Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

Ha ha ha jamni mbona vikazi uchwara sijaona nafasi zake apa.

Hivi mnapenda pesa kazi nzuriiiiii

cc ladies naomba ufafanuzi apa
 
Mwambie huyo jamaa yako ajiunge na JF namsubiria hukuuuuuuu.

Hahahahaha sijui kama atakubali kujiunga lakini pia hata me huwa natunga tunga kidogo hamishia majeshi kwangu mpaka uje usubilie mtu ajiunge ni leo.
 
Walimu ni kati ya watu tunaoongoza kuzikataa kazi zetu. Utaskia mtu anakuambia nina dili zangu mjini! Mara niko wizara ya miundombinu kumbe anashika chaki shule moja katikati ya jiji.

nyie walimu na mabank teller mtabaki kugegeda wanafunzi tu.
 
Na hapa ndipo utapojua kuwa girl=cash..

Ila kweli kadili siku zinavyo zidi kusonga wanaume tunakosa sifa ya kujiamini kwa kutengeneza maneno ya kututia hofu wenyewe hivi unadhani bila pesa hauwezi huwa na msichana.
 
Ha ha ha jamni mbona vikazi uchwara sijaona nafasi zake apa.

Hivi mnapenda pesa kazi nzuriiiiii

cc ladies naomba ufafanuzi apa

Wanataka vijana wenye kazi uchwara mwendelee kudanganya na kujificha watakapo pita maeneo yenu ya kazi.
 
Du!! Yaani mie dume la shoka Mkulima sijapata Wa kunipenda humu kwa nini? Ebu nambieni kweli hakuna anaependa Mkulima humu jf? I'm confused!!??
 
Hahahahaha sijui kama atakubali kujiunga lakini pia hata me huwa natunga tunga kidogo hamishia majeshi kwangu mpaka uje usubilie mtu ajiunge ni leo.

hahahahahahahahaha
Mkuu hapo kutunga kidogo kidogo ndo panapokupunguzia marks, jaribu kumshawishi tena, ukishindwa hapo itanibidi nikufikirie wewe.... (sio ushindwe makusudi!!!!!)
 
Du!! Yaani mie dume la shoka Mkulima sijapata Wa kunipenda humu kwa nini? Ebu nambieni kweli hakuna anaependa Mkulima humu jf? I'm confused!!??

We tusubilie tu mpaka asubuhi watakuja unaweza kubahatisha wa kupenda kazi yako.
 
hahahahahahahahaha
Mkuu hapo kutunga kidogo kidogo ndo panapokupunguzia marks, jaribu kumshawishi tena, ukishindwa hapo itanibidi nikufikirie wewe.... (sio ushindwe makusudi!!!!!)

Hata mbuyu ulianza kama mchicha na me nitafika tu kule kwa kina shegg. Wao pia walianza hivyo hivyo unajua me sipendi kuwa mwongo, ndo maana nikakuambia nimeanza kidogo kidogo, kila kitu kinawezeka bora kuweka nia, na mtu mzima hashawishiwi anaambiwa akiona inafaa basi anakubali mwenyewe.
 
Mi napenda wasukuma mikokoteni

Gotdamnit! Yaani nilipoona "wasukuma" nkachekelea nkadhani unapenda Wasukuma chapa ya ng'ombe toka Usukumani. Kumbe unaogelea wasukuma mikokoteni. Umeniulia mzuka.

Uwiiiii yaaan wabeba box mmesahaulikaaaa,wamegoma maana washawahi kukuanzishia uzi hapa ukatosaa now wameona wapige kimyaaaa,pole

Alaa kumbe ndo hivyo? Basi bana ngoja nihangaike na akina Becky tu.
 
Gotdamnit! Yaani nilipoona "wasukuma" nkachekelea nkadhani unapenda Wasukuma chapa ya ng'ombe toka Usukumani. Kumbe unaogelea wasukuma mikokoteni. Umeniulia mzuka.

Alaa kumbe ndo hivyo? Basi bana ngoja nihangaike na akina Becky tu.

Hahaha mkuu kwanza heshima yako, hivi kama mtu usipo thamini kazi yako inawezekana mtu mwingine akaithamini, umenisikitisha kwa kujiwekea mipaka et we utakuwa wa ma bk 3 chanzo cha kujiwekea mipaka yote hiyo ni nini? Kisa tu umejenga mazingiza ya kujiona kazi yako ni size ya hao ma bk3.
 
Mkubwa, Becky siyo beki tatu bana.

Becky ni hot white girl.
 
Mi napenda wasukuma mikokoteni

Hongera zako ila sasa ubaya wa ndugu zetu wale usafi 0 na nyie dada zetu mnapenda watu wa safi wasafi, sijui wewe umewezaje kudhubuti kufikirilia kuwapenda watu wa kazi hiyo?
 
weka jina lako kamili pia nikugoogle,,afu nshawagugoo wengiii!haha kuna uyo mmoja alinidanganyaga afu yupo humu jf sasa si nkamgugoo doh sura ilimshuka shuuu!asante goooglee,,afu mie nampenda mwanaume anayejua kutafuta hela iwe chafu au safi kanyaga twendeeee!

Nyie ndio mnaosababisha waume zenu wapakatwe na waarabu
 
Back
Top Bottom