kawakama
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,299
- 391
vyama vingi tu mkuu kama vile CHAGADEMA, CCM, CUF AU NCCR MAGEUZI
Chama gani mkuu na unaupataje weka connection...!
Chama gani mkuu na unaupataje weka connection...!
Hapo ndipo wanawake wanapopoteaga sana na ndoa zilizoingia kwa kipimo cha kazi ya mwanaume kuibukia migogoro ya kutosha..
Unakuta mdada kamzimikia mwanaume banker mshahara laki 7 net anaolewa akijua ameukata, anaingia ndani ya ndoa baadae anagundua amepotea anaanza kumtamani mume wa mwenzake anaepanga ma container bandarini hajui kuvaa tai kila siku ma ovaroli tu lakini kipato sasa mamilioni
Dada zangu nawashauri kama mnapenda wanaume kwa kigezo cha pesa msiangalia mavazi na uzuri wa ofisi ya kidume, kuna watu wanatengeneza hela vibaya mno kwa kazi zisizoruhusu kupendeza..
Mnajua mume wa nancy sumari Luca anafanya nini? Nenda kafanye homework yako jamaa nilimkuta kwenye container yard yake DICD amekula reflector, safety boot, jeans full kisela kama msela tu wa mjini yupo disorganised anasaidia kupanga macontainer na hapo anatengeneza hela vibaya mno..nikasema nancy ana akili sana wenzangu na mie mnaotungangania kina Yahaya na tai zetu tunafurahije..
Kuna watu wa coz za ardhi pale sijui ma surveyor, artchr,contractr wanapiga hela vibaya mno lakini wapo lafu,
Kuna wauza mitumba, wauza vifaa vya magari gerezani, wana hela vibaya mno but ukiwakuta kazini unafikiri waganga njaa tu nenda kaone maisha yao na familia zao utakimbia
Hapo wale wakuvuja jasho hawaangaliwi teeeh..!
Tatizo hao manager huwa wana angaliwa sana
Kama ni hivyo basi hapa wakina yahaya hawatakwisha...!
Kuna wengine ni ngumu kuwa jua na sio kila mtu anajua ku-google!
Kwani mkuu hakuna kazi nyingine ambazo zinaweza kukubalika tofauti na hizo mbona kuna watu wana fanya kazi za kawaida na wanapiga pesa.
Ila sema na ukweli kuna kazi zinawapendezaa sana wanaume basi tu
Chama gani mkuu na unaupataje weka connection...!