Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

Labda hayo madawa yalikuwa feki, si nasikia wauzaji siku hizi wanaongezea na "chapa mandashi" kwa mbali!
 
Mateja wengi hufa kutokana na kutokujua matumizi ya bomba la sindani,unajua unapovuta "dawa" kwa bomba la sindano unakua umevuta pia kiwango fulani cha hewa "Pressure"

Sasa kabla ya kumdunga "mgonjwa" hiyo dawa unatakiwa kwanza kulisukuma hilo bomba la sindano kidogo "kuli press" ili kurelease ile hewa iliyoingia na dawa kwenye bomba,

Ukijidunga bila kufanya hivyo,ile pressure itaenda direct kwenye mishipa ya damu na madhara yake ni kifo!

Kosa lingine ni kutokujua vipimo,mateja wengi hufa kwa kuji overdose,

Madawa ya kulevya ni kifo tujihadhari sana.
Duh hii elimu ni admu sana.
Sasa nambie tu hata kwa kuninong'oneza? Lengo la kuitoa hapa ni nini hasa?
 
Vita ya madawa ya kulevya iendelee ona sasa tumepoteza nguvu kazi ya Taifa. TANZANIA BILA MADAWA YA KULEVYA ITAWEZEKANA. ALUTA CONTINUE.
 
Huyo kafa kwa arosto
.

Dawa zimepanda katafuta bomba abangaize ila kakosa
 
Makonda alichokikifanya ni jaribio la kuizima mizizi ya upinzani huku akitumia mwavuli wa unga.
Anayebisha abishe.Hii serikali haina uchungu na wananchi na vijana wake,
NO.1 ya nchi hii ni CCM mengine ni kama ziada.
 
Bado tena mnahitaji makonda alete vyeti?? Au aendelee kupga kazi ili hawa wanaoangamiza vjana kama huyu aliekufa keko mikono yasheria iwapate??
 
Nashangaa sana kuna watu watamuonea huruma huyu teja.
"Mshahara wa dhambi ni mauti" Madawa ya kulevya ni sumu. Serikali zote dunian inapiga vita suala hili la madawa ya kulevya lkn wao ndiyo kwanza wanaona sifa.
Kutumia madawa ni hatari na kujitumbukiza ni ujinga wako tu.
Acha afe akutane na Moto wa jehanamu.
 
Mm naxhangaa kwl mtu anatusaidia cc alafu bado tunamponda kias kile endeleen itawaxaidia coz xaxa hiv mtu ukifanya jema ndo mbaya na ukifanya baya ndo mwema viva makonda viva
 
Bado tena mnahitaji makonda alete vyeti?? Au aendelee kupga kazi ili hawa wanaoangamiza vjana kama huyu aliekufa keko mikono yasheria iwapate??
Makonda ni muhalifu km wahalifu wengine. Nashangaa sana wanaccm kumtetea muhalifu wa vyeti. Mkumbuke kuna wengine mliwafukuza kwasbb ya kutumia vyeti vya watu.
"CCM ni chama cha majangili tu, iweje muwafukuze wengine na wengine muwatetee. Warudisheni wote.''
Naamin Bashite anatumia vyeti vya mtu, hiv na mbwembwe zake zote zile anashindwa kumchukulia hatua Gwajima km anamsingizia?
Nimeona watu wakubwa km manji wanashitakiwa iweje Gwajima?
"CCM NI CHAMA CHA MAFISADI"
 
Halafu kuna watu wanapinga hii Vita. Wanaopinga walaaniwe kabisaaa
 
Mateja wengi hufa kutokana na kutokujua matumizi ya bomba la sindani,unajua unapovuta "dawa" kwa bomba la sindano unakua umevuta pia kiwango fulani cha hewa "Pressure"

Sasa kabla ya kumdunga "mgonjwa" hiyo dawa unatakiwa kwanza kulisukuma hilo bomba la sindano kidogo "kuli press" ili kurelease ile hewa iliyoingia na dawa kwenye bomba,

Ukijidunga bila kufanya hivyo,ile pressure itaenda direct kwenye mishipa ya damu na madhara yake ni kifo!

Kosa lingine ni kutokujua vipimo,mateja wengi hufa kwa kuji overdose,

Madawa ya kulevya ni kifo tujihadhari sana.

Overdose hapo haisababishwi na kutojua vipimo.Dose ambayo mwanzo inampa raha baada ya matumizi ya muda mrefu inakuwa haitoshi tena kumpa raha ile ile.Inabidi aongeze kipimo kupata raha kama ile ya mwanzo.Itafikia siku itabidi achome dose kubwa kupita kiasi ili kupata raha kama aliyoipata mwanzo kwa dose ndogo,hapa sasa mwili unashindwa kuhimili hii dose na ndo hapo utasikia teja kafa kwa overdose.
 
Kwahiyo umeamua kutoa somo namna ya kutumia madawa bila madhara?, ulaaniwe wewe na kizazi chako kwa kuwa unatangaza biashara iliyolaaniwa.

BTW: ujue pia kuwa katika kipindi hiki cha ukame wa dawa na njaa ya fedha ,watu wanaweza kuuza uchafu/sumu to serve both purposes. Ila post yako imeniudhi.
Mkuu nasikitika sana kuona umetafsiri vingine comment yangu! Wala sikua na lengo ulilolifikiria wewe, anyway kama comment yangu itakua na impact mbaya naomba Mod's muifute please.
 
Mm naxhangaa kwl mtu anatusaidia cc alafu bado tunamponda kias kile endeleen itawaxaidia coz xaxa hiv mtu ukifanya jema ndo mbaya na ukifanya baya ndo mwema viva makonda viva
Warudisheni wote mliowafukuza waliokuwa wanatumia vyet vya watu.
Kipind mnaanzisha zoez za uhakiki wa vyeti mlikuwa mnatumia ma.ta.ko kufikiri
 
Duh hii elimu ni admu sana.
Sasa nambie tu hata kwa kuninong'oneza? Lengo la kuitoa hapa ni nini hasa?
Hakuna lengo lolote mkuu bali nilikua nachangia tu kama member wengine jinsi ambavyo kifo cha huyo kijana huenda kikawa kimesababishwa na nini? Mod's naomba muifute hiyo comment kama mtaona haifai pls....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom