Katavi ndani ya Mtwara....!!

Katavi ndani ya Mtwara....!!

Anasoma shost!!
Hebu pata picha,katufundisha Form One na nilivyokutana nae ile juzi yupo vilevile hajazeeka wala nini.
Basi nilivyomuona nikajibaraguza kumsalimia.
Afu c unajua me na yeye tulikuwa na bifu tangu nasoma!
Basi nikamsalimie afu me Nshaaa..!!!
Akabaki katoa macho kama anatunga uzi gizani.

nlizan ashakua kikongwe sasa! alikutamanije! me nlikutana na mama mshana nlimpita kama cmjui akabaki kunishangaa 2!
 
Yani yule mmama kwa kuwa alikuwa ana ulinzi nyumbani kwake ila nilikuwa namtamani kitambo.
Afu vipi vile vimiguu vyake vya 'mswaki kwenye jagi' vimejaajaa nyama?
Afu yule mkuu wetu alikuwa mgoni yule balaa.
Hv unakumbuka alishawah kufumaniwa enzi tuko form 2?
 
Tehe tehe teheeeeh!! Walimu wana kazi jamani....
 
Back
Top Bottom