Kawambwa, Nahodha na Mwema wakutana na wanafunzi UDSM

Kibonde ni m***ya tena anakera kwa upuuzi wake redioni. Watu kama hawa ndio wa kupiga risasi once CCM imeondoshwa madarakani!
 
Maisha ya kujipendekeza na unafiki yana gharamakubwa, wakati mwingine mnafiki hujidai kujua kile asichojua na hii inamsumbua sana huyu Kibonde, ameaminiwa kipindi na anachodhani yeye ni kuwa 'mtoto' mzuri wa serikali ambaye akitoka kwenye kipindi anapitia hela ya bia kupoza koo. namshauri ajifunze mengi na si kujua mengi
 
Wanafunzi wametawanyika , wamekanyagana sana, wamejaribu kutupa mawe, ila kutokuwa wamoja kumewaponza , Engineering ndio wanaonekana bado wana nguvu, kwani wao wana ka-mgomo kao ka tofauti na wenzao, wao wanashinikiza mwanafunzi wa mwake wa nne aliyedisco arudishwe!

machozi tumetoa hata members of staff, tumetafuta maji na kunawa bila kupenda, wanafunzi wamekimbilia maofisini ,mwetu hapa ninao akina dada wanne hivi wanalia tu!!! mapinduzi gharama sana kwa nchi za kiafrika.

Dowans..dowans iliimbwa live....

sijajua chanzo cha mabomu...ila nilisikia shukuru kawambwa akiongea nao naona hawakuelewana , mwanzisha thread atatusaidia.

Madai ya elfu kumi yameanza tangu 2007!
 
...KIBONDE jamani!! mbona kuna njia nyingi za kujipendekeza kwa wakubwa??? ila haya ya kujifanya mara msemaji wa serikali...mara oohh msemaji wa CCM...ooohh mara msemaji wa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu!!! mambo ya kuropoka sensitive issues kama hizi za wanafunzi, kuna siku yatamtokea puwani!!! yaani jamaa bogus mukichwa kabisaaaa!!

mnamkuza saana na ninyi,i hate clouds,inaendelea kupoteza watu,tuipotezee mazima
 
Wasema anajiingiza kuzungumzia masuala nyeti ya wanafunzi kwa kuyabeza na kuyaanika kwa jamii kama masuala madogo, na serikali inamsikiliza.

Kwanza wanasema Kibonde mwenyewe ni total failure kitaaluma. So afunge domo.

Viongozi na wahusika wa clouds FM, tafadhali tunawaomba muondoeni Kibonde kwenye JAHAZI, watu waliolalamika kuhusu huyu bwana ni wengi sana. Ninapendekeza mpelekeni kwenye Africa Bambataa au Taarabu.
 
...KIBONDE jamani!! mbona kuna njia nyingi za kujipendekeza kwa wakubwa??? ila haya ya kujifanya mara msemaji wa serikali...mara oohh msemaji wa CCM...ooohh mara msemaji wa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu!!! mambo ya kuropoka sensitive issues kama hizi za wanafunzi, kuna siku yatamtokea puwani!!! yaani jamaa bogus mukichwa kabisaaaa!!

Huwa ananikera sana anapoongea kwa mamlaka na uhakika, tena wakati mwingine anatoa maagizo/amri. Kikwete na Pinda hata hawaongeagi hivyo
 
Wanafunzi wametawanyika , wamekanyagana sana, wamejaribu kutupa mawe, ila kutokuwa wamoja kumewaponza , Engineering ndio wanaonekana bado wana nguvu, kwani wao wana ka-mgomo kao ka tofauti na wenzao, wao wanashinikiza mwanafunzi wa mwake wa nne aliyedisco arudishwe!

machozi tumetoa hata members of staff, tumetafuta maji na kunawa bila kupenda, wanafunzi wamekimbilia maofisini ,mwetu hapa ninao akina dada wanne hivi wanalia tu!!! mapinduzi gharama sana kwa nchi za kiafrika.

Dowans..dowans iliimbwa live....

sijajua chanzo cha mabomu...ila nilisikia shukuru kawambwa akiongea nao naona hawakuelewana , mwanzisha thread atatusaidia.

Madai ya elfu kumi yameanza tangu 2007!

Anadhambi kawakusanya ili wapigwe mabomu? Kweli nji hii sheshe tupu
 
Kibonde anakela sana na poleni ambao bado mnamsikiliza jamaaa sitaki hata kumsikia!
 
Wanafunzi wametawanyika , wamekanyagana sana, wamejaribu kutupa mawe, ila kutokuwa wamoja kumewaponza , Engineering ndio wanaonekana bado wana nguvu, kwani wao wana ka-mgomo kao ka tofauti na wenzao, wao wanashinikiza mwanafunzi wa mwake wa nne aliyedisco arudishwe!

machozi tumetoa hata members of staff, tumetafuta maji na kunawa bila kupenda, wanafunzi wamekimbilia maofisini ,mwetu hapa ninao akina dada wanne hivi wanalia tu!!! mapinduzi gharama sana kwa nchi za kiafrika.

Dowans..dowans iliimbwa live....

sijajua chanzo cha mabomu...ila nilisikia shukuru kawambwa akiongea nao naona hawakuelewana , mwanzisha thread atatusaidia.

Madai ya elfu kumi yameanza tangu 2007!

Picha tafadhali?
 
Polisi wa kutuliza ghasia wamewapiga mabomu ya machozi wanafunzi wa UDSM. Mkasa huo umekuja mara baada ya kumalizika kikao cha wanachuo na waziri wa Elimu. baada ya wageni wote kuondoka ilikuja zamu ya FFU kuondoka kwenye eneo la tukio lakini wanafunzi kwa vile walikuwa wamepania kulipiza kisasi walianza kuwarushia chupa za maji FFU hivyo nao FFU kuanza kujibu mapigo kwa kupiga mabomu ya moshi kuwatawanya wanafunzi. Hivi ninavyoandika maeneo ya kampasi na uandisi na swimming pool hakutamaniki kwa moshi na watu wametawanyika wakikimbia ovyo.

Ni hayo kwa sasa kutoka mlimani.
 
Wanafunzi wametawanyika , wamekanyagana sana, wamejaribu kutupa mawe, ila kutokuwa wamoja kumewaponza , Engineering ndio wanaonekana bado wana nguvu, kwani wao wana ka-mgomo kao ka tofauti na wenzao, wao wanashinikiza mwanafunzi wa mwake wa nne aliyedisco arudishwe!!
Usichoke mkuu keep us posted.....
 
Wanafunzi wametawanyika , wamekanyagana sana, wamejaribu kutupa mawe, ila kutokuwa wamoja kumewaponza , Engineering ndio wanaonekana bado wana nguvu, kwani wao wana ka-mgomo kao ka tofauti na wenzao, wao wanashinikiza mwanafunzi wa mwake wa nne aliyedisco arudishwe!

machozi tumetoa hata members of staff, tumetafuta maji na kunawa bila kupenda, wanafunzi wamekimbilia maofisini ,mwetu hapa ninao akina dada wanne hivi wanalia tu!!! mapinduzi gharama sana kwa nchi za kiafrika.

Dowans..dowans iliimbwa live....

sijajua chanzo cha mabomu...ila nilisikia shukuru kawambwa akiongea nao naona hawakuelewana , mwanzisha thread atatusaidia.

Madai ya elfu kumi yameanza tangu 2007!

anzisha siredi nyingine kwa ajili ya hayo mabomu ya udsm pls
 
Polisi wa kutuliza ghasia wamewapiga mabomu ya machozi wanafunzi wa UDSM. Mkasa huo umekuja mara baada ya kumalizika kikao cha wanachuo na waziri wa Elimu. baada ya wageni wote kuondoka ilikuja zamu ya FFU kuondoka kwenye eneo la tukio lakini wanafunzi kwa vile walikuwa wamepania kulipiza kisasi walianza kuwarushia chupa za maji FFU hivyo nao FFU kuanza kujibu mapigo kwa kupiga mabomu ya moshi kuwatawanya wanafunzi. Hivi ninavyoandika maeneo ya kampasi na uandisi na swimming pool hakutamaniki kwa moshi na watu wametawanyika wakikimbia ovyo.

Ni hayo kwa sasa kutoka mlimani.

Hawa FFU walibaki nyuma kufanya nini kama hawajatumwa?
 
Back
Top Bottom