Zitaje...
si ndio mana kuna google unamtafuta mtu ujue ni nani,and u may date,..yahaya 'muda' tu unatosha kumuumbua
Ebana kama unataka kupata mademu wazuri,fanya kazi sehemu zifuatazo
-projects za kimataifa
-bank
-tra
-migodini
-bot
-tanapa
-tanesco
Walimu ni kati ya watu tunaoongoza kuzikataa kazi zetu. Utaskia mtu anakuambia nina dili zangu mjini! Mara niko wizara ya miundombinu kumbe anashika chaki shule moja katikati ya jiji.
Lakini hayo mapenzi yana dumu kweli.
Kwani we unapenda wa kazi gani?
umeongea point aisee!!mi ukija na swaga zako nakugoogle fasta ili nikuje kua una-exist kwenye huu ulimwengu,mayahaya utayajua tuuuu,,:A S wink:
Kazi nzuri uliyojiajiri mwenyewe na inayokuungizia kipato,hauwezi ukajiproud kwa kazi za kuajiriwa hata kama ni CEO ,HOD au CHRO,Senior Managers,CCO,CFO hauwezi tamba mda wowote kibarua kinaota nyasi...Nawakubali sana wajasiriamali.

Sasa kazi yake si ndio Ubaunsa... Kama wale wa Bills, Cine n.k
Mjeshi ful title,saloon,kusugua kucha nk