Katavi ndani ya Mtwara....!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katavi ndani ya Mtwara....!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Katavi, Oct 16, 2012.

 1. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Sizinga na wanaJF wengine mliopo Mtwara mgeni nimeingia ndani ya mji wenu kimyakimya jana asubuhi. Nyakati za jioni jana nilipata wasaa wa kujichanganya na wenyeji lakini nilichoshuhudia ni kuwa Mtwara ya sasa si ile niliyoiacha mara ya mwisho nilipokuja kutembea huku miaka miwili iliyopita.
  Wenyeji nielekezeni maeneo ya kujirusha ili leo jioni nikatembelee huko hata nitakaporudi kwetu Kawajense Mpanda nipate cha kusimulia, jana nilikuwa maeneo ya Mangowela Inn.
  Kweli Mtwara Raha....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,577
  Trophy Points: 280
  usije vamia nyumba za watu yakakukuta yaliyomkuta Mtambuzi.
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,335
  Likes Received: 2,659
  Trophy Points: 280
  alikutwa na nini mtu huyo?
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha haaah!! Huyu Mtambuzi alikutwa na nini??
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka 1998 enzi hzo Mtwara.
  Nashangaa nilienda tena 2008 nikakuta Ligula,Shangani,Chikongola,Mangoela,Likonde,Chuno,Sabasaba,Railway kote wameweka lami na Daladala juu.
  Nenda pale Mtwara TTC Kuna Bar imefunguliwa karibu na Indian Quater's,wakati enzi hzo ni Pori Mpaka unatokea MonteSori kule Baharini.
  Ila jamani Mtwara Raha.
  Hv pale Keep-Left ile njia ya kwenda Sekondari Mtwara Girl's to Naliendele hadi Mikindani ile Bar bado ipo?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,577
  Trophy Points: 280
  Mzoefu wa kufumaniwa.
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,132
  Trophy Points: 280
  nchalimie nnjomba nchumali!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ile keep-left inaitwa Mnarani na kuna bar inaitwa Blantyre nadhani ndio unayoiongelea.
   
 9. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Ndio ni Blantyre dah!
  Enzi hizo tumecheza sana disko na uniform zetu za Sekondari pale.
  Ebwana ee!!
  Nimekumbuka mbali sana tena sana.
  Ndo nafika mwaka 2008 nakuta wamejenga sheli kwa nje,nilishangaaje???
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Tena namwomba mtaa wa Sinani asikanyage kabisa....nimeweka kambi pale ooooh
  ntankata nkia wa mbele akaseme kwa nkuu wa nkoa na nkewe bhaaaaaaa bhana weweeeeee kunooooooona
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,577
  Trophy Points: 280
  amejipanga vizuri sana,
  kabeba na tumizizi twa kuwapumbazeni
  ili akifumaniwa ageuke mdudu atambae mbele,si unajua alikotokea.

   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hahahaaah!! Nimejiandaa haswa maana niliambiwa mtu akija huku anasahau kwao, sasa mimi nipo fiti nimekamilika.......HASHIKWI NTU HAPA.
   
 13. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  bhaaaaa bhana wewe huo ntaa nashinda leo jioni na hakuna wa kunifanya kitu.
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Hivi sasa ukija ndio utashangaa sana maana hivi sasa hapo blantyre ni kama pamechoka hapafanyi kazi. Nasikia kuna Makonde, na Maisha club ndio zinakimbiza sana kwa sasa.
   
 15. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,834
  Trophy Points: 280
  za ntwara? Nina njomba angu ana fanya kaji hapo ntwara njini.
   
 16. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #16
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Makonde napajua.
  Na hyo Maisha Club iko sehemu gani?
   
 17. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #17
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,340
  Likes Received: 2,981
  Trophy Points: 280
  Napita nkijoki naelekea Nsasani,bhaaa bwana wewe nke wa ntu sumu. Sijui umepanda HAMANJU,CENTRAL LINE,MANING NICE hiyo inakwenda hadi MSUMBIJI.
   
 18. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #18
  Oct 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Bhaaa! We Katavi wee! Wachalimie chana njomba chukurubu na n'dogo wake chipoku,waambie mie mbagala nimehama chacha naichi njini maeneo ya temeke chudani
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #19
  Oct 16, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  salamu zao, usijewekewa limbwata na mabinti wa huko ukashindwa kurudi!
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Oct 16, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,577
  Trophy Points: 280
  unachezeshwa kirikiri usawa wa dirisha,
  nitaona ulivyojiandaa, tafadhali kesho toa feedback.

   
Loading...