Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 3,541
- 4,520
Duh! Aithee; Hujasahau kututonya kweli kama kwenye boxer kulikuwa salama?

Duh! Aithee; Hujasahau kututonya kweli kama kwenye boxer kulikuwa salama?

Kuna dawa ya kumzuia mnyama pori asikudhuru?Kwanini🥺🥺🥺🥺
Nakazia hoja. Tena ukijua kwamba huyo hajaja hapo kirafiki -anatafuta riziki ya kila siku.🤣🤣🤣 yaani hapo ndugu chui anasikia harufu ya hewa chafu tu zinatoka mfululizo..... Kwenye mazingira kama hayo hapo ndio binadamu unajua tofauti na roho nafsi na mwili😂😂😂
Kwa nini ?Ila hapo angekosea kidogo tu akakutanisha macho hali ingekuwa tofauti
sasa mbugani anaendaje na gari hio?kamasioukuma nini?
AI isingetoka hivyo kwa kutengeneza picha hadi vi diteli vidunchu vijirudie pote vilipojitokezaCamera man alijuaje
Nanukuu: "Hivyo ningetulia tu kama mwamba hapo na kuepusha hofu na macho kugongana." Lakini huko down "maji tiririka" yakiendelea kumwagika.Wanyama wana tabia ya kukadiria hatari , na kama hawana njaa hawana sababu ya kushambulia kama hakuna hatari , mda mwingine hata simba humpita swala bila kumshambulia kama ameshiba .
Hivyo ningetulia tu kama mwamba hapo na kuepusha hofu na macho kugongana.
Usiwaze kiongozi. Magari huweza kufungwa camera au camera ikawa iko kwenye kofia au mahali pengine fixed sio lazima awepo cameraman.Mm Nawaz cameraman alikua wap
😹😹😹 Nna trip ya Mikumi mbona km umefanya niahirishe kiongozi..!!Nilishasema hivi, sitowahi kutoka nyumbani kwangu niende nyumbani kwa wanyama pori hata iweje. NEVER
OKNanukuu: "Hivyo ningetulia tu kama mwamba hapo na kuepusha hofu na macho kugongana." Lakini huko down "maji tiririka" yakiendelea kumwagika.
Ulikiweeepoooo??Usiwaze kiongozi. Magari huweza kufungwa camera au camera ikawa iko kwenye kofia au mahali pengine fixed sio lazima awepo cameraman.
Hapana. Unakusudia kusemaje broo?Ulikiweeepoooo??
Hapo m moja wetu angekimbia Mimi au chuiMlinzi wa wanyamapori alikuwa na wakati mgumu sana chui mmoja aliporukia gari lake aina ya Jeep na kuanza kunusa huku na kule.
Alijitahidi sana kutomtazama machoni hadi chui huyo aliporidhika na kuondoka bila kumdhuru
View attachment 3451556