Kawambwa, Nahodha na Mwema wakutana na wanafunzi UDSM

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Tupo udsm tunasubiri mawaziri.

Habari zinasema mzee wa intelijensia feki kataka waahirishe kuja eti wanafunzi wanamekana kuvunja amani.

Tunavuta muda tumfate hukohuko.
 
mh,nijuavyo mie,hakuna mwanaume atakaeweza kucmama nkrumah pale zaid ya MKANDALA,maghembe analijua hlo,alzomewa mbele ya museven,
 
Wakuu,
Nilikuwa hapa maeneo ya ubungo mataa na hivi nanavyosema nimeshuhudia motorcade ya wazee wa ukonga wakiambatana na "washawasha" wanaelekea maeneo ya chuo kikuu mlimani. Katika msafara huo pia yapo mashangingi V8 kadhaa. Wamepita hapa kana kwamba wamepokea taarifa kuwa ikulu inaungua.
Je kuna usalama huko? Wadau wenye data tunaomba mtujuze tafadhali.
 
Thats Udsm bwana, hakuna asiyeiogopa hata mkuu wa nch hathubutu kusogea karibu.... Go udsm, go
 
Plato endelea kutujuza ya huko UDSM.....Sasa kama wamekuja kuongea ya nini wanaweka mazingira ya vitisho vya makarandinga na magari ya maji washa.
 
Duce-tupo kwenye mushikeli na Principal wanafunzi walishaanza kuandamana kuelekea mlimani,but FFU wamezagaa nje ya mipaka ya chuo, tumepitisha patition kupitia bunge rasmi kwa dharula kuwa 3 days ahead hapa chuoni patanuka.Barua imepelekwa mda huu na Spika kwa Waziri mkuu wa nchi P.pinda.
 
Tanzania chuo ni UDSM tu...
Hivyo vingine ni vyuo vya Kata kama zilivyo Sekondari za Kata
 
Tanzania chuo ni UDSM tu...
Hivyo vingine ni vyuo vya Kata kama zilivyo Sekondari za Kata

Mkuu hapa umeteleza kidogo japo na mimi nimekula shule yangu UDSM ila tukiongelea vyuo vikuu tusividharau na vile vingine aise!
 
Wasema anajiingiza kuzungumzia masuala nyeti ya wanafunzi kwa kuyabeza na kuyaanika kwa jamii kama masuala madogo, na serikali inamsikiliza.

Kwanza wanasema Kibonde mwenyewe ni total failure kitaaluma. So afunge domo.
 
Hawajamchana vizuri, wangemuomba waziri kawambwa amchukulie hatua anapotosha umma huyo ki nini cjui!
 
Live....mabomu yanapigwa mlimani UDSM wanafunzi na polisi vita...wanafunzi wanakimbia huku na huko...
 
...KIBONDE jamani!! mbona kuna njia nyingi za kujipendekeza kwa wakubwa??? ila haya ya kujifanya mara msemaji wa serikali...mara oohh msemaji wa CCM...ooohh mara msemaji wa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu!!! mambo ya kuropoka sensitive issues kama hizi za wanafunzi, kuna siku yatamtokea puwani!!! yaani jamaa bogus mukichwa kabisaaaa!!
 
Kwani kasheshe hili limefunuka lini tena? jamaa si walishaandamana juzi....
 
Back
Top Bottom