Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,457
- 11,336
Imembusu au
Imembusu au
Mkigongana machi itakuwaje?Wanyama wana tabia ya kukadiria hatari , na kama hawana njaa hawana sababu ya kushambulia kama hakuna hatari , mda mwingine hata simba humpita swala bila kumshambulia kama ameshiba .
Hivyo ningetulia tu kama mwamba hapo na kuepusha hofu na macho kugongana.
Wanyama wana tabia ya kukadiria hatari , na kama hawana njaa hawana sababu ya kushambulia kama hakuna hatari , mda mwingine hata simba humpita swala bila kumshambulia kama ameshiba .
Hivyo ningetulia tu kama mwamba hapo na kuepusha hofu na macho kugongana.
Mpaka unapanga means ulishadhamiria kwenda ila kwangu mimi nilishasema haitowahi kutokea kwangu mimi nipange safari ya kwenda mbugani kuangalia wanyama, NEVER EVER! Ninyi nendeni tu😹😹😹 Nna trip ya Mikumi mbona km umefanya niahirishe kiongozi..!!