mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,733
- 22,212
Sio kwl.....mm naishi kimara..nafanya shughuli zng mjini atanijuwaje huyo mwenyekiti...au atanipima MAENDELEO yangu?ndy ajuwe nauza madawa au siuzi?Hawa viongozi tupo nao kila uchwao kwenye mitaa yetu kipi wasichokijua katika mitaa yao chimbo nyingi za vijana wao wanazijua sana