Kati ya Jasusi na Commando, yupi ni mtu hatari sana anayepaswa kuogopwa?

wapo majasusi wengi sana nchini kwa migongo ya wamisionari, mapadre, waalimu wazungu nk huwa wana intelligencia kubwa ila sio Komando. wao kazi yao ni kutafuta taarifa flani then namna ya kuifanyia kazi taarifa hio inategemeana na watumiaji wanaona nguvu gani itumike kama ni komando au Askari wa kawaida.

SPY is a person employed by a government or other organization to secretly obtain information on an enemy or competitor.

Eli Cohen | Israeli spy
mifano ipo mingi sana
 
Back
Top Bottom