Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 51,112
- 72,577
Mkubwa, Becky siyo beki tatu bana.
Becky ni hot white girl.
Alikuelewa vibayaa muwe mnaandika kiswahili tu wengine kizungu kilipita tu na ndege enzi hizo ona sasa ulivyomuaibisha mwenziooo
Mkubwa, Becky siyo beki tatu bana.
Becky ni hot white girl.
Wanataka vijana wenye kazi uchwara mwendelee kudanganya na kujificha watakapo pita maeneo yenu ya kazi.
Mkubwa, Becky siyo beki tatu bana.
Becky ni hot white girl.
Asante kwa kuweka sawa, Mkuu Nyani Ngabu nakuheshimu sana hapa Jf ebu naomba utoe mawazo yako juu dhana iliyo bebwa na vijana kwa kuchagua kazi inanipa wakati mgumu sana huku mtaani kuwa ondolea vijana hofu juu ya kazi zao kwakuwa wao wanaamini kazi nzuri ni zile usizo vuja jasho na zile za kuajiliwa.
Ili mradi inakuingizia kipato halali, ili mradi humtegemei mtu mwingine kifedha na kwa mengineyo, basi kwangu mimi kazi ni kazi na ninaziheshimu kazi zote zinazompa mtu rizq yake iliyo halali.
Eti wanasema kithugu bila pesa ni sawa na kupiga kelele, lol..
Hata mbuyu ulianza kama mchicha na me nitafika tu kule kwa kina shegg. Wao pia walianza hivyo hivyo unajua me sipendi kuwa mwongo, ndo maana nikakuambia nimeanza kidogo kidogo, kila kitu kinawezeka bora kuweka nia, na mtu mzima hashawishiwi anaambiwa akiona inafaa basi anakubali mwenyewe.
Sisi wengine wachimba MAKABURI misiba kwetu dili na maisha yanasonga.
Uwiiiii najutaaaa kuiweka ile "kidogo kidogo" kumbe ukweli mbaya bora ningesema nisha tunga vingi.
Sisi wengine wachimba MAKABURI misiba kwetu dili na maisha yanasonga.
We uliemzid u handsome Wasira tena hiyo kazi na sura yako vinaendana kweli yaan umejipatiaaaa
hahahaha
Usijali bhanaaa, bora tu umesema ukweli, ukute limoyo langu linaweza kukudondokea, kwani kila nikiona jina lako, limoyo langu linaruka kichura chura... lol... huoni kua ni dalili nzuri!!!