Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,681
- 3,065
Lete sheria hapa acha upoyoyoKatiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.
Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni
Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge wakaapishwa.