Kwa hili linalotokea la nchimbi kujiuzulu mimi sina upande wa kutetea au kuponda sababu ukweli ni kwamba ccm wote wanafanana tabia na wanatumia playbook moja kwa hiyo huo ni uogomvi wa ndugu haina haja ya kuingilia na kuushabikia
Ccm ikiwa dhaifu kwa mda mrefu basi itakuwa ndo chachu ya...
Tuanzie kwenye kichwa cha habari hapo juu, ni MABADILIKO Gani alitaka kuyafanya mama na akuzuiliwa na Nchimbi?
Kumteua mbowe kuwa waziri mkuu?
Kumuuua Tundu Lissu?
Kuamua yakuwa katiba mpya haitotokea kamwe hata akiuuwa?
Ni yapi hayoo?
Walimu kutoka Wilaya ya Chemba, Mkoa wa Dodoma, tunacheleweshwa kupandishwa madaraja, tulitakiwa kupanda madaraja kuanzia Mei 2026, lakini hadi sasa hatujapandishwa wala kupewa maelezo ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa.
Tuliposubiri kupata majibu, baadhi yetu tuliwasiliana na Maafisa Utumishi...
Anonymous
Thread
daraja
kikwazo
mfumo
mfumo wa pepmis
mtumishi
pepmis
shemdoe
Mfumo wa kubadilisha umiliki wa magari nchini Tanzania umejaa vikwazo vingi visivyo na ulazima. Hii ndiyo sababu leo utakuta magari mengi yanatumika na watu tofauti kabisa na wale waliopo kwenye umiliki rasmi wa nyaraka. Hali hii inaleta changamoto kubwa kwa vyombo vya usalama, hasa pale...
Anonymous
Thread
fanya
kazi
kikwazo
kufanya
kufanya kazi
magari
moja
polisi
tanzania
umiliki
zao
Sisi wanakikundi tuliomba mkopo wa Halmashauri na tukafanikiwa kukopeshwa shilingi milioni tano kwa ajili ya mradi wa mama lishe, tulifuata taratibu zote za kuhudhuria mafunzo, kusaini mikataba ya kurejesha fedha hizo baada ya fedha kuingizwa kwenye akaunti ya kikundi tumezuiwa kuitoa bila ya...
Anonymous
Thread
afisa
jamii
kikwazo
maendeleo
maendeleo ya jamii
pangani
vikundi
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali iko tayari kusonga mbele na inapokea maoni na kuyafanyia kazi, akisisitiza kuwa haitakuwa kikwazo katika juhudi za kuimarisha umoja na mshikamano wa Watanzania.
“La mwisho nimeyapokea niliyoyasikia kwa niaba ya Serikali, na bahati nzuri...
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria, Jaji wa Mahakama ya Rufani Winifrida Korosso, amesema kuwa sheria nyingi zilizopo nchini hazilingani na mazingira ya sasa na baadhi yake zimekuwa chanzo cha migogoro katika jamii, ikiwemo kuongeza hasira na malalamiko miongoni mwa Vijana kutokana na...
Kuna TAPELI huwa anakuja kwa sura ya kutoa msaada au huduma mwisho wa siku ni maumivu na kurudi nyuma
Kuna WAZAZI mara nyingi wazazi wa ki Africa wanataka watoto waishi kwenye mawazo Yao na kusahau kua alie zaliwa ana mawazo yake na falsafa yake
MARAFIKI the way ulivyo mzoesha rafiki ndivyo...
Wachina wamesababisha haya yote kufanya Rais Trump kufuta viza za masomo.
Kwa nini na sema haya ?.Nchi ya china elimu kubwa wamepata USA tena upande wa teknolojia inaonesha kuwa ndio hasira za Rais Trump.
Jambo lingine ni kwamba wanafunzi wengi ni majasusi wa nchi walizotokea na sasa kuna...
Ni suala la muda mfupi tu hata hawa wanaomtesa Tundu Lissu kama vile Lissu ametia sumu kwenye ziwa Victoria ili watu wote wanaokunywa maji ya ziwa hilo wafe watakuwa upande wake baada ya kuona matendo makuu ya Mungu.
Mungu alisema jambo 2017, 2021 lakini watu hawajasikia sauti yake .
Atasema...
Genge la aliyekuwa mwenyekiti wa chama bwana Mbowe limeamua kujilipua. Limeamua kuukwamisha uongozi halali wa chama ili usifanye kazi yake. Litashindwa!
Hii iwaonyeshe Watanzania kuwa Mbowe kwa miaka yote hii alijenga chama huku akiwa na mawazo ya udalali wa kisiasa kwa maslahi binafsi...
Habarini wakuu
Suala la Chadema kuja na kauli mbiu ya No Reform No Election (NORENE) imetafrisiwa na wananchi wadadisi wa mambo kuwa Chadema wamekujanayo kutoka ng'ambo, mbaya zaidi wamesahau hata kubadilisha na kuiweka kwenye lugha mama.
Kuna kitu kimoja ambacho Chadema hujikwaa (technical...
Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga.
. Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
UZINGATIVU WA JINSIA: MFUMO DUME BADO KIKWAZO KATIKA MITANDAO YA KIJAMII
Utamaduni wa mfumo dume katika jamii umeelezwa ni mojawapo ya sababu za kutozingatia uandishi wa masuala ya kijinsia katika kuripoti habari wakati huu ambao idadi kubwa ya vijana nchini Tanzania wakitumia mitandao ya...
Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoridhia mikataba mbali mbali ya Kikanda na Kimataifa ya kuondoa aina zote za ubaguzi dhidi ya Wanawake, kama mkataba wa Cedaw ambao umeanzishwa mwaka 1987 na kuheshimu haki za Wanawake kama Haki za Binaadamu.
Licha ya kuwa Katiba ya nchi inatambua haki za raia...
YANGA YAMUANGUKIA MZEE MAGOMA
Kufuatia matokeo mabovu inayoyapata kwa siku za hivi karibuni Klabu ya Yanga kupitia kwa rais wake Eng:Hersi imeamua kumpigia goti mzee Magoma ili kumaliza tofauti zao
Ikumbukwe mara kadhaa mzee Magoma amekuwa akiuita uongozi wa Yanga kukaa nae chini lakini...
Ni wazi sasa Tanzania ingekuwa mbali sana kama tungekuwa na vyama pinzani ambavyo ni 50/50 kuliko sasa nchi yetu iko chini ya udikteta wa walarushwa nawabinafsi wa CCM.
Tungekuwa mbele kwenye haya
1. Tungekuwa na katiba mpya ambayo inajali maendelo
2. Tungekuwa na mifumo isiyotegemea rushwa...
Wanafanya tamthilia na Filamu tunaziona ila tunaweza kuchangia mawazo yetu nini kikwazo kinachotukwamisha toa mchango wako ukiwa mdau wa Filamu Tanzania 🙏🏾
Je, Wewe ni Mwenye Roho Nzuri Sana Mpaka Unaumia Kwenye Mapenzi? Hebu Tuongee Ukweli Mchungu!
Unajua ule usemi, "Moyo wa dhahabu"? Umewahi kuusikia? Au labda wewe mwenyewe umewahi kuitwa hivyo? Ni sifa nzuri sana kuwa na moyo wa dhahabu, kuwa mtu mwenye upendo, kujali, na huruma kwa wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.