Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

Durtete anawaua tu wauzaji wa madawa ya kulevya maana huko Philippines ni hali ni mbaya na wao ilianza kama hivi kwa sasa bongo... mungu atiepushe na hili janga.
 
Hakuna lengo lolote mkuu bali nilikua nachangia tu kama member wengine jinsi ambavyo kifo cha huyo kijana huenda kikawa kimesababishwa na nini? Mod's naomba muifute hiyo comment kama mtaona haifai pls....

Safi sana, kwa hiyo possibility ya kifo chake ni kama ulioyo eleza, Mod's wanaweza wakaunganisha comments zako ili ziende sawa.
 
atazinduka tu uyo stimu ikikata.. apo anajihisi kam yuko peponi vile.
 
Alafu eti matahira hii vita inageuzwa ya kisiasa, kidini na kimichezo!!
Hawajielewi shenzi type.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Halafu kuna watu wanapinga hii Vita. Wanaopinga walaaniwe kabisaaa
Hakuna mtu anayepinga ww mwanaccm.
Ila watu wanampinga kwa kutumia vyeti vya mtu. "BASI WARUDISHENI MAKAZINI MLIOWAFUKUZA" ILI HAKI ITENDEKE SBB NAO WALIKUWA WANAFANYA KAZI KM MAKONDA.
HAKUNA MTU ANAYEMPINGA BASHITE ILA WATU WANATAKA ACHUKULIWE HATUA KM WALE WAHALIFU WA VYETI MLIOWAFUKUZA.
CCM NI GENGE LA MAJANGILI LEO WANAMTETEA MUHALIFU. MM KM MWANAHARAKATI HUO UJINGA SIWEZI KUUKUBALI.
Hili suala la vyeti linaukweli 100% km anasingiziwa kwann asimshitaki Gwajima.
Na hii utawacost sana, kadri unyanyapaa unavyozid ndivyo chama kinaenda kufa
 
Huyo kijana anaweza kuwa ameuawa tu na watu wakaamua kumfanyia hivyo
 
Hapa DDC Keko, Dar es salaam, kwenye eneo la wazi, katika ukuta unaotenganisha eneo hilo na National Hotel, wakazi wamekusanyika kwa tahayuri baada ya kumuona kijana amelala ukutani na hapumui, inaonekana ameshakufa muda mrefu, kwasababu hata mwili wake umeganda hivyo hivyo alivyo.View attachment 480786View attachment 480796
Mkononi kijana huyu ana bomba la sindano bado lina ning'inia , kwahiyo inasadikika alikuwa amejidunga madawa ya kulevya.
Majirani waliofika eneo hili, wanasema vita ya Makonda dhidi ya dawa za kulevya inahitajika sana pamoja na mapungufu aliyonayo.
Kwani huyu Makonda amefanya nini kwenye vita ya madawa ya kulevya na matokeo ya kukumbukwa ya hatua zake ni yapi??! Ni kweli kwamba hii vita inamhitaji Makonda pekee na akikosekana imeshindikana au inahitaji sana njia 'mujarabu' alizotumia? Tumekamata kilo ngapi za unga kwenye vita vya Makonda? Wamekamatwa wauza unga wangapi na kesi zao zipo mahakama ipi? Wameokolewa mateja wangapi? Kiasi cha madawa kinachoingia kimepungua kwa kiasi gani?
 
Chadema mfurahie sasa
hizi habari kwenu nzuri
Mungu awalaani zaidi ya Laana mliyo nayo sasa.
Twende na Makonda
Tanzania bila madawa inawezekana
 
Halafu kuna watu wanapinga hii Vita. Wanaopinga walaaniwe kabisaaa
Walaaniwe wote wnaosababisha uovu na kutetea uovu wa kila aina!
Madawa ya kulevya ni uovu pia kugushi vyeti ni uovu ... ! Vyote hivi tuvikemee kwa sauti moja ndani jamii zetu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom