Sitanii
JF-Expert Member
- Nov 20, 2024
- 516
- 692
Nashindwa kuwaelewa ujue mkuu.Yaani wanakulakula ovyo tu mkuu,🤣🤣🤣🤣🤣
Sema ndiyo hivo, ni asili yao
Nashindwa kuwaelewa ujue mkuu.Yaani wanakulakula ovyo tu mkuu,🤣🤣🤣🤣🤣
Wapo pia samaki flan wadogo wanaitwa saladini....hao pia ni balaaLabda Jodari tu kwa baharini ndo mtamuuu...
Nimekula kaka pia hata KAMONGO WA MAJI CHUMVII NI WAZURII UMEWAI KULA KAMONGO WA MAJI CHUMVIIUshawahi kula jodari au kingfish kaka?
Hao ndo samaki pekee Unakula Huku minofu yake unafunua Kama page za kitabu....hao samaki ni Hatari aisee
Ni maji kaka,me dar sipapendi ila maji ya kuoga Yan unaoga mpk unahisi kweli nimeoga ndomana wanatakataNadhani sio maji ila hali ya hewa. Maeneo ya pwani yana oxygen nyingi na moist air ambayo ni nzuri kwa ngozi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nashindwa kuwaelewa ujue mkuu.
Sema ndiyo hivo, ni asili yao
Hv kamongo ndo kitoga au?Nimekula kaka pia hata KAMONGO WA MAJI CHUMVII NI WAZURII UMEWAI KULA KAMONGO WA MAJI CHUMVII
😂😂Duh ,bara hamna samaki wala hamjui kuhusu samaki ..Ni vile mimi sikariri majina ila hao sato na sanag hata yale makonokono ya baharini ni matamu.Labda Jodari tu kwa baharini ndo mtamuuu...
mimi ni muumini mkubwa sana wa vibua - ndo nambari wani kwangu1. Sato
2. Sangara
3. Vibua nalia shida vikipikwa nyumbani au ugenini. ila kwangu hapana.
4. Kambale hata ugenini mkipika nitakataa kula bila wasiwasi. Samaki gani sasa yule 😒
Hahahaha ngoja kwanza, kilamba umewahi kula? usipoambiwa utakula mpaka ung'ate kipande cha sahani mkuu.Kambale ni hamna kitu hao kabisa 😂😂
Wanataka kafanana na vibuaHv kamongo ndo kitoga au?
Wana shombo sana hao samakiiKambale ni hamna kitu hao kabisa 😂😂
Siwajui ila uko upareni nimekula sana samaki wa huko ,kama kambale ni kama mazumburu ya bahari...Sato na sangara nimekula sana ,sio watamu wala hawana ladha .Hahahaha ngoja kwanza mkuu, kilamba umewahi kula? usipoambiwa utakula mpaka ung'ate kipande cha sahani mkuu.
Inategemea kwa mfano kuna samaki ziwa nyasa anaitwa mbasa mtu aliyetokea pande hizo hao uliowataja ataona hamna kituWasalamu.Tumsifu Yesu Kristo.Wapo samaki wa maji moto yani Bahari na hawa maji baridi yani ziwani.
Ila kwa leo naomba kujua Kati ya Sangara,Sato na vibua na kambale ni kundi gani ni watamu zaidi?
Siyo unachokipenda wewe ndo kila mtu anapendaSiwajui ila uko upareni nimekula sana samaki wa huko ,kama kambale ni kama mazumburu ya bahari...Sato na sangara nimekula sana ,sio watamu wala hawana ladha .
Kiufupi watu wa bara mkubali hamjui samaki 😂😂😂huu ni ukweli kabisa ...Kwa sababu ni moja kama hujui ! SAMAKI WENU WAMEPOOZA LABDA UWEKE CHACHANDU ...Baharini wana chumvi so ni watamu hao wa kwenu hamna kitu ,kuna kule mwenye miba ndiyo kabisa kama kibudu.
Huku Tanga ukiuza wa bara haupati hata mia labda dagaa mafua hao..Dar wanauzika kwa vile kuna wabara wanakula vya kwao.
Hahaah mimi nimekula wote mkuu na sahii niko pwani jirani yako hapa, changu, mkundaji, jodari n.k na wa bara nimekula wa mitoni nimekula, nyie watu wa pwani tatizo mnataka samaki wote duniani wawe wa kwenu, kwahyo sisi kule ziwani tunavua mijusi au?.Siwajui ila uko upareni nimekula sana samaki wa huko ,kama kambale ni kama mazumburu ya bahari...Sato na sangara nimekula sana ,sio watamu wala hawana ladha .
Kiufupi watu wa bara mkubali hamjui samaki 😂😂😂huu ni ukweli kabisa ...Kwa sababu ni moja kama hujui ! SAMAKI WENU WAMEPOOZA LABDA UWEKE CHACHANDU ...Baharini wana chumvi so ni watamu hao wa kwenu hamna kitu ,kuna kule mwenye miba ndiyo kabisa kama kibudu.
Huku Tanga ukiuza wa bara haupati hata mia labda dagaa mafua hao..Dar wanauzika kwa vile kuna wabara wanakula vya kwao.