Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

Hapa DDC Keko, Dar es salaam, kwenye eneo la wazi, katika ukuta unaotenganisha eneo hilo na National Hotel, wakazi wamekusanyika kwa tahayuri baada ya kumuona kijana amelala ukutani na hapumui, inaonekana ameshakufa muda mrefu, kwasababu hata mwili wake umeganda hivyo hivyo alivyo.View attachment 480786View attachment 480796
Mkononi kijana huyu ana bomba la sindano bado lina ning'inia , kwahiyo inasadikika alikuwa amejidunga madawa ya kulevya.
Majirani waliofika eneo hili, wanasema vita ya Makonda dhidi ya dawa za kulevya inahitajika sana pamoja na mapungufu aliyonayo.
Halafu wenzake wanakuwa hawana hata huruma, huenda hata viatu ndo wamemvua
 
Wapi uliona shujaa! Mkombozi anakubalika kirahisi rahisi tu! Wenhi wao tena hukumbukwa na kuliliwa sana mauti yakiwakuta...nakuombea maisha marefu makonda! Nashangaa umetulia sasa hivi jembe la nchi wake up again
 
Watu wa humu wao wanadai cheti tena ni academic certificate. Ila umuhimu wa huyu wanae muita Bashite hawauoni hebu oneni vijana wanavyoangamia.
 
Kwahiyo umeamua kutoa somo namna ya kutumia madawa bila madhara?, ulaaniwe wewe na kizazi chako kwa kuwa unatangaza biashara iliyolaaniwa.

BTW: ujue pia kuwa katika kipindi hiki cha ukame wa dawa na njaa ya fedha ,watu wanaweza kuuza uchafu/sumu to serve both purposes. Ila post yako imeniudhi.
Jaribu kujifikirisha kabla ya kukurupuka,soma comment uielewe vizuri,watu wengi wanatumia mabomba ya sindano na hasa kwa wagonjwa wa kisukari,wengine hujidunga wao wenyewe,elimu yeyote itakua na manufaa au madhara kutokana na mpokea hiyo elimu atakavyoitumia,

Usipende kuchukulia kila kitu ni negative tu,jaribu kuchukulia vitu positive pia,usipende kumuhukumu mtu bila kujua nini lengo la comment yake,eti unanilaani!! Wewe ni kama nani? Jifunze kusoma comment na kuzielewa acha kukurupuka hovyo.
 
Inasikitisha Sana Kama Jamii Kwa Sasa Inajiaminisha Kuwa Hii Ni Vita Ya Daudi Bashite (Makonda)

Hii Ni Vita Ya Taifa Zima Ukimuona Hata Mtoto Wa Jirani Yako Mwitie Polisi

Mkiwa Mnasema Vita Ni Mtu Fulani Wakati Mtu Mwenyewe Si Safi Inatia Ukakasi Kidogo

Watanzania Tumekuwa Wadudu Wa Ajabu Sana, Kweli Elimu Ni Muhimu Sana
 
Makonda endelea kupiga kazi, wapinga madawa tupo nyuma yako
Watanzania wangapi wanatumia madawa ya kulevya? Watanzania wangapi wana cancer, kisukari, tb na kadhalika nani anawapigia chapuo la kupata matibabu sahihi, it is very pathetic tunashughulika na vitu vidogo tunaacha vinavyoumiza wananchi wengi wa vijijini.
 
Mm naxhangaa kwl mtu anatusaidia cc alafu bado tunamponda kias kile endeleen itawaxaidia coz xaxa hiv mtu ukifanya jema ndo mbaya na ukifanya baya ndo mwema viva makonda viva

Hii lugha Kiswahili ni made in Tanzania tunajivunia . Mbona unaandika vibaya . Ulisomea hivyo ?
 
Msitutoe kwenye reli. Vita dhidi ya madawa ya kulevya ipo; na ilikuwepo tangu (na hata kabla) huyu Daudi Bashite akiwa konda wa daladala kule Mwanza.

Tunataka vyeti bwana Daudi Bashite.
 
Damn..but any way r.i.p boy.but why they use to inject themself?better coctail
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom