Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya Wabunge au ukumbi wa Bunge

Mkuu kwani tafsiri ya bunge ni nini hasa, je ni jengo au ni chombo?
Kwa uelewa wangu mdogo, bunge ni mhimili ambao kulingana na vigezo fulani kuwepo linakuwa bunge. Sidhanii kuwa jengo linakuwa bunge kama jengo, bali kukiwa na 1,2,3....
 
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.

Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.

Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Bungeni ni wapi na bunge ni nini?na kama wanaweza apishwa barazani kwa nn hawafanyi hivyo.Tupe ufafanuzi wa maana ya bungeni na bunge.
 
Wagonjwa watapumzishwa wodini.. Hata iwe kwenye korido ni sawa tu

Kukusaidia tu ni kuwa hujui maana ya maneno bunge na bungeni na wabunge.

Wanafunzi wapo shuleni ukifka utakuta darasani. Bungeni ni sehemu moja haina kwingine ni ndani ya bunge nje sio bungeni ni viunga au viwanja vya bunge.
 
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.

Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.

Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Hahahahaa nimecheka sana, Watanzani tunasumbuliwa na nini? Kwa nini isingetamka viwanja vya Bunge, ukumbi wa msekwa, jiko la Bunge! Lakini inasema "bungeni'maana yake ndani ya Bunge hata kama hakuna wabunge wengine lakini iwe Bungeni, means ndani.
 
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.

Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.

Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Kwa mantiki hiyo hata chooni katika vyoo vilivyopo katika jengo la Bunge ni Bungeni sio?

Kwani ili paitwe Bungeni ni vigezo vipi vinatakiwa kuzingatiwa ili eneo lolote lile liwe ni Bungeni

Usiniambie spika angekuja kuwaapishia sebuleni kwangu napo pangeitwa Bungeni lazima kutakua na vigezo vya kufanya sebule yangu iwe Bungeni
 
Mkuu naomba tafsiri ya Before National Assembly.
 
Bunge linakuwa na hadhi yake mara tu ile siwa ikiwekwa mbele, ndiyo maana likikaa kama kamati hiyo siwa uondolewa.
Kuapa bungeni ni pale hadhi ya bunge inapokuwa dhahiri.
Sina uhakika sana labda spika aliiweka siwa pale nje then kiapo kikafanyika.
 
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.

Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.

Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Kwa kiswahili fanisi ni ndani ya Bunge,ukisema mtuhumiwa amefikishwa Mahakamani utakuwa na maana ya ndani ya jengo LA mahakama na mbele ya hakimu
 
Kwa mantiki hiyo hata chooni katika vyoo vilivyopo katika jengo la Bunge ni Bungeni sio?

Kwani ili paitwe Bungeni ni vigezo vipi vinatakiwa kuzingatiwa ili eneo lolote lile liwe ni Bungeni

Usiniambie spika angekuja kuwaapishia sebuleni kwangu napo pangeitwa Bungeni lazima kutakua na vigezo vya kufanya sebule yangu iwe Bungeni
Yaa choo Cha. Bunge Ni bungeni sahabu bungeni Kuna majengo mengi vikiwemo vyoo ukisema niko bungeni hapa waweza kuwa uko chooni
 
Tasfsiri ya Bungeni ni nini? Wale wameapshwa bungeni .Bungeni ni location.Anga;ia hilo neno Bungeni usilikate liache hivyo hivyo lilivyo.BUNGENI.
"Every Member of Parliament shall be required to take and subscribe before the National Assembly the oath of allegiance before commencing to take part in the business of the National Assembly save that he may take part in the election of Speaker before taking that oath." [Article 68].
Umeelewa maana ya Bungeni? Siyo geographical location bali mamlaka, mbele ya Kikao cha Bunge!
 
Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya wa Wabunge.

Bungeni ni kwenye majengo ya Bunge waweza apishwa hata kwenye jiko la Bunge au bafu ya Bunge ili mradi ni Bungeni.

Kwa sababu Katiba haijatamka kuwa wataapishwa ukumbi wa Bunge inasema tu Bungeni yaweza kuwa hata viwanja vya Bunge .wakaapishwa.
Kwa hiyo ukisikia mtu anasema " katika uchaguzi huu kulikuwa na wagombea wawili ambao ni Neema na Musa, tumeamua kumpeleka Neema bungeni"unaelewa nin?
 
Back
Top Bottom