Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,408
- 33,283
Mheshimiwa Rais Samia anajitahidi kila muda kuwabadilisha Watendaji wakuu wa Serikali lakini hao watendaji wanamuangusha Boss Wao itabidi awatumbuwe sio kubadilisha nafasi Rais anatakiwa asiwaonee huruma wanaomuangusha katika kufanya kazi ya kuwahudumia Wananchi. Mpaka Apite Mr Makonda ndipo Wananchi wapate kulia jinsi wanavyo onewa na kutopata haki zao kutoka kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya? Rais Atumie nguvu kuwatumbuwa sio kuwa bembeleza Wazembe wa kazi.Waanze tu kufanya kazi
Tatizo Wanawake tunadharauliwa mnoMheshimiwa Rais Samia anajitahidi kila muda kuwabadilisha Watendaji wakuu wa Serikali lakini hao watendaji wanamuangusha Boss Wao itabidi awatumbuwe sio kubadilisha nafasi Rais anatakiwa asiwaonee huruma wanaomuangusha katika kufanya kazi ya kuwahudumia Wananchi. Mpaka Apite Mr Makonda ndipo Wananchi wapate kulia jinsi wanavyo onewa na kutopata haki zao kutoka kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya? Rais Atumie nguvu kuwatumbuwa sio kuwa bembeleza Wazembe wa kazi.
Naunga mkono hojaTunadhani hii case closed!
Wengi ndani na nje ya CCM mmekuwa mkihoji kwa nini Mwenezi wa CCM Paul Makonda amekuwa akifanya ziara na misafara mirefu kuliko hata PM na Naibu PM.
Katika ziara zake amekuwa akisikiliza kero za wananchi na kuwapigia simu papo kwa papo Waziri au Mkurugenzi na kutoa maagizo mazito. Wengi wamehoji mipaka yake ya kazi kama Katibu wa H/K Itikadi na Uenezi.
Akiwaapisha Wakuu wa Mikoa leo Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "utakuta mambo yanaharibika, haki za watu zinadhulumiwa, pesa zinatumika hovyo, yani mpaka Paul Makonda apite ayagundue ndipo yatatuliwe. Makonda ameyabaini mengi sana. Sasa msisubiri mpaka Makonda apite ndipo muwajibike".
Kwa kauli hii kila mtendaji wa Serikali na viongozi wote wa chama mtambue kuwa sauti ya Makonda ni ya Rais Samia Suluhu Hassan. Kwa maneno mengine Paul Makonda ni Bosi wenu wote na ndio maana alimwagiza hata Waziri Mkuu na Makamu wa Rais.
Case closed!
Kwa kauli amezidi kukipasua chama chakeTunadhani hii case closed!

Mayala huwa nasikiliza/nasoma vyema hoja zako ila siku hizi unaunga saana mkono kila hoja, nikwakuwa uchaguzi umekaribia???Naunga mkono hoja
P
Upepo puliza tuone nyeti za kukuMakonda dubwana la mama linamfanyia kazi wnayoitaka wale watendaji wa serikali ambao Kila siku wanafoka Leo mmejionea wenyewe sasa nendeni mkakalie viti Tu bila kuwahudumia wananchi kero zao