Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya Wabunge au ukumbi wa Bunge

Hivi CCM wote kwanini huwa ni wajinga hivi?Kama tafsiri ya katiba ndiyo hiyo,kwanini bunge lilikaa kupitia kamati bunge la 11 na kubadili sheria ili wabunge waweze kuapishwa nje ya bunge?

Unaelewa maana ya "before the parliament"?Yaani "before the parliament" iwe na maana ya chooni au bafuni lakini kwenye eneo la bunge?!

Sheria zinazotungwa lazima zisikinzane na katiba na ikitokea imekuwa hivyo basi katiba ita over rule sheria husika!
 
Tasfsiri ya Bungeni ni nini? Wale wameapshwa bungeni .Bungeni ni location.Anga;ia hilo neno Bungeni usilikate liache hivyo hivyo lilivyo.BUNGENI.
ibara ya 68 ya Katiba kama yanavyosomeka hapa chini:
“Kila mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla ya kuapishwa.”

Hivi ndivyo katiba inasema haisemi ataapishwa bungeni bali kuapishwa katika bunge.
 
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge

bungeni ni kwenye majengo ya bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la bunge au bafu ya bunge ili mradi ni bungeni sababu katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa bunge inasema tu bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya bunge wakaapishwa
Mbona unahangaika sana Mkuu?

Kama utaratibu ulifuatwa kwenye kuteua na kuwasilisha majina NEC kwanini unahaha kila sekunde kufungua uzi mpya?

Uliona wapi mtu atolewe gerezani usiku na asubuhi yake akaape kuwa mbunge? Kumtoa mtu gerezani ni process, kuna release order ya Mahakama, na mahakama ni lazima iwe na maamuiz hayo yaliyo genuine sio DPP kutamka dakika moja dakika ya pili mahakama imeandaa release order, na usiku huo huo mtu katolewa?

Magereza nao wana utaratibu wao wa kumtoa mtu, kuna makaratasi kibao ya kusaini..
Mambo yote haya yaliwezaje kufanyika ndani ya muda mfupi tena usiku?
Tusiivue nguo serikali wakuu, tunalitia aibu taifa
 
Hivi CCM wote kwanini huwa ni wajinga hivi?Kama tafsiri ya katiba ndiyo hiyo,kwanini bunge lilikaa kupitia kamati bunge la 11 na kubadili sheria ili wabunge waweze kuapishwa nje ya bunge?
Unaelewa maana ya "before the parliament"?Yaani "before the parliament" iwe na maana ya chooni au bafuni lakini kwenye eneo la bunge?😁😁😁!
Sheria zinazotungwa lazima zisikinzane na katiba na ikitokea imekuwa hivyo basi katiba ita over rule sheria husika!

Vilaza wa lumumba tumeelewana?
Katiba inatamka wataapa bungeni hayo mengine katiba haiyatambui ndio nayasikia kwako
 
Uelewa wa wanachadema wengi mdogo
Kuapa unatakiwa kuapa mbele ya afisa mwapishaji kwenye eneo husika.Wabunge sio maafisa waapishaji ,Spika ndie afisa mwapishaji kwa hiyo huwezi sema ohh walitakiwa kuapa mbele ya wabunge wenzao kwani hao wabunge wenzao ni maafisa viapo?

Mwapishaji Spika yuko huru kuapisha popote ili mradi ni bungeni kama ilivyo kwa hakimu aweza kuapisha popote sio tu ndani ya chumba cha mahakama aweza kukuapisha hata ofisini kwake mradi ni kwenye eneo la mahakama kama akiona inafaa
Haijalishi.kikao gani kimewapitisha?BAWACHA ambacho Mdee &Co ni hawakukaa,ni bora wangekaa wakapendekeza kwa kamati kuu majina,kamati kuu ingekataa kujadili.wangelalamika sisi wapiga Kura tumgepima maana ni kwa idadi ya Kura zetu ndio wanatoboa .
 
Mbona unahangaika sana Mkuu?
Kama utaratibu ulifuatwa kwenye kuteua na kuwasilisha majina NEC kwanini unahaha kila sekunde kufungua uzi mpya?

Uliona wapi mtu atolewe gerezani usiku na asubuhi yake akaape kuwa mbunge? Kumtoa mtu gerezani ni process, kuna release order ya Mahakama, na mahakama ni lazima iwe na maamuiz hayo yaliyo genuine sio DPP kutamka dakika moja dakika ya pili mahakama imeandaa release order, na usiku huo huo mtu katolewa?
Magereza nao wana utaratibu wao wa kumtoa mtu, kuna makaratasi kibao ya kusaini..
Mambo yote haya yaliwezaje kufanyika ndani ya muda mfupi tena usiku?
Tusiivue nguo serikali wakuu, tunalitia aibu taifa
mwongo mkubwa wewe hawakuwa gerezani walikuwa rumande.Rumande ni tofauti na gerezani.Wale walikuwa hawajahukumiwa hivyo mambo mengine yalikuwa yakiendelea kama kawaida
 
Katiba inaposema bungeni inamaanisha location

Hao wameapishwa bungeni na mwapishaji halali kabisa Mheshimiwa Spika kwenye eneo la bunge
Kada wa CCM anae watetea hao wapinzani ni msaliti ..kama anataka hao wapinga Maendeleo basi akajiunge nao.
 
mwongo mkubwa wewe hawakuwa gerezani walikuwa rumande.Rumande ni tofauti na gerezani.Wale walikuwa hawajahukumiwa hivyo mambo mengine yalikuwa yakiendelea kama kawaida
Ndiyo maana alikua anaenda kulala kwake na kula kwake alafu anarudi mahabusu.
 
katiba inatamka wataapa bungeni hayo mengine katiba haiyatambui ndio nayasikia kwako
Acha uongo katiba inasema hivi

68. Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha
uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini
Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla
hajaapishwa.

Uko hapa unatetea hata kitu ambacho hujasoma
 
katiba haisemi hivyo
Nimekuwekea kifungu cha katiba, mbona unabisha bila kuweka?
Kifungu cha katiba kinasema hivi

68. Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha
uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini
Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla
hajaapishwa.
 
katiba inatamka wataapa bungeni hayo mengine katiba hayayatambui ndio nayasikia kwako
Katiba imesema "before the parliament",na spika wakati anawaapisha akina Halima,alitoa ufafanuzi kuwa kabla ya kamati kutunga sheria ndogo ilikuwa ni lazima wabunge waapishwe bungeni mbele ya wabunge!Kwamba hiyo ilitoa changamoto kwasababu wabunge wakikosa kuapishwa bunge la kwanxa ilibidi wasubiri mpaka mkutano mwingine ili waapishwe!Hiyo ilipelekea wabunge kuchelewa kutekeleza majukumu yao kusubiri kuapishwa!

Kwa maelezo hayo ya Ndugai ni wazi hata spika anaelewa "before the parliament" inamaana gani ndio maana hakukuwahi kutokea mtu kuapishwa nje ya bunge!

Bunge la 11 lilifanya marekebisho ya sheria ili mtu aweze kuapishwa nje ya bunge,cha ajabu wakasahau kubadili katiba ambayo mpaka leo inatamka wabunge wataapishwa ndani ya mkutano wa bunge!

Ndio nasema Katiba ni sheria mama,sheria zozote zinazokinzana na katiba ni batili!
 
Anajua sana ila si unajua njaa huathiri ubongo hata umueleze vipi si kwamba haelewi anakuelewa ila kaamua kushupaza shingo
 
Acha uongo katiba inasema hivi

68. Kila Mbunge atatakiwa kuapishwa katika Bunge kiapo cha
uaminifu kabla hajaanza kushiriki katika shughuli za Bunge; lakini
Mbunge aweza kushiriki katika uchaguzi wa Spika hata kabla
hajaapishwa.

Uko hapa unatetea hata kitu ambacho hujasoma
inasema Katika Bunge haiseme katika ukumbi wa bunge etc haiko specific hivyo hata bafuni spika aweza apisha mradi ni eneo katika bunge

Sheria za viapo zinabaki pala pale mbunge sio afisa viapo hawezi apisha yeyote bungeni hivyo awepo asiwepo ni useless kinachptakiwa kuwe na mbunge mwapaji na afisa mwapishaji ambaye ni spika full stop na eneo liwe bungeni
 
We jamaa mara ya kwanza nimekuuliza definition ya bunge ni nini, ukasema hapana haisemi bunge inasema bungeni, sasa nimekuletea kifungu umebadili gear na unajua kabisa tafsiri ya bunge sio jengo. Bunge ni "Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake."
 
CCM wamecheza rafu za kipumbavu sana. Mbona chaguzi za huko nyuma walikuwa wanajua kula na kipofu? Walikuwa wanacheza rafu zenye akili.
Tatizo ni Jiwe, sasa Jiwe na u-smart wapi na wapi! Naamini ccm wapo watu na walikuwepo watu smart ambao wanajua kicheza rafu zenye akili sema bwana Jiwe alishasema yeye hashauriki, hivyo hao watu smart wanaogopa kutoa ushauri wao.
 
Back
Top Bottom