Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,624
yule ni CCM full"Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini"
Huyu huyu alielia juzi kufanyiwa rafu Zanzibar mpaka jamaa wa CCM akajitoa au Zitto mwingine?!
Nina wasiwasi na hiyo nukuu hapo juu, inawezekana mleta mada umeikosea, tazama tena rekodi zako.