Katavi ndani ya Mtwara....!!

Nakumbuka 1998 enzi hzo Mtwara.
Nashangaa nilienda tena 2008 nikakuta Ligula,Shangani,Chikongola,Mangoela,Likonde,Chuno,Sabasaba,Railway kote wameweka lami na Daladala juu.
Nenda pale Mtwara TTC Kuna Bar imefunguliwa karibu na Indian Quater's,wakati enzi hzo ni Pori Mpaka unatokea MonteSori kule Baharini.
Ila jamani Mtwara Raha.
Hv pale Keep-Left ile njia ya kwenda Sekondari Mtwara Girl's to Naliendele hadi Mikindani ile Bar bado ipo?

Dah Madam B kweli wewe wakwetu yaani hahahahaaa! Vipi mitaa ya bima hukukutisha?kukoje sasa?
 
Migambo wapi wakati walikuwa wachunga ng'ombe wa kule Kijijini?
Unamkumbuka Ngwadakulima?
Ngwadakulima a.k.a ngwadakudig,jamani mnakumbuka woteee mbona makanyanga hamumkumbuki?au kwavile mswaki na kuoga kwake ulikuwa msamiati wa kichina?nasikia mwalim James yule wa Biology alikufaga nikweli au uzushi?
 
Wewe!!!
Nawe ulisoma pale?
Hebu nambie afu ndo tuendelee.
 
Ngwadakulima a.k.a ngwadakudig,jamani mnakumbuka woteee mbona makanyanga hamumkumbuki?au kwavile mswaki na kuoga kwake ulikuwa msamiati wa kichina?nasikia mwalim James yule wa Biology alikufaga nikweli au uzushi?

makanyanga ck hz anapga suti ova saiz na yeboyebo chini! anazidi tu kunyata! kawa headmaster vijijini huko.huyo james cjapata habari zake.
 
Ila twende mbele na kurudi nyuma,japokuwa mwl Makanyanya alikuwa mchafu yeye na mkewe,lakini mihogo yake ilikuwa mitamu balaa,
yani nilikuwa najifanya mgonjwa dom ili wenzangu wakienda Class nikanunue mihogo kwa mama Makanyanga.
Hv unakumbuka ule mwembe Ujiuji uliokuwa pale mbele ya bweni la form 5na6?
Ninani asiyeamka usiku kusubiri maembe pale chini?
Afu unakumbuka Half keki za motomoto kule kwa yule bibi mchawi kule kijijini?

Hv kipindi yule ng'ombe Foti anachinjwa ulikuwepo?
Unajua kisa cha kuchinjwa?
 
ile mihogo shost ucpime! mama na uchafu wote ule lakin wap,tunagombania hiyoo utadhan almasi!
mwembe naukumbuka,je half keki za mama nandu na wanawe? hiv foti alichinjwa kwa kisa gani?

ila ngo'mbe wale acha 2! cku moja ilikua zam yetu wakapotea tulikomaje! tulikuja kuwapata njia ya mikindani huko!
 
Siku hyo ilikuwa zamu yetu kuchunga.
Halafu siku kama 4 mbele kulikuwa na Graduu ya fom4.
Tukapanga umafia,
tukawakimbiza ng'ombe mpaka Naliendele kule Porini,kisha tukamchukua Foti tukamuingiza chaka lililokuwa na madondola,
basi ng'ombe aling'atwaje!
Kufika jioni yuko hoi.
Kesho yake akachinjwa kule zizini.
Halafu hatukuishia hapo,nyama ilipoiva tukaenda kuiba madishi 2 ya nyama tukaenda kuyaficha kule 'jikoni' kwetu kwenye Ule msufi Jike.
Unakumbuka kuwa form 2x na form 5 walikosa nyama?
Basi ilikuwa kazi yetu.
Ila Sekondari nilikuwa nimepinda.
Dah! Acha tu.
 
ha ha ha! nyie kiboko! ila mlitusaidia kupata nyama! ile shule acha tu tulikua na vituko! nkikumbuka naishia kucheka tu!
nlikua natoroka kila wk end kupitia kule kijijn,na kila nkitoka nakutana na mwalim ndosi had akanizoea,ikawa tukikutana tunaongozana na kupiga stori tu hanipi adhabu na wala hasemi kwa mwalim yoyote. miss kapinga unamkumbuka? nlimuona mbeya nkampotezea!
 
Kuna siku mwl Ndossi alinizingua,nilichofanya nikachukua Uppupu nikaukoroga ndani ya maji,kisha nikamsubiria usiku pale kwenye kile kinjia cha Kwenda nyumbani kwake.
Ile anakatiza tu,akauoga uppupu,afu me mbio.
Kesho yake sasa,tuko assemble Headmistress akatangaza kuwa mwl Ndossi yuko hoi Ligula Hospitali baada ya kumwagiwa sumu na wahuni wa kijijini.
Aisee nilipata huruma ya ajabu,huku nikimuombea apone haraka.
Kweli alipona.

Dah! Mambo ya kuruka fensi ndo ilikuwa zangu.
Siku hyo nilitoroka saa 4 usiku nikaenda Disco Blantyre,sasa wakati narudi ile saa 10 alfajiri,nikashushwa na gari ile namaliza kuruka fensi tu,mbwa walikotokea afu walikuwa kama 7 hv,basi nilitoka mbio moja kwa moja mpaka kwenye kibanda cha Mlinzi,
ndo mlinzi nikampa elfu 10 akakubali kunisindikiza mpaka bwenini kwetu form 2Y.
Aisee Ile Shule ni Zaidi ya Jeshi.

Unalikumbuka lile disco na mapatna wa kutoka Ma-TripleTC?
Mpaka tukaenda Kung'oa nyaya za Main Switch ili tucheze kwa raha?
 
nalikumbuka shoga! na tukialikwa kwenda kwa mapatna huendi hadi uchaguliwe!
 
Back
Top Bottom