Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

weka jina lako kamili pia nikugoogle,,afu nshawagugoo wengiii!haha kuna uyo mmoja alinidanganyaga afu yupo humu jf sasa si nkamgugoo doh sura ilimshuka shuuu!asante goooglee,,afu mie nampenda mwanaume anayejua kutafuta hela iwe chafu au safi kanyaga twendeeee!

Jina langu ndo hilo hilo we google tu bi dada, wanawake wengi mtufanya wavulana tukose kujiamini kwa kuwa mnapenda wale wa kazi za ofc kubwa.
 
Mjeshi ful title,saloon,kusugua kucha nk

Jeshi heshima tena ukiwa afsa kuanzia Refnant rank/Luteni akhaaa. Hata uwe na mtoto mzuri vipi wanaume wataogopa kumtongoza. Hata wakubwa wako watashindwa kumtongoza coz katika makosa makubwa matatu yanayoweza kukufukuzisha kazi court marshal/mahakama ya kijeshi ni pale itakapogundulika umetembea na mke wa mwanajeshi mwenzako teh teh. Je uko mtaani nani atathubutu??
 
Jina langu ndo hilo hilo we google tu bi dada, wanawake wengi mtufanya wavulana tukose kujiamini kwa kuwa mnapenda wale wa kazi za ofc kubwa.

hahah unanidanganya hukoo!cyo halisi ilo jina...vumbi tuuuuhvi kumbe ww mvulana mie nlijua mwanaume hahah ndo maana mnashindwaga kujiaminiii
 
Napendaga waandishi wa vitabu, hawatakagi fujo..... (lakini sio shingongo type)
 
Shemeji sizungumzii wachuuzi,nazungumzia wajasiriamali kama kina Lucas bongo5,wenye issue zao wenyewe!!!

oh hapo sawa,but tunao wangapii?mfano
we sikia Title ya mtu km Kelvin Twissa,na waliojiajiri nani mjanja??ajira ina umuhimu wake ujue,
 
oh hapo sawa,but tunao wangapii?mfano
we sikia Title ya mtu km Kelvin Twissa,na waliojiajiri nani mjanja??ajira ina umuhimu wake ujue,

neno zito hilo.......kwahio unataka kusema Twissa ni mjanja kuliko watu wote waliojiajiri??
 
Umuhimu wenu unaonekana usiku pale mtu anapokuwa amekosa sehemu ya kulala. Hapo ndipo heshima inarudi kwenu.

Hapa lindoni kwangu Kibo huwa wanakuja hadi masister duuh na wig zao nzuri kichwani kumbe HANA PA KULALA usiku huo ahahaha!
 
hahah unanidanganya hukoo!cyo halisi ilo jina...vumbi tuuuuhvi kumbe ww mvulana mie nlijua mwanaume hahah ndo maana mnashindwaga kujiaminiii

Umeshajaribu ku-google likashindwa kutokelezea?
Wewe hiyo sura hapo unaiona niya kijana kweli bibie ebu niangalie vizuri.
 
oh hapo sawa,but tunao wangapii?mfano
we sikia Title ya mtu km Kelvin Twissa,na waliojiajiri nani mjanja??ajira ina umuhimu wake ujue,

Na ina kikomo chake unafanya kwa kupangiwa umri, ujasiliamali mpango mzima bibie asikuambie mtu.
 
neno zito hilo.......kwahio unataka kusema Twissa ni mjanja kuliko watu wote waliojiajiri??

wala,nmetoa sample tu ya mtu aliepata mafanikio mazuri kwenye ajira for leverage hapa,mana jamaa alikandia sana wanaoajiriwa,ni wangapi labda ambao japo wamejiajiri kawapita,?wengi of course,life can work out for you popote,..
 
Na ina kikomo chake unafanya kwa kupangiwa umri, ujasiliamali mpango mzima bibie asikuambie mtu.

mi ni mdau mkubwa wa ujasiriamali,but sidharau kazi za kuajiriwa,zina nafasi yake kwenye kumjenga mtu,na kumpa exposure
 
Napendaga waandishi wa vitabu, hawatakagi fujo..... (lakini sio shingongo type)

Hii ya kwako nimeipenda iko tofauti na za wale wapenda ma manager bila suti na tie haujaeleweka.
Umenikumbusha nina jamaa yangu ni mwandishi wa vitabu yuko kama ulivyo sema.
 
weka jina lako kamili pia nikugoogle,,afu nshawagugoo wengiii!haha kuna uyo mmoja alinidanganyaga afu yupo humu jf sasa si nkamgugoo doh sura ilimshuka shuuu!asante goooglee,,afu mie nampenda mwanaume anayejua kutafuta hela iwe chafu au safi kanyaga twendeeee!

Nikupe jina langu ugoogle?
 
Na mimi dereva wa bodaboda mbona hamthamini profession yangu?

Boda boda haina profession labda kama tutakuwa na tafsiri tofauti kwenye hilo neno.
Ukitaka kazi yako ionekane na thamani anza kuithamini kwanza wewe, na pia jiamini kwenye hicho unachofanya sio ukiona watu unaanza kujificha.
 
I'm a professional driver. I have a long and stellar professional driving career that stretches back in the 1990s. I have served as a chauffeur for NASCAR, NFL and MLB stars such as Barry Bonds and A Rod. 3 years back I decided to relocate to Tanzania to continue with my driving profession. After my efforts of lobbying in order to be able to become a chauffeur for the Tanzanian elites have proved fruitless, I decided to become a bodaboda driver. I couldn't be happier..........
I'm a proud professional chauffeur. I'm a proud bodaboda driver.
Driving is as good as other professions like medicine, engineering, aviation, sports etc.
You don't have to be as famous as Michael Schumacher or Dale Jr, Jeff Gordon, or even Juan Pablo Montoya in oder to be appreciated as a true professional driver.
Bodaboda inalipa kuliko nyie wafunga tai
 
Hii ya kwako nimeipenda iko tofauti na za wale wapenda ma manager bila suti na tie haujaeleweka.
Umenikumbusha nina jamaa yangu ni mwandishi wa vitabu yuko kama ulivyo sema.

Mwambie huyo jamaa yako ajiunge na JF namsubiria hukuuuuuuu.
 
Back
Top Bottom