Jibu hojaKwa hakili yako unataka madawa yasiongelewa si ndio
Kutaja majina ya wauza madawa.Nini alichokifanya Makonda katika vita dhidi ya madawa
Maandiko yanasema kila mtu atafufuliwa. Kwa ajili ya hukumu.Una uhakika? Je wajua alimalizaje?
Kasome maandiko matakatifu kutoka kwenye Biblia.Atamfufuaje Mkuu?.
Maelezo tafwadhali.
Yupo Siang'a anapiga kimya kimya wala hakoseikweli kabisa inaonekana makonda akifa ghafla ndo basi tena hakuna vita dhidi ya madawa...pathetic fools
Walikuwa wapi siku zote, utetezi mwingine wa hovyo kabisahujanielewa,nawacheka wanaosema kwamba hizi ni juhudi za makonda..ni wajinga wa hali ya juu utadhani hakuna watu wenye weledi wa kufanya upelelezi na wenye kazi hiyo
Rumishael Shoo hakuwa muuzaji?, maana ninavyofahamu alikamatwaHv makonda kufanya nn? Kuna muuzaji hata m1 aliyemkamata? Jamani tuamkeni tutazame mambo kwa mtazamo chanya na faida endelevu za jambo husika
Ndicho kilichomkuta kijana huyo,Ni UKWELI..... Unga ukikosea mishipa ukajichoma KWENYE mishipa SIO.. Lazima ufe...
Mbona unabwabwaja tu? Chet ni lazima km unatumia cheti feki tukae kimya? Everything is naked about Bashite.Watanzania hebu tuweni na akili za kupambanua na kutofautisha mambo. Hivi kuna uhusiano gani kati ya cheti cha makonda na inshu ya madawa ya kulevya? Watu wamekomalia vyeti vyeti vyeti kama vyeti unataka kwani si uende ofisini kwake kamuombe kwani nn hamuendi mnaishia kupiga kelele mitandaoni. Angalieni madhara ya haya madawa nimakubwa sana. Na wengi wanaoshadadia ni wanaume maana uchungu wa kuathirika vijana wao wengi hawana ila wakina mama ukiongea nao wanaumia sana.
Sijawahi kuona duniani eti mwenyekiti wa mtaa anataja wauza unga..kwn police kazi yao nn?watu wenyewe tunaoishi kwa visasi mitaani...akikutaja wewe je?Ndicho kilichomkuta kijana huyo,
Tafsiri rahisi ni kwamba unga bado upo mtaani kama kawaida, viongozi wa serikali za mitaa wanawajua wauzaji ila wapo kimya
WAPUUZI KM WW NDIYO HUWA WANAULIZA SWALI KM HILOKama unauchungu kiasi hicho nenda ofisini kwake kamuombe mwenyewe co kupiga kelele humu mitandaoni . au kama vipi unavithibitisho nenda mahakamani kafungue kesi. Hapo ndo tutajua we we kidume unauchungu na kutochukuliwa hatuaa.
HAKUNA MTU ANAYEMPINGA BASHITE KUHUSU ISSUE YA MADAWA YA KULEVYA ILA WANAMPINGA KWA KUTUMIA CHETI CHA MTU. WENGI WAMEFUKUZWA MAKAZINI KWA VYETI FEKI IWEJE KIJANA WA KOLOMIJE? BASI WARUDISHEN WOTE MLIOWAFUKUZAWatanzania hebu tuweni na akili za kupambanua na kutofautisha mambo. Hivi kuna uhusiano gani kati ya cheti cha makonda na inshu ya madawa ya kulevya? Watu wamekomalia vyeti vyeti vyeti kama vyeti unataka kwani si uende ofisini kwake kamuombe kwani nn hamuendi mnaishia kupiga kelele mitandaoni. Angalieni madhara ya haya madawa nimakubwa sana. Na wengi wanaoshadadia ni wanaume maana uchungu wa kuathirika vijana wao wengi hawana ila wakina mama ukiongea nao wanaumia sana.