Kawambwa, Nahodha na Mwema wakutana na wanafunzi UDSM

Kaka

na mimi pia ntajibu kwa point based na muda na mahala nilipo so i will make it as short as necessary

1... moja elimu bure si jambo baya kwa wote, hila in economic sense based on the state of the current economy it is not worth it. Ndio maana nikasema may be in the long run. Without wasting time elaborating the cost of the policy (which is going to prove that it is impossible based on the cost) lets concentrate on the matter if it were to be implemented. The gov needs to spend alot of money to make it possible and we also know the same money is also needed else where (in hospitals, wages, infustucture etc etc), so what is the point of funding a policy knowing at a certain point your just wasting money as those students are not going to enter into the economy for some time based on the current size of it (that is the economy).

On the same subject do your investigation to see what sector employs the most between the private and the gov. Based on the size of our economy you dont need to be a genius to figure out it is the gov. Kumbuka kama kipato cha serikali ni ushuru unao toka private meaning if the gov employs more than the private it hasn't got enough to pay its bills (usishangae tunakopa). Bado hela hiyo hiyo ilipie hawa wanafunzi, more teachers will be needed, school buildings will be need etc etc etc.

Now tell me which is a priority expanding the size of the economy first by increasing the private sector first au kulazimisha an expensive policy ambayo aina matunda in the end. Kibaya zaidi hawa wanafunzi wakimaliza shule watataka ajira ndio maandamano ya ajabu huko mbeleni.

2.... tunayo potential ya hivyo vitu tourism, ports, madini etc lakini are they giving us enough income to be ambitious au tunahitaji muda wa kuviweka sawa hili tuweze maximise potential on those sector you mentioned, kwa sababu unaweza ukawa na mbuga lakini watalii si vile na unaweza ukawa na port lakini volume si vile na unaweza ukawa na madini lakini kama umeya gawa bure tu kwa policy za sasa. Until you sort those sectors first and they are producing at max you can plan based on that income lakini for now it is what it is.

3....Bidhaa za mkulima zinahitaji demand kwa sababu mkulima anaweza akawa na hekari elfu tano baada ya mavuno akajikuta anauza vitu vyenye thamani ya hekari elfu moja, less demand to what he can produce. Sababu either people can not afford the product or the demand is just not there. So far Tanzania ni watu wangapi wanao fanya biashara kubwa na wakulima as their main suppliers ni wachache and this is what you call low demand either through poverty kwa wengi or poor gov policies.

Kujenga barabara sio sababu itakayo mfanya mkulima kufikisha biashara zake mjini extra capital kwenye new machinery kama malorry ndio itakayo weza kufikisha biashara mjini until then he will produce what he can sell. Kwa hivyo bara bara will not necessarily increase demand wafanyabiashara ndio wanahitajika kumuongezea mkulima demand. Without that economics look at demand at its existing state and not its possibilities, and currently demand is very low na bila ya wakenya ndio inaoneka ingekuwa balaa. It is for our politicians to find the factors and solve the problem either through friendly loans or lower taxes to encourage business participation.

Mwisho interest si kuwa na maana na taxes (but higher bank loans, meaning higher interest rates) taxes are also high (hila hapa sina huhakika na rates in businesses in terms of the sizes, that is kama hao jamaa wana akili timamu ya kukata ushuru kwa namna ya ku encourage economic growth).

Higher loans maana yake unawafanya watu wafikiri mara mbili kuchukua mkopo na watu wengi wenye business ideas without capital will be put off if they can not find money else where, ndio maana nikasema that is not a business friendly scenario.

Kesho.
 
Kaka

na mimi pia ntajibu kwa point based na muda na mahala nilipo so i will make it as short as necessary

Mkuu hapa unacomplicate issue na kuzunguka tuu. wakati point ni moja na ni kwamba hii nchi inaendeshwa vibaya na resources za kanda ya ziwa peke yake zingeweza kuendesha nchi nzima na watu wangepata ajira.

Unaongelea demand ya wateja kwenye ports..., hivi tumezungukwa na land locked contries ngapi? kugawa madini ovyo.., ni nani ameyagawa?, mbuga hazina wateja kivile..., (hivi serengeti, mt kilimanjaro) zinapatikana wapi na ni nani anatakiwa afanyie promotion hizi mbuga.... Eti unasema tungoje tuweke policy sawa..., (hivi tutangoja mpaka lini wakati haya madini yanakwisha na watu wanayamaliza?)

Hapo kwenye demand za mazao ya mkulima ndio umenimaliza kabisa ndugu.. hivi unajua kwamba badala ya kuuza raw materials ukiuza finished product ndio kuna faida zaidi..., na miundombinu bora toka source ya product kijijini mpaka mjini itapunguza cost, sababu ya transport cost kupungua..., Sasa basi Serikali ingekuwa inabusara ingesaidia wakulima wakaform cooperations (ambazo imeziua) hizi cooperations zingehakikisha wakulima mazao yao yanavunwa na kuwa processed kabisa kabla ya kuuzwa.. (mfano kama ni maziwa wanahakikisha yanakuwa packed kabisa) hii itaongeza ajira na mkulima atapata pesa nyingi zaidi kutokana na kuuzwa kwa finished product.

Hayo mambo ya loans na business ideas wewe unaongelea wajasiriamali wadogo mimi hapa naongelea forming big cooperations za wakulima ambazo zinaweza zikapewa ruzuku na serikali katika mwanzo wake wa kuanza kazi.., Naongelea Kuwa na viwanda vya maana vya kuweza kuleta ajira kwa majority ya watu. Lakini sababu priority zetu zipo upside down tunaongelea kujenga machinga complex ili tuendelee kuuza bidhaa za mchina.., lakini in really sense what we are doing is just increasing a middle man between consumer and seller while selling a product which is not even ours na mara nyingi imeingia nchini kwa njia za panya..

Kwa hiyo mkuu tusibishane bure... Hapa kosa ni la serikali na viongozi wetu kwa kufuja mali zetu bila huruma, kukosa DIRA, ambayo imesababisha nchi nzima sasa imekosa Dira

You are telling me kwamba tufanye mambo polepole kwanza tukuze uchumi wetu..., hivi uchumi umeshindwa kukua wakati madini yapo je tukishagawa yote ndio uchumi utakua???
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom