hii sio sawa,Habari Tanzania!
Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu zifuatazo;
1. Vijana ni wengi sana kuliko idadi kundi rika lolote Tanzania kwa umri tajwa.
2. Wazee kuanzia umri 45+ wapumzishwe wabaki kuwa washauri kwenye mambo yanayohitaji busara tu.
3. Uchama na Umaarufu hautakuwa maana; maana tutaangalia uwezo, ubora, namna unavyolifahamu taifa na mambo ya zingatio.
4. Umri ni kiashiria kizuri cha uwezo, juhudi, maarifa na uwezo wa kuishi kwa haki.
NB
Wazee mkalime na kulea wajukuu . Urais sio sehemu ya kupumzika au kujiegesha baaada ya kulitumikia Taifa.
huyo sio ndio anazabwa mikofiNaunga mkono hoja with Great Pleasure.
Hivi raisi wa Ufaransa ameingia madarakani akiwa na miaka mingapi.
2035. Nikachukue Fomu ya Urais.
Hii ndio sawa yao. Hatuwezi kuwa na viongozi ambao death rate yao ni kubwa ukilinganisha na vijana. Alafu wanakazania eti busara. Huu sio uungwana kabisa.hii sio sawa,
Kwahiyo kama ni hii nijiandae mwaka wa uchaguzi ujao kupambana na Samia
Vijana wenyewe kina Mdude and CoTulishapendekeza kwamba cheo chochote mtu apewe kuanzia umri wa miak 35+
Chini ya hapo mtatusamehe...
Kuwa na PHD sio uwezo wa kufikiri au kuongoza,uongozi ni malezi boraMimi napendekeza hata awe na miaka 21. Mbona waombea ubunge wanatakiwa kuwa na umri wa miaka 21?
Inadaiwa waliweka 40 kwa madai kwamba mtu anakuwa na hekima na busara kwenye maamuzi ktk umri huo. Sasa niwaulize Magufuli aliyekuwa na miaka 60 alikiwa hekima na busara?
Kwa taarifa yenu hekima na busara hazitegemei umri. It si an inborn character.
Tusinyimqne fursa kwasabb ya umri. John Mnyika ana busara mara 200 ya Magufuli
Sio kwa vijana Hawa wa sasa, CCM wamejaa wa hovyo CHADEMA wamejaa wa hovyo mtaani ndio wapo kwenye mitandao kutukana tu.Habari Tanzania!
Kwakuwa taifa tunakwenda kutengeneza mifumo mizuri na sio watu au chama imara katika nchi. Nashawishika kwa kutoa wazo la umri wa Rais uwe kuanzia miaka 30 na kuendelea kwasababu zifuatazo;
1. Vijana ni wengi sana kuliko idadi kundi rika lolote Tanzania kwa umri tajwa.
2. Wazee kuanzia umri 45+ wapumzishwe wabaki kuwa washauri kwenye mambo yanayohitaji busara tu.
3. Uchama na Umaarufu hautakuwa maana; maana tutaangalia uwezo, ubora, namna unavyolifahamu taifa na mambo ya zingatio.
4. Umri ni kiashiria kizuri cha uwezo, juhudi, maarifa na uwezo wa kuishi kwa haki.
NB
Wazee mkalime na kulea wajukuu . Urais sio sehemu ya kupumzika au kujiegesha baaada ya kulitumikia Taifa.
Lakini Nyerere alitawala maiti.Asingeweza kwa sasaAlikuwa na 30?
Unajua unapoweka utaratibu unapaswa uupime kwa muda, aina na uwezo uutakao.Kwa hiyo busara sasa zimehamia kwa watoto chini ya miaka 30, wazee 45+ busara zinashuka kwa kasi ya 5G..........au mimi ndo sijaelewa bandugu.
Alikuwa na
1922-1961Alikuwa na 30?
Kwani ana umri gani?huyo sio ndio anazabwa mikofi
Kama ni hivyo basi JF mtegemee Rais mwaka wa uchaguzi 2025Ndio upambanie sasa KATIBA MPYA kitengo cha Umri wa Rais.
Hatutaki mzaha na Taifa letu kabisa. Hii nchi inawahitaji wazee sio kwa sana kama zaidi ya vijana.
Sio kwa vijana Hawa wa sasa, CCM wamejaa wa hovyo CHADEMA wamejaa wa hovyo mtaani ndio wapo kwenye mitandao kutukana tu.
No aisee.
44Kwani ana umri gani?