Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Kwa uwezo wake mwenyezi Mungu najua tutashinda hii vita cha msingi tusikate tamaaa
 
Ndugu PRISCUS JR Ukiangalia vizuri ule ile Clip ya Sheikh ILUNGA ina sifa hizo hizo hebu ipitie nawewe uone. "YAANI HII SERIKALI YET NA CCM WANA MATATIZO SANA"
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA mbona mnahangaika sana na Video ya Lwakatare! Tumeiona tumeielewa!

hawa wanakasumba.wanajifanya wataalam wa mambo ya video.wataalam wa mambo ya inteligence.na hayo ndio yaliyompnza lwakatare.kujifanya mtaalam wa mambo ya usalama kumbe ni afisa utawala.mimi ni mpiga picha za still na video.hiyo picha ya video ni halisi.naifahamu saiti yake nayo ni halisi.sasa nyinyi magwanda mnayeitikia kamanda bila kuwa makamnda halisi msichezeshe watu akili.hizo ndiyo mipango ya chadema.kama mulijiunga na chadema kichwakichwa mtaisha
 
Chadema ni sauti ya Mungu!..... upepo huu utapita na ukweli utajulikana
 
nawashaurini wana JF kuachana na huu mjadala sasa.mliyoyasema yanatosha kama wahusika watachukua maoni yetu na kuyafanyia kazi,that's ok.turudi katika mijadala yetu ya maana zaidi katika kuibana serikali kutenda haki!wale nguli wetu wa kufukunyua mambo hebu mwageni ishu mpya watu tuchangie.tukiendelea na huu kwa muda mrefu jamaa watakuwa wamefanikiwa kuteka mijadala yetu humu tutakalia kuzungumza mambo ambayo Lumumba wanataka tuongee kila siku watatenda tukio na kuvijaza vyombo vya habari na mijadala kuhusu hayo matukio ya kipuuzi huku watu hawana umeme,maji,dawa n.k.hii kesi ya Lwakatare kwa wanaojua sheria ni ndogo tu,hakuna ushahidi mzito.atachomoka tu lakini lengo la kuipaka matope chadema na kuwasahaulisha watu mambo ya msingi kwa kuteka mijadala yao litakuwa limefanikiwa.na wataleta movies kibao kufikia 2015 ili kuua hoja nzito zinazowasambaratisha jukwaani.kuweni na jicho la tatu!
asante sana mkuu, kueleweshana mambo ndio faida ya JF kwa upande wangu nakubaliana na wewe na sasa hivi naufunga huu mjadala.
 
HUjafuatilia huu mjadala ulikotokea, usingesema ulichosema coz' kwa makusudi watu walikuwa wanahusisha hili na suala la hao hao akina Ilunga unaowasema!!

kuhusisha kwao ni kwa sababu tuhuma za Lwakatare ni kupanga mauaji,amekamatwa na Ilunga amewachochea watu wawaue viongozi wa kanisa katoliki na kweli wawili wamepigwa risasi Zanzibar, mmoja amejeruhiwa mwingine amefariki.Kwa uelewa wako kwa kigezo cha Lwakatare huyu hastahili kukamatwa?
Kuhusisha imani ya Lwakatare kuwa kama angekuwa muislamu watu wangesema sana huo ni upotoshaji,uzandiki na unafiki wa kiwango cha juu.
Angalia mtiririko wa mjadala huu watu wote makini humu ndani wanapingana lkn hoja zao ni za kisiasa kutuchomekea udini si haki
 
Ukiwa mpu.mbavu ni rahisi sana kufikiria kuwa mpo wengi wa namna hiyo. Hiyo tekinolojia iliyotumika kuandaa video hiyo ni very rudimental. Na polisi wetu wamgekuwa wana upeo wa kutosha wasingepoteza hata muda wa kumhoji Lwakatare, wangetazama, wangeichunguza na kutupilia mbali. Baada ya hapo wangeaanza kumtafuta mtu aliyeitengeneza na kuitupia humu, huyu ndiyo mhalifu mwenyewe, na ndiye aliyestahili kuhojiwa, siyo Lwakatare.

Lwakatare inaonekana alichukuliwa picha yake akiwa eneo la wazi, kisha waandaaji walienda kuilisha maneno picha, na hiyo n tekinolojia rahisi sana, ambayo hutumika hata katika utengenezaji wa cartoons. WanaCCM wengi kwa kuwa upeo wao ni mdogo wanaona kama wamefanya jambo kubwa sana, kumbe ni upuuzi mkubwa.

JK kama anataka adharauliwe na kila mtu na kila Taifa aendelee kuendekeza mambo ya kiji.nga kama haya.

Hii video itawatesa sana naona mnajaribu kufanya cover up lakini ukweli huu wa vitendo vya utesaji ambao umekua ukifanywa na kitengo cha ulinzi na usalama ndani ya CHADEMA utaishi muda mrefu sana.
 
tumeangalia mkanda huo jana na kufikia hitimisho kuwa ni fake
 
Lwakatare sio Mungu wala Malaika, hivyo anaweza kutenda uovu kama mwanadamu mwingine yeyote yule, kuhusu hii video inaweza kuwa ya ukweli lakini vilevile inaweza kuwa ya kupika, wazungu walisema LOVE IS BLIND wale wenzangu na mie wa CCM watatafuta kila uhalali wa kushabikia na kusema ni video ya kweli ,aidha CDM nao watatafuta kila jinsi ya kuhalalisha kuwa video hiyo ni danganya toto. Chamsingi ndugu zangu tutulie tuviachie vyombo vya usalama vifanye kazi zake, tusiporidhika na majibu ndio tuchukue hatua nyingine, may b The Hague teh teh teh!
afadhali wewe uko mkweli kuliko wengine wako humu toka jana wakijiita neutral lkn wakifanya kazi ya Mwigulu
 
Hakika hilo ndilo CHADEMA walilotakiwa kulifanya badala ya kutumia energy kubwa kulikanusha wakati kila kitu kipo wazi! Ni ujinga kuzani watu ni punguani na kwamba wanaweza kuhadaika na porojo za uwepo wa Video Doctoring Technologies. CCM wana pesa ya kutosha, kama wangeamua kufanya hiyo Video Manipulation Technology wala wasingefanya kitu chenye poor quality kama video ya Lwakatare. Na aidha, hata content yenyewe ingekuwa ni ya kutisha zaidi kuliko iliyomo kwenye video iliyopo....
be a great thinker wange weka kwenye good quality ingejulikana yakutengeneza kwa kila mtu ,na kuhusu content zilizo ongelewa hazijawekwa kali ili kuonyesha kua sio makini
 
tumeangalia mkanda huo jana na kufikia hitimisho kuwa ni fake

mkuu upo??napenda sana nondo zako kuhusu mambo haya ya intelijensia..hebu dadavua mkuu maana humu ndani wanatamba tu kina chama,ritz and co, hata kama video inaonesha like sio continuous conversation ila kina watu wamekomaa tu dooh.
 
Hii video itawatesa sana naona mnajaribu kufanya cover up lakini ukweli huu wa vitendo vya utesaji ambao umekua ukifanywa na kitengo cha ulinzi na usalama ndani ya CHADEMA utaishi muda mrefu sana.

Mwogope mungu wako jamani
 
Wakabuni jingine hilo limeshapita ramadhani ighondu ni mwanachama wa cdm??bingwa wa kung'oa watu kucha na meno kwa koleo bila ganzi halafu boss wake dr.fastjet anakuwa wa kwanza kwenda kumjulia hali majeruhi na kusema serikali imepokea kwa masikitiko makubwa tukio hili .
 
Nimeiangalia ile video over and over. Sauti ipo chini sana, ukiangalia lips za mzungumzaji na sauti inayotoka katika hiyo video kuna tofauti ya seconds. Ukiingiza ile video katika mitambo, utaona lip sync, anyway hiyo video sawa na zile simu za Mh Mwigulu alizopeleka kwa Spika
 
Kama nilivyochangia katika thread inayohusu video ya Lwakatare
1.Anayerekodi anamuongoza mzungumzaji kwa kumwambia maneno "niweke? mmh hapoo? haya" . pia anamuelekeza arudie maneno.

2.Imerekodiwa bar, watu wanapitapita wanasalimia na kutaja majina yao. Kwa watu makini hawawezipanga mpango hatari kwenye eneo la wazi hivyo.

3.Sura ya muongeaji si halisi na tone yake si halisi.

4.Anayerekodi anachomeka jina la Zitto kuhalalisha mpango.
JIPANGENI UPYA KUHARIRI VIZURI NA ALIYEHARIRI AMECHEMKA

Mkuu ebu angalia vizuri kipengere hicho utaona jinsi gani walivyojichanganya mtu anaitikia salam halafu mdomo unaendelea kucheza pasipo sauti.
 

Attachments

Back
Top Bottom