pamoja na mapungufu aliyonayo.
INAHITAJIKA SANAAA....MAKONDA AMEJITOA SANA KTK HILI...HATA KAMA ANAMAPUNGUFU LKN NAMPONGEZA SANA SANA
 
Vijana wanaangamia jamani na dawa za kulevya....eeh Mungu wanusuru watoto wa wetu
bashite anaharibu deal, angeacha promo ili makamanda wachukue mmoja mmoja kimya kimya, anatufukuzia mawindo.
 
Inaweza bado yuko steam kama ni heroin ni depressant ila kama masaa 6 kalala tu jaribuni kumthibitisha. Naona kamasi imecheua puani. Sad
 
dawa za kulevya kama ukimwi tu usipofuata misingi unao..
 
Kwahiyo umeamua kutoa somo namna ya kutumia madawa bila madhara?, ulaaniwe wewe na kizazi chako kwa kuwa unatangaza biashara iliyolaaniwa.

BTW: ujue pia kuwa katika kipindi hiki cha ukame wa dawa na njaa ya fedha ,watu wanaweza kuuza uchafu/sumu to serve both purposes. Ila post yako imeniudhi.
Mateja wengi hufa kutokana na kutokujua matumizi ya bomba la sindani,unajua unapovuta "dawa" kwa bomba la sindano unakua umevuta pia kiwango fulani cha hewa "Pressure"

Sasa kabla ya kumdunga "mgonjwa" hiyo dawa unatakiwa kwanza kulisukuma hilo bomba la sindano kidogo "kuli press" ili kurelease ile hewa iliyoingia na dawa kwenye bomba,

Ukijidunga bila kufanya hivyo,ile pressure itaenda direct kwenye mishipa ya damu na madhara yake ni kifo!

Kosa lingine ni kutokujua vipimo,mateja wengi hufa kwa kuji overdose,

Madawa ya kulevya ni kifo tujihadhari sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom