Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

Mi nipo hapo kwenye RED...Si haba ila umesahau Madaktari aisee hawa jamaa sijui wana nini na wanawake???? Uklisema mi ni dokta bhaaasssss habari imeisha

Wana penda miwani.
 
Hapana. Mi kazini navaa miwani kubwa sana za kuzui mchanga aka Goggles....Maybe wanapenda jinsi wanavyowachokoroa???

Hiyo nyekundu ni nini maana yake mkuu.
 
Walimu mbona tunatengwa sana au nayo si kazi?

mpunguze bakora na nyinyi...

caning%2Bcartoon.jpg
dscf0200.jpg
 
mhhh acha kutudanganya mkuu,unataka kuniambia waajiriwa wote mambulula??kati ya mmenya muwa na CFO wa Tigo lets say,nani ana ahueni ya maisha??..Title zna nafasi yake jmn,ujasiriamali mzuri lakni uwe unafanya big deals,sio chochote

Shemeji sizungumzii wachuuzi,nazungumzia wajasiriamali kama kina Lucas bongo5,wenye issue zao wenyewe!!!
 
Kabisa ujasiriamali ndio deal unaamua tu wiki nzima nalala au naenda bomboyo kula bata na warembo hakuna hatakayekuuliza.

Hiyo nyekundu nimeipenda inanihusu kama ulikuwepo vile unapanga unavyotaka mwenyewe.
 
Hapo ndipo wanawake wanapopoteaga sana na ndoa zilizoingia kwa kipimo cha kazi ya mwanaume kuibukia migogoro ya kutosha..

Unakuta mdada kamzimikia mwanaume banker mshahara laki 7 net anaolewa akijua ameukata, anaingia ndani ya ndoa baadae anagundua amepotea anaanza kumtamani mume wa mwenzake anaepanga ma container bandarini hajui kuvaa tai kila siku ma ovaroli tu lakini kipato sasa mamilioni


Dada zangu nawashauri kama mnapenda wanaume kwa kigezo cha pesa msiangalia mavazi na uzuri wa ofisi ya kidume, kuna watu wanatengeneza hela vibaya mno kwa kazi zisizoruhusu kupendeza..

Mnajua mume wa nancy sumari Luca anafanya nini? Nenda kafanye homework yako jamaa nilimkuta kwenye container yard yake DICD amekula reflector, safety boot, jeans full kisela kama msela tu wa mjini yupo disorganised anasaidia kupanga macontainer na hapo anatengeneza hela vibaya mno..nikasema nancy ana akili sana wenzangu na mie mnaotungangania kina Yahaya na tai zetu tunafurahije..

Kuna watu wa coz za ardhi pale sijui ma surveyor, artchr,contractr wanapiga hela vibaya mno lakini wapo lafu,

Kuna wauza mitumba, wauza vifaa vya magari gerezani, wana hela vibaya mno but ukiwakuta kazini unafikiri waganga njaa tu nenda kaone maisha yao na familia zao utakimbia
Mkuu umemaliza kila kitu,ila niongezee kwamba hata Ronado aliyeshinda mchezaji bora wa mpira wa miguu duniani
haangalii kupendeza uwanjani,uwanjani ni jezi na mpira tu,wakati wa matumizi anakula pamba safi.
Na ana pesa balaa.Vivyo hivyo wapo watu na hela zao huwezi kuwadhania,lkn pita kwenye anga zao uone wanavyotisha.Mwingine unamdharau barabarani,ukimkuta kwake unashangaa shikamoo imeishakutoka bila kujijua.
 
Sisi walinzi tunaotumia silaha za kijadi kazi zetu hazina mvuto na wasichana?Nani kawadanganya?

Tunakubalika mno kwa wasichana tena warembo tu!Nitembelee usiku lindoni kwangu Kibo-Tageta uone wanavyojigonga kwetu tena mademu wakali tu!
 
We umesha wa google wangapi?
Ebu kwanza funguka hapa unapenda wa kazi gani?

weka jina lako kamili pia nikugoogle,,afu nshawagugoo wengiii!haha kuna uyo mmoja alinidanganyaga afu yupo humu jf sasa si nkamgugoo doh sura ilimshuka shuuu!asante goooglee,,afu mie nampenda mwanaume anayejua kutafuta hela iwe chafu au safi kanyaga twendeeee!
 
Sisi walinzi tunaotumia silaha za kijadi kazi zetu hazina mvuto na wasichana?Nani kawadanganya?

Tunakubalika mno kwa wasichana tena warembo tu!Nitembelee usiku lindoni kwangu Kibo-Tageta uone wanavyojigonga kwetu tena mademu wakali tu!

Umuhimu wenu unaonekana usiku pale mtu anapokuwa amekosa sehemu ya kulala. Hapo ndipo heshima inarudi kwenu.
 
Back
Top Bottom