Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

Keko, Dar: Teja afariki na bomba la sindano mkononi

Wauza madawa ni terrorists! Wanaua vijana wengi sana. Inasikitisha
 
Ndicho kilichomkuta kijana huyo,

Tafsiri rahisi ni kwamba unga bado upo mtaani kama kawaida, viongozi wa serikali za mitaa wanawajua wauzaji ila wapo kimya
Wanaogopa kusakamwa na kuzushiwa
 
Yan biashara ya dawa za kulevya mafanikio unayapata pale binadamu mwenzako anapogeuka chiz au yanapomtoa roho.Sasa hayo mafanikio yanatofauti gani na mtu anaepata utajili kwa mganga anaepewa masharti ya kumfanya mwanae chiz au kuua ndugu zake.Utajili wa dawa za kulevya ni utajili wa kishetan.It begins when you can inject pain or death to your fellow human being.
 
Lala Salama Kijana. Mungu atakufufua siku ya Mwisho.
Kufufuliwa atafufuliwa. Swali ni je, baada ya huo ufufuo atakwenda wapi? Sehemu ziko mbili tu ambazo ni mbinguni au kwenye moto wa.milele. siamini kama kwenye hali kama hii alipata muda wa kutubu. Wapendwa, tutubu tunapokuwa tuko hai. Tukishakufa hakuna sala yo yote itakayoleta badiliko.
 
WAPUUZI KM WW NDIYO HUWA WANAULIZA SWALI KM HILO
kusoma hujui hata picha tu? Ushajiuliza kwann Bashite hajamfunga Gwajima? Na kwann Wanaccm wenzake wamekaa kimya?
Jiangalie sana bwana mkubwa, haki itendeke. Kila kitu kipo uchi kuhusu bashite. Endeleen kubwabwaja tu ila kwenye uchaguz ndiyo mtawajua watz
UTAKUWA BASHITE WW
Tuwekeeni vithibitisho, hivi Gwajima ni ni wa kushughulika naye? Dini imeshindikana anabaki kuhangaika na matukio
 
Tuwekeeni vithibitisho, hivi Gwajima ni ni wa kushughulika naye? Dini imeshindikana anabaki kuhangaika na matukio
Siyo kuhangaika. Gwajima ni mtumishi wa Mungu na kazi yake ni kufichua maovu.
Km Gwajima anamsingizia kwann asimchukulie hatua? Mkuu ushahid upo katafuta magazeti yameelezea A TOZ about Bashite
Je, hiyo cyber crime ilitungwa kwa ajili ya mkuu wa nchi tu?
Watu wamepost mitandao, media zimeongea na kuandika A-Z about Bashite mbona hawajachukuliwa hatua?
Unafikiri kwann Ndalichako na Mama uhakiki wamekaa kimya?
Wapuuzi km ww ndiyo mtaendelea kumlinda Bashite
*Mkuki kwa wananchi ila kwa viongoz wa ccm ni mchungu*
Ndiyo ujue kati ya Bashite na Gwajima nani ni powerful? Hiv pamoja na mbwembwe zote zile anashindwa kumchukulia hatua km anasingiziwa? Umemsikiliza polepole? Tafuta uzi umo humu
CCM INAENDA KUFA MPAKA SASA UKIPITISHA ULE UTAFITI WA TWAWEZA UTAPATA 30% NYIE ENDELEEN KUWA VIZIWI. KUNA MENGI SANA AMBAYO WAPINZANI YATAWAFANYA WAWNDE IKULU
ILI MBAKIA MADARAKAN MNABID TUME YA UCHAGUZ IWE ILE ILE IKIBID JECHA AWEPO KBSA NA PIA MTUMIE MAJESHI LA SIVYO CCM ITAKUFA
KIZAZ CHA CCM KINAENDA KINATOWEKA TARATIBU LEO UKIWACHUKUA VIJANA 10 NI 3 TU UTAWAKUTA CCM
 
Sijawahi kuona duniani eti mwenyekiti wa mtaa anataja wauza unga..kwn police kazi yao nn?watu wenyewe tunaoishi kwa visasi mitaani...akikutaja wewe je?
Hao viongozi wanatakiwa watoe ushirikiano na Jeshi la polisi sio kwamba wawataje
 
Wanaogopa kusakamwa na kuzushiwa
Vita imeanzishwa na amiri Jeshi wao kama makamanda wake wanapaswa wawe tayari kukabiliana na adui yeyote kwa maslahi ya Taifa huu uoga na kujuana ndiko kunatufanya tufeli na kushindwa kufikia malengo
 
What if hajafa...what if ni set up...kuchange focus...what if....actually si hiki kinachoonekana kuwa ndicho...."it is just what if"

I kno i dont make any sense...but what if I am making sense?!
 
Hao viongozi wanatakiwa watoe ushirikiano na Jeshi la polisi sio kwamba wawataje
Ushirikiano gani wanaoutaka kama sio kutaja watu?na tatizo hapo Tz hakuna sheria...huwezi kumuhisi MTU ukamfungulia mashtaka..sasa umemkuta na nn?bado inchi yetu IPO KWENYE sheria za Giza... Mfano mwenyekiti kama mnaugomvi...utapona?
 
Ushirikiano gani wanaoutaka kama sio kutaja watu?na tatizo hapo Tz hakuna sheria...huwezi kumuhisi MTU ukamfungulia mashtaka..sasa umemkuta na nn?bado inchi yetu IPO KWENYE sheria za Giza... Mfano mwenyekiti kama mnaugomvi...utapona?
Hawa viongozi tupo nao kila uchwao kwenye mitaa yetu kipi wasichokijua katika mitaa yao chimbo nyingi za vijana wao wanazijua sana
 
kweli kabisa inaonekana makonda akifa ghafla ndo basi tena hakuna vita dhidi ya madawa...pathetic fools
Hao wote walio magerezani kawakamata MAKONDA? tena yeye ndy kawasaidia watuhumiwa wa MADAWA kukimbia....umeona wapi unamwambiya MTU aje kituoni mwenyewe... Sasa ndy kupambana na madawa au anawapasha wakimbie....MADAWA hayakamatwi kwa kelele... Mfano inchi za wenzetu...ulaya....mm nampenda kutoa mfano hai...ambao nauona kwa macho....sipendi kutoa ushuhuda wa kusikia...GREECE .AMERICA.......ITALY..SPAIN hizi inchi unafuatwa kimya kimya...kuanzia unapotoka asubuhi...shughuli zako na hata simu zako...wanafatilia...na wanauwezo wakaja wakakupekuwa na ww haupo..wakaangalia kila kitu...siku wakikugongea mlango...wewe unawafata wao wanapokupeleka.....watakuonyesha nyendo zako zote..na mitandao yako yote..unavyouza na kupokea na unapoficha madawa yako...na kama huuzi WATAJUWA TU... hao ndy wanaopambana na madawa ya KULEVYA... Sio kelele tu...halafu mkishamkamata MTUHUMIWA na KIDHIBITI mnamuweka mahabusu miaka kumi..kesi haijasikilizwa sasa pana haki IPO wapi hapo ?Tanzania.... Kuna watu wamekamatwa tangia 2000 hadi Leo hawajahukumiwa....inchi ya GIZA hiyo...hakuna haki za binadamu.. Eti Leo mjumbe wa nyumba kumi ataje watu wajina..utaratibu wa wapi huo...police wanafanya kazi gani?kuna jamaa yng mmoja kafuatwa kwake kisa MUNGU kamjaalia kajenga nyumba nzr halafu Dogo tu...wamemkamata eti anauza..sasa anauliza nimeuzia wapi?wakamwambiya ww kama nyumba hii yako umeijengaje?kumbe watu wanaulizana mijengo?..kuna watu serikalini wana mahekalu na hawahojiwi..sasa mambo ya vipi hayo....inchi ya GIZA hiyo...kumbe uhalifu ni madawa tu..UFISADI...fraud sio uhalifu?inchi zenye haki za binadamu zote hizo ni kesi sawa...CRIMINAL CASE...
 
Wewe si unawatetea wauza unga hiyo dhambi mnaichuma kwa ujinga wenu
Hakuna anaetetea wauza unga...ila suala LA MADAWA sio suala LA kufanya mambo ya MAENDELEO yasiende mbele kisa DAUDI BASHITE anapambana na madawa... Hivi hyo style yake ya kufuata nyumbani au kuitwa redioni ndy kupambana na madawa? Hivi uhalifu ni MADAWA tu?mbona wao wanamiliki Mali kibao za kifisadi sio uhalifu?Kwani MADAWA MTU anashikiwa KISU avute kwa LAZIMA? mbona bar zimejaa tele mitaani kuna anayelazimishwa aingie bar?au mbona SUMU ZA PANYA zinauzwa Mabarabarani kwann hawali?kama kila kinachouzwa KINALIWA?...TEJA linaingia ktk uteja kwa starehe ZAKE... Sidhani kama kuna MTU wa kulaumiwa...hii issue ya madawa IPO duniani kote....tena afadhali hapo kuna inchi wanavuta madawa Tanzania inasubiri...na MTU anauza kama unavyolisha mtama njiwa...lakini kuna utaratibu wa kumkamata....na mambo ya MAENDELEO yanakwenda..sasa isiwe ni Sera ya taifa kwamba unapambana na madawa.. Na kuyaacha ya maana...yapo mambo mengi ya maendeleo hatuyafanyi tumeshupalia kupambana na madawa tu..huku yeye mwenyewe akiwa ni mtuhumiwa wa FRAUD... kwani fraud sio criminal case?.na sana sana yeye huyo makonda ndy amesaidia watuhumiwa wengi kukimbia inchi au kuficha ushahidi....kwni ni lini alishamkamata MTU ktk operation hiyo? ?kama sio hao waliojipeka wenyewe na kuwadhalilisha?....tunapinga style ya kupambana....na sio kupinga kupambana na madawa... Na issue ya mateja wanaingiaje ktk uteja ndy kaa chini ulifikirie...mwisho utawaona MATEJA wapumbavu tu...na sio kumlaumu MTU...
 
Hao Watetezi wa wauza ngada wenzao wa naangalia matumbo yao tu hawawezi kuwa onea huruma vijana
Fraud...ufisadi...MADAWA zote ni criminals case...sasa mbona hawashughuliki na hayo mengine?au sababu yanawahusu wenyewe?MADAWA ni biashara haramu tu...na inamuhusu MTU mmoja moja..lakini jitu linakusanya pesa za wanainchi kwa mambo yake binafsi anaonekana hajafanya kosa.tena pengine pesa hizo zilitakiwa kufanya MAENDELEO Fulani ktk jamii..jitu linakula yeye na MKEWE.. Pesa za wanainchi... Watu wanaona sawa tu.....jitu linatumia VYETI vya MTU mwingine ambayo ni fraud case lakini watu wanaona sawa tu...kweli hyo inchi ya GIZA...China wote wananyongwa tu....fraud...fisadi..MADAWA wote same case
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom