Katika hali hii ungekuwa wewe ungefanyaje

Mpiga picha alikumbuka kumkagua huyo dereva kwenye suruali?
*
Binafsi napenda sana kutazama makala za wanyamapori, lakini sio kwenda huko Porini kuwaona, yaan bora niendelee kuwatazama kwa Tv, ila Porini nendeni nyie
 
Eye contact hutengeneza hisia
Naam. Hisia zikiwa na Kiashirio cha "Naweza kupambana nawe" /"Sikuogapi" Inaweza kuwa ni suluhisho kwa usalama wako mbele ya mnyama mkali hata akiwa simba. Lakini Hisia yenye kuashiria cha "Ole wangu mm, leo nimekwisha". Mwili wako hutoa harufu fulani ya "uadui"/"Vita"/"Mapambano" baada ya mwili kumwaga "Adrenaline". Na hapo ndo mtu anakurupuka na anakimbia e.g. wanavyofanya nyumbu au swala. Hebu zingatia kwamba dume la nyani huweza kumfukuza simba kwa vitisho tu ilhali nyani si mkubwa kama nyumbu bali ni ile mikwara yake .......
 
Na kuna hisia za woga pia ambazo huuandaa mwili kujihami kwa mapambano ama kujiokoa na hizo ndio mbaya zaidi
 
Mbona easy tu , unakanyaga mafuta chuma inachomoka af unapiga break gafla chui akitoka hapo lazima akatae wahuni
 
Race against time! Huyo mnyama ana speed kubwa kuliko binadamu
 
Na kuna hisia za woga pia ambazo huuandaa mwili kujihami kwa mapambano ama kujiokoa na hizo ndio mbaya zaidi
Exactly. Hii hali ya kuacha kuwa na woga uliopitiliza (Nashuhudia - hili ni tukio la kweli)ziliweza kumsaidia kijana mdogo wa Kimaasai(Std 6 SM)ajiokoe dhidi ya dume la simba alipokuwa akienda likizo kwa miguu kutokea shuleni kwao -shule ya msingi ya bweni. Kipindi hicho hapakuwepo na bodaboda kama ilivyo siku hizi. Mimi Naamini pia ni Mungu alimsaidia kwani katika kuongea naye binafsi alisema "Nilitulia tuli na sime yangu mkononi huku namkazia macho lakini baadaye simba alirudi alikotokea vichakani nami nikaendelea mbele kidogo natetemeka kisha nikatimka mbio hadi kwenye boma lililokuwa karibu na kupewa hifadhi na kesho yake nikasindikizwa".
 
Extreme guts...!!!!
 
Movie hizi.
Mafuta unakanyaga na mguu chief sema hizo ni reflex actions za adrenalin grand ambazo chui aki sensi hesabu umepakatwa, jamaa hakuruhusu adrenalin ifanye kaz ndio maana chui hakumuona kama threat
 
Kweli aisee.. Mm nisingeweza -Namwomba Mungu aniepushie tukio kama hilo.
Kuna situation utaweza kishapo utashangaa uliwezaje.. But sometimes bangi na vilevi vinginevyo huwapa watu uthubutu wa ajabu sana
 
Back
Top Bottom