steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 11,344
- 13,367
Wanaumwa hao,🤣🤣🤣Seafood!
Kwani tupo japani sie?
Wanashangaza sana mkuu.
Kuna jamaa angu wa chuo kipindi hicho toka Mtwara 😂😂 anakwambia vyote vya baharini kwao kiimani ni visafi.
Mkuu🙌🙌😆
Wanaumwa hao,🤣🤣🤣Seafood!
Kwani tupo japani sie?
Wanashangaza sana mkuu.
Kuna jamaa angu wa chuo kipindi hicho toka Mtwara 😂😂 anakwambia vyote vya baharini kwao kiimani ni visafi.
Mkuu🙌🙌😆
Kibua ☑️Wasalamu.Tumsifu Yesu Kristo.Wapo samaki wa maji moto yani Bahari na hawa maji baridi yani ziwani.
Ila kwa leo naomba kujua Kati ya Sangara,Sato na vibua na kambale ni kundi gani ni watamu zaidi?
Wqkikusikia mkuu.Wanaumwa hao,🤣🤣🤣
Mbona mi sioni tofauti yao, wote ni watamu tu na wana faida mwiliniWasalamu.Tumsifu Yesu Kristo.Wapo samaki wa maji moto yani Bahari na hawa maji baridi yani ziwani.
Ila kwa leo naomba kujua Kati ya Sangara,Sato na vibua na kambale ni kundi gani ni watamu zaidi?
MapishiWasalamu.Tumsifu Yesu Kristo.Wapo samaki wa maji moto yani Bahari na hawa maji baridi yani ziwani.
Ila kwa leo naomba kujua Kati ya Sangara,Sato na vibua na kambale ni kundi gani ni watamu zaidi?