Kama wewe ni mpiga nyeto hii inakuhusu

Kama wewe ni mpiga nyeto hii inakuhusu

Miguel255

Member
Joined
May 13, 2020
Posts
35
Reaction score
113
Leo nimetimiza siku 54 bila kupiga punyeto naamini hii ndo itakuwa safari yangu ya mwisho katika kutimiza lile nililokuwa napigania muda mrefu. Nimeanza hii shughuli 2012 nikiwa bado nasoma, ilifika mahali kwa siku napiga hata mara 3 mpaka 5.

Kila nikisema niache nitakaa wiki baada ya hapo narudia. Ukawa ndo mchezo wangu mpaka nimekuwa mtu mzima sasa, sio kwamba sikuwa napata madem yaan madem ninao na nyeto nikawa napiga.

Hii shughuli imenidhalilisha, imenipotezea muda na nguvu. Unajua hakuna starehe mbaya kama starehe ya bei rahisi. Huitaji gharama kubwa kupiga nyeto ni wewe na privacy tu utelezi ukikosa sabuni hata mate kazi inaendelea.

Kama wewe ni kijana unasoma huu ujumbe na hujawahi kufanya huu mchezo nakusihi usijaribu. Mimi kufikia kutimiza siku zote hizi namshukuru sana Mungu kwani nayaona mabadiliko katika mwili wangu.

Siendeshwi na hisia tena, naweza kushinda ndani peke yangu na nisiguse. Naweza kusoma chombezo au hata kuangalia porno ya lisaa na nisipige nyeto. Yote haya sikuwa naweza hapo kabla. Ilifika mahali naweza stuka usiku kwenda kukojoa kitendo cha kufika chooni tu nastua kimoja.

Hii ni hatari sana, nyeto ina maliza sana nguvu. Sijui kama wapiga nyeto mme'notice ila mara nyingi kama si zote ukimaliza kupiga tu azima utasikia usingizi na kama upo sehemu nzuri basi utalala. Kuna muda kama nilikiwa sipati usingizi basi nakula nyeto sekunde tu nalala.

Nyeto ndo ikawa kama sleeping pill yangu, nilikuwa naelekea pabaya sana. Nimewahi piga mpaka msibani... yaani tumetoka kuzika tu nikaenda chooni sio kukojoa ila intentionally kula nyeto. Kuna kipindi fulani nilikuwa nauza duka, muda wa mchana wateja huwa wakuhesabu basi najificha nyuma ya friji nakula nyeto humo humo dukani

Nyeto si nzuri vijana acheni, nimewahi dhalilika mbele ya pisi. Pisi kali sana ya kihindi mixer mbongo baada ya kuifukizia kwa muda mrefu akaamua kunibariki tunda ila askari kichwa akagoma. Sitosahau ile siku alafu baada ya yeye kuondoka mzigo ukasimama freshi na nikala bao mbili kwa hasira

Yapo mengi mabaya yaliyonikuta kupitia hii kitu japo sikuwa napenda kufanya ila nimepata changamoto sana kuacha. Namshukuru sana Mungu.

Kama mimi nimeweza wewe pia unaweza. Fanya maamuzi
 
Attachments

  • Screenshot_20251223-182505_Quitzilla.jpg
    Screenshot_20251223-182505_Quitzilla.jpg
    74 KB · Views: 39

Una umri gani
 
Hakuna scientific research yoyote inayosema nyeto ina madhara. Suala la kupatwa na usingizi mara baada ya kumwaga ilo ni la kibaiolojia zaidi. Kuna homoni zinaachiwa na kupelekea kuwa hivyo na hiyo sio nyeto tu hata ukifanya sex baada ya kumwaga hiyo inatokea. Kuhusu kushindwa kusimamamisha inatokana na sababu nyingi uoga au lack of confidence wakati wa tendo.
 
Hapa namsubiri Mbaga Jr.
Ishu ya kulala baada ya nyeto ni jambo la kawaida hata kwenye mapenzi ya kawaida hiyo ipo kwa mwanaume na kwa mwanamke.

Mtu akiambiwa ataje madhara ya nyeto anaanza blah blah zile zile Za Kila siku bila uthibitisho, mm nna zaidi ya miaka 29 napiga nyeto na mademu nawala kama kawaida na sijawahi kuona tatizo lolote.
 
Hakuna scientific research yoyote inayosema nyeto ina madhara. Suala la kupatwa na usingizi mara baada ya kumwaga ilo ni la kibaiolojia zaidi. Kuna homoni zinaachiwa na kupelekea kuwa hivyo na hiyo sio nyeto tu hata ukifanya sex baada ya kumwaga hiyo inatokea. Kuhusu kushindwa kusimamamisha inatokana na sababu nyingi uoga au lack of confidence wakati wa tendo.

WATU WANAPENDA KUONGEA HABARI ZA UONGO HII KITU KAMA INGEKUWA NA HAYO MADHARA SIFIKIRII KAMA WATU WANGEENDELEA NAYO MPAKA LEO KWAKUWA BAADHI WAMEOA ILA HAWAACHI
 
Mi nilishawahi kufanya nofap challenge nikafikisha hadi siku 290+ bila huo mchezo , ila kama ni mwanaume rijali dawa pekee ya kuacha Nyeto ni kuoa, vinginevyo utairudia tu.

Kwa sasa nimeoa siku chache zilizopita na sioni madhara yoyote yaliyotokana na hiyo michezo, niko vizuri kiafya labda kama madhara yake inaweza kusababisha kuchelewa kuscore hapo sawa hilo tatizo ni nalo nachelewa sana kupiga goli kama prince Dube
 
Mtu akiambiwa ataje madhara ya nyeto anaanza blah blah zile zile Za Kila siku bila uthibitisho, mm nna zaidi ya miaka 29 napiga nyeto na mademu nawala kama kawaida na sijawahi kuona tatizo lolote.
Naunga mkono hoja, doctor Isack Ndodi aliwadanganya watu wengi sana kuhusu kupiga nyeto, na siku zote ukiona mtu anatumia nguvu kubwa kupinga kitu fulani basi jua hicho kitu ndo kina faida lukuki.

Mbona Dr. Isack Ndodi naye ananyetuka siku hizi?

Back
Top Bottom