Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 11,753
- 16,743
Hakuna kitu hapoUnaona sasa madhara yake mkuu
Hakuna kitu hapoUnaona sasa madhara yake mkuu
Yule ni mchimba chumvi tuNaomba kuuliza....hivi yule jamaa aliyemuonesha hadharani bastota Nape ni jasusi au commando?!
Kuongezea kidogo tu.Kuna tofauti kubwa kati tya JASUSI na KOMANDO. Jasusi ni mtu aliyefundishwa kukutafuta, kuchambua, kuandika, kutathmini taarifa za kiusalama. Pili kuzitumia taarifa za kiusalama kwa manufaa ya mfadhili wake. Ni kazi inayohitaji uwezo mkubwa wa akili ili kujua taarifa ipi ni ya kiusalama na yenye faida kwa mfadhili na nchi. Uwezo wa kuzitumia kwa manufaa na nani anafaa kutumiwa kwa kujua au kutojua.
Komando ni mtu aliyepitia mafunzo maalum (ndo maana USA wanaitwa WANAJESHI MAALUM - Special Force). Kazi yake kuu ni kufanyakazi ngumu zinazohitaji taaluma maalum. Mara nyingi huenda sehemu wakiwa tayari na taarifa kamili toka kwa Jasusi!
Komando lazima mafunzo yawe magumu (physically) ilhali kwa Jasusi sio lazima. Mafunzo ya Jasusi ni magumu (Mentally) ilhali Komando hapana. Jasusi anafundishwa tu kujimudu kutoka msombweni pindi mambo yakichacha. Komando ni ufunguo wa kuyafungua matatizo.
Naamini Nimeeleweke
Bazazi
Sent using Jamii Forums mobile app
the opposite is trueSi kila Commando ni Jasusi lakini kila Jasusi ni Commando. Nadhani ushapata jibu lako hapo.
duh! umetisha mzee baba.
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to the Almighty. Leo swali langu ni kama hivi;
Kati ya Jasusi na Commando, yupi ni mtu hatari sana anayepaswa kuogopwa?
Nimeuliza hivyo kwa maana kwamba inasemekana hawa wote wawili wanakuwa ni watu waliopitia mafunzo magumu sana ya uvumilivu (endurance), matumizi ya silaha pamoja na kujilinda (self-defense).
Kuna baadhi ya watu wanadai Jasusi anatumia akili nyingi na nguvu kidogo wakati Commando anatumia nguvu nyingi na akili kidogo.
Ni nani mtu hatari sana kumzidi mwenzake?
Haoti mchana, jamaa yupo sahihi, Jasus walio wengi hupitia mafunzo ya Comandoo, Na Jasus ni mzuri zaidi kwa maana ya kwamba anapata mafunzo ya aina mbili moja depo la 92 kisha anaenda kupata mafunzo yao mengine huko kwao TISS.Unaota mchana
Noted no way maana naona theory nyingi inabidi nikubali kuacha malumbanoHaoti mchana, jamaa yupo sahihi, Jasus walio wengi hupitia mafunzo ya Comandoo, Na Jasus ni mzuri zaidi kwa maana ya kwamba anapata mafunzo ya aina mbili moja depo la 92 kisha anaenda kupata mafunzo yao mengine huko kwao TISS.
Tukiacha ushabiki..my friend.. komandoo aliyefuzu si mtu wa kawaida hata kidogo... ndio maana watu wengi humu wanasema komando aliyeenda depo la ujasusi...niseme tu kwa mtoa mada kwamba yule anayepewa task ngumu ndio mtu hatari. Wewe ni rahisi kua jasusi lakini sio komandoo, fanya reference angalia baada ya mossad kufanya investigations zao katika operation Wrath of God waliona target ngumu hapo beirut...wakawatumia wanaume fulani wanaitwa Sayeret na Shayetet 13 commandos kuraid lebanon coast kwa speed boat .....my friend fuatilia huo mziki utasikia mwili wako ukisisimka na kukubali. Jasusi ni mtu hatari ila Komando ni shida nyingine..tambua komando anasoma ujasusi na ikitokea anachukuliwa kusoma ujasusi pekee anaenda kuongeza tu material flaniflani...
Ukifanikiwa kufika mbinguni kamuulize Lt. Col Yonatan Netanyau nini walikifanya katika operation Thunderbolt entebbe ndio utajua nini maana ya cdo....kunashughuli zitabaki kuwa za watu wasio wa kawaida...
Ingekuwa 'Thunderbolt Beijing' ama 'Thunderbolt Pyongyang' ama 'Thunderbolt Havana' au hata 'thunderbolt Teheran' ningewapa 'credit' za kutosha. Hata hivyo, R.I.P Yonatan.Thunderbolt entebbe
Hahaha.. ok..fuatilia execution ya operation wrath of God mwanzo mwisho..utaona hizo pande watu wamekanyaga sana. Na ndio ilizaa sub operation ''spring of youth ''itafute uisome vizuri.Ingekuwa 'Thunderbolt Beijing' ama 'Thunderbolt Pyongyang' ama 'Thunderbolt Havana' au hata 'thunderbolt Teheran' ningewapa 'credit' za kutosha. Hata hivyo, R.I.P Yonatan.