Wacha kunikatisha tamaa bana.... Tena mshindwe wewe na wenzio!!!
Ebana kama unataka kupata mademu wazuri,fanya kazi sehemu zifuatazo
-projects za kimataifa
-bank
-tra
-migodini
-bot
-tanapa
-tanesco)
Umesahau sehemu nyingine muhimu sana ambazo dada zetu wataku admire ukiwaambia unafanyia huko...........,IKULU- usalama wa taifa
Ebwana hebu waombe radhi walimu tafadhalinyie walimu na mabank teller mtabaki kugegeda wanafunzi tu.
Nyie ndio mnaosababisha waume zenu wapakatwe na waarabu
Nikupe jina langu ugoogle?