Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

Kazi zinazo wavutia wa kina dada..!

Phlagiey

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
3,500
Reaction score
1,688
Hi...... wana jukwaa.

Kuna jambo limekuwa likiwapa wakati mgumu baadhi ya vijana kutokana na aina ya kazi wanazo fanya hii ni kwa sababu ya dhana fulani inayokuwa imejengeka katika makundi ya vijana kwamba kuna baadhi ya kazi wanaamini kwamba zina wavutia akina dada na kunanyingine haziwafutii.

Kuna vijana wengine wanashindwa hata kuwaonesha wapenzi wao maeneo yao wanayo fanyia kazi kwa kuamini kwamba hayana mvuto, kuna wengine hata hudiliki hata kujificha inapotokea bahati akapita binti mahara pa kazi yake.
Na sio tu kwa walio katika mahusiano ndo hili jambo linawakumba kuna wengine hawapendi wajulikane kazi wanazo fanya hata wanapo ulizwa na vijana wenzao, wanashindwa kuwa wawazi juu ya hilo.

Hili limesha kuwa kama tatizo ndio sababu hata utakuta baadhi ya vijana wana bagua kazi za kufanya kwa ile ile dhana ya kuamini kuna kazi nzuri na mbaya, Lakini inakuwa tofauti kidogo kwa wale wenye kazi wanazo ziita nzuri wanakuwa haraka sana kujibu yale maswali ya unafanya wapi kazi au unafanya kazi gani.

Leo naomba tuelezane kama ni kweli kuna kazi nzuri na mbaya na kama kuna kazi zinazo wavutia akina dada?
Na pia sio mbaya kama tuzijua kazi hizo ni zipi?
Na kama hazipo nini kifanyike ili kuondoa hii dhana inayo endelea kuwa umiza vijana wanaoishia kukaa vijiweni wakiamini kuna kazi zinazo leta heshima ndani ya jamii.
Na tuwasaidie mawazo wale wanao jificha wawapo makazi na wale mabingwa wa kuwazuga akina dada.
 
Tearie Mari-Sponsor
He put them low profiles on my car
He treats me to a pedi plus manicure
Anything I ask for from my sponsor he go and bu-
bu-bu-buy buy
A baby blue madalion I just got
My feet they speak italian walk so hot
I tell him baby thanks alot
My sponsor he go and bu-bu-buy buy
[Hook:]
He ain't no square
He just likes to share
In love with a tip for throwin hundreds in the air
Throw some over here
And loui drop the loui drop the loui in my lap
[Chorus:]
Yeaaah (and all my ladies say)
Yeaaah (the go go girls say)
Yeaaah (hey hey)
I got myself a sponsor
Yeeaaah (to fill up a drank for me)
Yeeaaah (to fill up a tank for me)
Yeeaaah (to put something in the bank for)
I got myself a sponsor
[Verse 3:]
Every weekend I see dominicans in the chair
She can bring out the featurs in my hair
Add a couple tracks for flare
My sponsor he go and bu-bu-buy buy
He must be a rapper, baller, doctor, dentist
Corner boy, cook chef, chemist
I don't even care
Just so long as he goes and bu-bu-buy buy

[Hook:]
He ain't no square
He just likes to share
In love with a tip for throwin hundreds in the air
Throw some over here
And loui drop the loui drop the loui in my lap
[Chorus:]
Yeaaah (and all my ladies say)
Yeaaah (the go go girls say)
Yeaaah (hey hey)
I got myself a sponsor
Yeeaaah (to fill up a drank for me)
Yeeaaah (to fill up a tank for me)
Yeeaaah (to put something in the bank for)
I got myself a sponsor
 
Any job as long as it brings food on the table and pay the bills.Hata kama ni ya kufaulisha vyoo what needed is cash harufu ya ma.Vi baadae.

Mkuu unasema tu we mwenyewe hapo sijui kama unaweza kufaulisha vyoo..!
 
Mwanaume TITLE ya kazi babuuu,MANAGER FOR.......ASSOCIATE.....SENIOR.......NK

Hapo wale wakuvuja jasho hawaangaliwi teeeh..!
Tatizo hao manager huwa wana angaliwa sana
Kama ni hivyo basi hapa wakina yahaya hawatakwisha...!
 
Hapo ndipo wanawake wanapopoteaga sana na ndoa zilizoingia kwa kipimo cha kazi ya mwanaume kuibukia migogoro ya kutosha..

Unakuta mdada kamzimikia mwanaume banker mshahara laki 7 net anaolewa akijua ameukata, anaingia ndani ya ndoa baadae anagundua amepotea anaanza kumtamani mume wa mwenzake anaepanga ma container bandarini hajui kuvaa tai kila siku ma ovaroli tu lakini kipato sasa mamilioni

Dada zangu nawashauri kama mnapenda wanaume kwa kigezo cha pesa msiangalia mavazi na uzuri wa ofisi ya kidume, kuna watu wanatengeneza hela vibaya mno kwa kazi zisizoruhusu kupendeza..

Mnajua mume wa nancy sumari Luca anafanya nini? Nenda kafanye homework yako jamaa nilimkuta kwenye container yard yake DICD amekula reflector, safety boot, jeans full kisela kama msela tu wa mjini yupo disorganised anasaidia kupanga macontainer na hapo anatengeneza hela vibaya mno..nikasema nancy ana akili sana wenzangu na mie mnaotungangania kina Yahaya na tai zetu tunafurahije..

Kuna watu wa coz za ardhi pale sijui ma surveyor, artchr,contractr wanapiga hela vibaya mno lakini wapo lafu,

Kuna wauza mitumba, wauza vifaa vya magari gerezani, wana hela vibaya mno but ukiwakuta kazini unafikiri waganga njaa tu nenda kaone maisha yao na familia zao utakimbia
 
Mkuu kweli hapa umeweka neno la maana sana hawa wavaa makoti na tai wanashobokewa sana.
 
Back
Top Bottom