Mie nikiagiza staki Mafuta zile Nyama ni tam si utani👌🏾Ana mafuta mengi ujue japo mtamu
Nadhani sio maji ila hali ya hewa. Maeneo ya pwani yana oxygen nyingi na moist air ambayo ni nzuri kwa ngozi.Maji ya dar yana lotion 🧴 yaani wadada wakija mjini lazima wanone wapendeze
Maji ya DAR ES SALAMA YANA LOTION 😊😊😊
Kwa kweriiiii 😊 watu wengii wametakata kweriiiii kweriiiii baada ya kuja dar es salaamNadhani sio maji ila hali ya hewa. Maeneo ya pwani yana oxygen nyingi na moist air ambayo ni nzuri kwa ngozi.
Na kambakochi (lobster) unakula?Weka kamba/prawns hapo.
Hao wengine tunalia shida tu. Bora kula maharage au mboga mboga
Pika mchuzi au mkaangeKwa hiyo sangara anapikwaje ili awe mtamu zaidi ?
Samaki watamu sana type ile, I mean kambale, mumi, ningu, nembe, na samaki flani hivi hua natafuta sana1. Sato
2. Sangara
3. Vibua nalia shida vikipikwa nyumbani au ugenini. ila kwangu hapana.
4. Kambale hata ugenini mkipika nitakataa kula bila wasiwasi. Samaki gani sasa yule 😒
Vinyama bahari...😂😂Hawa ni wadudu sio samaki,hata kwa viboko hunilishi
Ushawahi kula jodari au kingfish kaka?Umekulia wap wewe? Kwa SISI TULIO kujaga dar es salaam Tanzania ukubwani nikimaanisha university ndio ilituleta dar.
First time dagaa, samakii maji chumbii na maji ya dar es salaam yalinishindaga now Nina miongo kadhaa hapa dar hivyo nime adapt ila mwanzo nilisumbukaga sanaa now nakula mpaka uduviiii
Kambale ni hamna kitu hao kabisa 😂😂Kambale ni mtamu hasa akitiwa limao la kutosha, umewahi kula kilamba wa ziwa basutu aliyetengenezwa vizuri?.
Yaani wanakulakula ovyo tu mkuu,🤣🤣🤣🤣🤣Vinyama bahari...😂😂
Watu wa pwani kusifia sasa hayo mavitu yao.
Siku moja nimeenda ferry kigamboni nikaonja pweza wao.
Mmh! Overrated, hamna chochote.