Haaahaa 😂 chunusi zinaisha unakua soft soft eeeeeeeeHahahaha wote ke na me wanatakata,,
Ila joto la huku ndo lina impact kuliko maji yenyewe
Kibua wa tanga ndio mtamu, nyinyi huko mnalishwa wale vibua wanaokuja kwenye masanduku kutoka China waliopigwa dawa za maiti mna haki ya kusema hawana ladha.Wengine wanasema vibua watamu wengine havina ladha.
Kambale ni mtamu hasa akitiwa limao la kutosha, umewahi kula kilamba wa ziwa basutu aliyetengenezwa vizuri?.1. Sato
2. Sangara
3. Vibua nalia shida vikipikwa nyumbani au ugenini. ila kwangu hapana.
4. Kambale hata ugenini mkipika nitakataa kula bila wasiwasi. Samaki gani sasa yule 😒
Uroho born with.Sato na kibua kwangu ni the best!
Sato pishi lolote mchemsho,mkaango,mbaniko🤣🤣🤣🤣
Kibua ni vyema akiwa mkavu!
Sangara kuna Yule aliyabanikwa na moshi wanamuita kibambala aisee dunia ina vitu vitamu Sana!!!
Labda Jodari tu kwa baharini ndo mtamuuu...Sato hana mpinzani Kwa upande wangu,
Samaki wa maji chumvi hasa baharini siwaelewagi
Uchoyo Tu kujifanya hupendi Kula!!Uroho born with.
Hawa ni wadudu sio samaki,hata kwa viboko hunilishi
Sasa unafafanua mpaka aina za mapishi mpaka kibambala unajua kah.Uchoyo Tu kujifanya hupendi Kula!!
Mkuu hao ni kweli ni vibua exported kutoka macho madogo, huwa weusi tii wamekomaa na wana sura ngumu balaa na wako ladha less unakuwa kama unakula yale mavipande ya godoro yanayojazwa ndani ya mto wa kulalia.Umenichekesha mkuu
Honestly sijawahi pata chunusi toka balehe mpka sasa 😂Haaahaa 😂 chunusi zinaisha unakua soft soft eeeeeeee
Yupoje huyo ?Labda Jodari tu kwa baharini ndo mtamuuu...
Sato ni hbr nyingine acha kumfananisha na hizo shombo zingine, kwa mbaaaali sangara anafuatiaWasalamu.Tumsifu Yesu Kristo.Wapo samaki wa maji moto yani Bahari na hawa maji baridi yani ziwani.
Ila kwa leo naomba kujua Kati ya Sangara,Sato na vibua na kambale ni kundi gani ni watamu zaidi?
Huyu kiumbe wa maji baridi hana mpinzani kwa UTAMU aisee........ Wakuitwa KAMONGOWasalamu.Tumsifu Yesu Kristo.Wapo samaki wa maji moto yani Bahari na hawa maji baridi yani ziwani.
Ila kwa leo naomba kujua Kati ya Sangara,Sato na vibua na kambale ni kundi gani ni watamu zaidi?