Katibu Tawala aliyeiba mafuta anabebwa na familia ya Kikwete

Mkuu mdude, nakushauri kama una bifu na mtu, uungwana ni kumtafuta mkayamaliza!

Mbona unaonekana ni mwanaume halafu unaleta majungu ya kike humu, no wonder watu hawakuelewi!!

Wewe Mdude na Luka Mwashambwa, mnauangusha mkoa wa Mbeya na watu wake.

Wanaume wanaotoka Mbeya ni watu wa imara na wenye msimamo, nyie vipi???

Tunzeni heshima yenu binafsi, Tunzeni heshima ya kwenu, Tunzeni heshima ya watu wenu!

Kuvaa Sketi za kike hamziwezi, waachieni wanawake wenyewe wavae!
Mtu anapinga ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha wewe unaleta maneno ya kanga moja
 
Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete.

Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo ilimuweka kwanza kwenye shirika la mke wa kikwete wakati anasubiri mkeka wa u-DAS. Bw. Jacob alikuwa akitamba Bar na kwa marafiki wake kwamba muda wowote atakuwa ni katibu tawala wilaya yoyote hapa nchini. Bw. Jacob Rombo hakufanyiwa vetting yoyote isipokuwa alichomekwa tu na familia hiyo ya JK .

Inadaiwa baada ya sauti yake akiiba mafuta ya serikali kuvuja aliwasiliana na member wa familia hiyo kumjulisha kama anaweza kunusurika kuliwa kichwa. Member wa familia hiyo alimuhakikishia kwamba asiwe na wasiwasi kwani hawezi kuadhibiwa kwa kuiba mafuta ya laki 2 kila siku wakati kuna watumishi wanaiba mabilioni.

Naendelea kufiatilia jambo hili kwa ukaribu na kila nitakachopa nita-share na nyie hapa.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Kusikilikiza sauti ya DAS huyo akiiba mafuta unaweza kufuata link hii hapa chino 👇

View attachment 2942271
halafu wakati unapigiwa story na jamaa mwenye bifu na huyu muungwana wa halmashauri, kuna mambo umesahau kuyaweka humu kwenye hii script ili ilete hisia kali 🐒

au utamalizia kesho🐒

halafu jamaa alikua na mlungula kabisa kama issue itafanikiwa. vip jamaa, kaishakumegea ngap mpaka sasa ukapate cha arusha na visungura 🐒🐒

🤣unapewa hongo ili ukatoe taarrifa ya rushwa na udanganyifu dah, hii dunia ni msongamano kweli 🐒
 
Mkuu Hongera sana kwa kuendelea kufichua maovu tena bila woga na ukiwa verified…nimeanza kukuelewa sana mzee wa sumu ya nyigu!
Kikwete ndio mwenye nchi huyo kijana hatoguswa kamwe….

Ukitaka kujua angalia Jk anavyotamba kwa sasa…huyo kijana ata angeiba hazina asingeliguswa lakini wanao kutwa na nyama ya swala wanalimwa miaka 30 jela
 
Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete.

Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo ilimuweka kwanza kwenye shirika la mke wa kikwete wakati anasubiri mkeka wa u-DAS. Bw. Jacob alikuwa akitamba Bar na kwa marafiki wake kwamba muda wowote atakuwa ni katibu tawala wilaya yoyote hapa nchini. Bw. Jacob Rombo hakufanyiwa vetting yoyote isipokuwa alichomekwa tu na familia hiyo ya JK .

Inadaiwa baada ya sauti yake akiiba mafuta ya serikali kuvuja aliwasiliana na member wa familia hiyo kumjulisha kama anaweza kunusurika kuliwa kichwa. Member wa familia hiyo alimuhakikishia kwamba asiwe na wasiwasi kwani hawezi kuadhibiwa kwa kuiba mafuta ya laki 2 kila siku wakati kuna watumishi wanaiba mabilioni.

Naendelea kufiatilia jambo hili kwa ukaribu na kila nitakachopa nita-share na nyie hapa.

Mdude Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Kusikilikiza sauti ya DAS huyo akiiba mafuta unaweza kufuata link hii hapa chino 👇

View attachment 2942271
Kijana unajiamini sana. Hongera kwa mapambano dhidi ya hii serikali iliyooza kwa ufisadi na upigaji.

Rai yangu kwako ni hii hapa; ujitahidi kuwa smart aisee kwenye mambo yako! Usije ukarudia tena makosa kama yale ya kutegeshewa madawa ya kulevya na yule mrembo shushushu kutoka Chuga aliyekulewesha kwa mapenzi feki, na kujikuta umeingia mikononi mwa policcm.
 
Kikwete kumbuka yuko kwenye kamati ya Wazee wa CCM wa kusafisha wenye tuhuma za reoort ya CAG, kikwete na Pinda ndio viongozi wa kamati hio ya kuwaombea watuhumiwa msamaha kwa Raisi.
Hivi vizee corona iliviachaje kuendelea kuleta usumbufu?
 
Back
Top Bottom