CCM ya JPM ilikuwa imara kwa sababu watu wallipenda toka moyoni. Heshima ilikuwepo kwa wenye nacho na wasionacho.Samia amerudi enzi ya Kikwete, Magufuli aliondoka enzi ya Kikwete.
CCM ya Kikwete na CCM ya Magufuli ipi ilikuwa imara zaidi?? Jibu unalo mwenyewe.
CCM ya JPM ilikuwa imara kwa sababu watu wallipenda toka moyoni. Heshima ilikuwepo kwa wenye nacho na wasionacho.
Ukitaka kujua waulize wauza kadi na wauza sare za chama.
Wakati wa JP watu walijivunia chama.
Waliunda umoja bila shuruti!
Lakini sasa hivi kimekuwa ni chama cha mammbuzi, yanakula tu kwa urefu wa kamba!
Itabidi tukaongee na Gwajima amfufueCCM ya JPM ilikuwa imara kwa sababu watu wallipenda toka moyoni. Heshima ilikuwepo kwa wenye nacho na wasionacho.
Ukitaka kujua waulize wauza kadi na wauza sare za chama.
Wakati wa JP watu walijivunia chama.
Waliunda umoja bila shuruti!
Lakini sasa hivi kimekuwa ni chama cha mammbuzi, yanakula tu kwa urefu wa kamba!
Jibu hoja mbwa weweItabidi tukaongee na Gwajima amfufue
Samia anaongozwa na kikwete,sema hivi kati ya Magufuli na Kikwete nani yuko sawa kuhusu idadi ya wajumbe ccm NEC taifaMagu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili!!
Sio kwamba akafufuliwe mama yako?Itabidi tukaongee na Gwajima amfufue
100% correct! Kwani maza anahitaji awamu 2?It doesn't matter. Kila mmoja amefanya mabadiliko kwa malengo yaleyale, kuweka watu wake na kujihakikishia awamu ya pili ya uongozi.
Nguvu ya dola isingefua dafu kama hakuna political legitimacy, nguvu hiyo ilikuwa dhidi ya mafisadi waliokuwa wame consolidate power and wealth yet walikuwa wameshafikisha tentacles zao ndani ya hazina ya nchi, ingekuwa wewe ungewadhibitije?Nguvu ya dola ndio umeisahu katika uchambuzi wako
Ife kabisa..JK ccm ilishamfia mikononi. Kina Bashiru wakaifufua. Naona kina JK wamerudi tena kumsaidia Samia kuizamisha ccm shimoni kama phase 2.
Tuzidi kumuomba Mungu.
Nguvu ya dola isingefua dafu kama hakuna political legitimacy, nguvu hiyo ilikuwa dhidi ya mafisadi waliokuwa wame consolidate power and wealth yet walikuwa wameshafikisha tentacles zao ndani ya hazina ya nchi, ingekuwa wewe ungewadhibitije?
Time is a good friend, tutaelewana tu huko mbele ya safari; hata sasa kama mtu ni mkweli wa nafsi yake matunda ya uovu yameshaanza kuzaliwa...Soon watu watakosa pakuficha nyuso zao kwakua hakutakuwa na kisingizio chochote...
Acha kukufuru!Itabidi tukaongee na Gwajima amfufue
Mimi moja wao...I was proud of chama changu, hivi sasa nakiteteaje kwa mfano?CCM ya JPM ilikuwa imara kwa sababu watu wallipenda toka moyoni. Heshima ilikuwepo kwa wenye nacho na wasionacho.
Ukitaka kujua waulize wauza kadi na wauza sare za chama.
Wakati wa JP watu walijivunia chama.
Waliunda umoja bila shuruti!
Lakini sasa hivi kimekuwa ni chama cha mammbuzi, yanakula tu kwa urefu wa kamba!
Huyo daktari aliyetokewa yeye alikuwa na integrity yeyote? Mbona unaangalia upande moja tu wa coin? Kwa ubinafsi ule wa wafanyakazi wa sekta ya umma, uzembe, uvivu na ubadhirifu uliochagizwa na rushwa kila mahali, ungerekebishaje hizo attitudes? Ofcourse kuna ma sycophants ambao wali take advantage, but in general dhamira yake ilikuwa imelenga nini? Watanzania tujifunze kuwa critical na open minded...Sisi siyo honest wala hatupo objective tunapenda sana mob psychology!Unafahamu hizo ni enzi afisa mwenezi wa chama kutoka katani alikuwa anamfokea na kumtishia daktari afanye kazi katika zamu isiyokuwa yake siku ya sikukuu??