Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
We uliemzid u handsome Wasira tena hiyo kazi na sura yako vinaendana kweli yaan umejipatiaaaa
We uliemzid u handsome Wasira tena hiyo kazi na sura yako vinaendana kweli yaan umejipatiaaaa
Boss as name or u have a money?
za asubuhi!?
ndo napita na baisikeli hivyooo...!
hahahaha
Usijali bhanaaa, bora tu umesema ukweli, ukute limoyo langu linaweza kukudondokea, kwani kila nikiona jina lako, limoyo langu linaruka kichura chura... lol... huoni kua ni dalili nzuri!!!
Nzuri tu boss nimeamka upande upande umenipitiaa twende tuiotion???
Chama gani mkuu na unaupataje weka connection...!
Dondosha tu limoyo hilo nitalidaka kwa hilo shuka langu, haya twende 1, 2 .............dondosha.........aaaaaa.........haya jikaze usiogope sina sime kiunoni leo........... aaaaaaaaaaa........mbona sasa hauangushi?
Pita kimya kimya acha kijicho sisi tuna yetu....hatujaanzia page hii Lol...
Hmmmmmm