Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 948
- 1,092
- Thread starter
- #41
Au sio Tanganyika ilipata Uhuru ulioandikwa kwenye vitabu 1961; kwa haki na kweli si sahihi mwaka tajwa.1922-1961
Au sio Tanganyika ilipata Uhuru ulioandikwa kwenye vitabu 1961; kwa haki na kweli si sahihi mwaka tajwa.1922-1961
Kumbe Ashakuwa Mzee wa Busara.!
😂😂Kumbe Ashakuwa Mzee wa Busara.!
Nani kakuambia Urais ni kazi ngumu kiasi kwamba hao unaowataja hawawezi kuwa Rais?Vijana wenyewe kina Mdude and Co
Ama Bashite
Ama yule wa Arusha
Mhh hapana
Well, naamini kwenye Uhuru wa mawazo na kujieleza, hiyo ya vijana out of taasisi ya vyama vya siasa nakubaliana nayo 100% Ila umri wa 30 hapana naangalia pia muda ambao kijana anakuwa amemaliza chuo na kufanya kazi kupata uzoefu.Vijana waaminifu wapo, wachapa kazi na wasio na mawaa. Tatizo taifa hili wajinga wachache wameaminisha viongozi bora eti lazima watoke taasisi moja ambayo ni vyama vya siasa. Jiulize kuna taasisi ngapi zenye watu waungwana na welevu.
Juzi Rais kateua vijana ni jambo zuri na sawa; Ila wale vijana wote ni wanasiasa (wanatokea taasisi moja tu ambayo ni vyama vya siasa) hakuna hata mmoja anayetokea makundi maanani hata mmoja, yaani hakuna. Sasa hapo unahisi unapunguza tatizo au unachochea tatizo katika Utawala mzuri?
Tunataka Rais Kijana na KATIBA MPYA full stop.
Urais unahitaji uzoefu upi mbali na kuijua vyema jografia ya Tanzania?Well, naamini kwenye Uhuru wa mawazo na kujieleza, hiyo ya vijana out of taasisi ya vyama vya siasa nakubaliana nayo 100% Ila umri wa 30 hapana naangalia pia muda ambao kijana anakuwa amemaliza chuo na kufanya kazi kupata uzoefu.
Kwa TZ yetu wengi ndiounakuta kijana amehama nyumbani kwao au anajiandaa na mishe za kuoa na kujijenga kikazi na kijamii. Bado sana.
40 yrs ni sawa
Kwa hio leo unataka kumlinganisha Mdude na Mh Rais yupi?.Nani kakuambia Urais ni kazi ngumu kiasi kwamba hao unaowataja hawawezi kuwa Rais?
Marais tuliobahatika kuwa nao wana nini cha ziada kuwazidi hao vijana ukitoa kigezo cha Umri ?
Ni dhahiri hujui hii Nchi wala Taasisi zake wala mambo yanavyokwenda...Urais unahitaji uzoefu upi mbali na kuijua vyema jografia ya Tanzania?
Rais asiyeijua Tanzania ki - jiografia huyo hatufai. Na hii imetupa changamoto kubwa sana.
Now upo kwa point yangu, kijana aliuemaliza chuo na hajapata kuzungukia nchi kikazi huwezi kusema anaijua TZ kijiografia.Urais unahitaji uzoefu upi mbali na kuijua vyema jografia ya Tanzania?
Rais asiyeijua Tanzania ki - jiografia huyo hatufai. Na hii imetupa changamoto kubwa sana.
Hahaha I like the last sentence 😂Kwa hio leo unataka kumlinganisha Mdude na Mh Rais yupi?.
argue wth my ancestors..am done wth u
Kijana jitambue acha kufubaa akili utakosa maarifa.Kwa hio leo unataka kumlinganisha Mdude na Mh Rais yupi?.
argue wth my ancestors..am done wth u
Em nifunge kabisa hii pageHahaha I like the last sentence 😂
Sawa Kijana kesho utapewa uRaisKijana jitambue acha kufubaa akili utakosa maarifa.
Mazingira ndio yanachochea hasa kuwa na vijana ambao tunahisi wanamapungufu. Ila nakuhakikishia hakuna aliye muovu au mbaya isipokuwa tu mazingira ndio huamua.
Point ipi Kijana?Now upo kwa point yangu, kijana aliuemaliza chuo na hajapata kuzungukia nchi kikazi huwezi kusema anaijua TZ kijiografia.
Now you can relate na nilichosema mwanzoni mkuu.
He is too young to argue with matured people ukimpeleka kwa ancestors watamlaani atupe matusi bure 😃Em nifunge kabisa hii page
Mana huyu mtoto anachukulia uongozi kimasihara sana
Hii sawa-Mishahara ianzie million 5 kwa kila cadre na isizidi 10M!
-Kila baada ya miaka mitatu watu waachie ofisi wakajiajiri wapishe wengine kwenye vitengo watafte mitaji!