Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

jaman tuwaeleweje? mara alikuwa anarekodiwa huku anajua kama anarekodiwa, mara alirekodiwa kwa njia za siri, na wewe unatuletea dhana nyingine kabisa. ila mie naamini ile clip ni original na ndiyo maana yeye mwenyewe amekiri pale polisi wakati anahojiwa. tuache vyombo vya dola vifanye kazi zake
Alaah! kumbe ulikuwepo polisi ukamsikia akikiri? Mbona wengine wamelikosa hilo? Hiyo ingekuwa breaking news" Lwakatare akiri yaliyomo kwenye video."
 
Huu mtihani CDM wakiuvuka tu, CCM wamekwisha!

Watauvuka tu siunaona jana siku nzima wamekaa kikao kupanda njia ya kuchomoka na kukurupuka kwao, lwakatale asiwe na hofu mungu yupamoja naye... na shibuda kwenye ngoma hii anausika sanaaaaaaaa ipo siku nitaleta uzibitisho kamili.
 
1. Tusiwasemee wahalifu au wapanga njama.
2. Lwakatare atoe kauli yake kwanza kuhusu hiyo video kama ni feki au alitumwa.
3. CDM iwathibitishie wananchi pasipo shaka kuwa wao hawahusiki na huo uhalifu (in details)
4. Mmiliki/mtayarishaji wa Video atafute na atoe maelezo yake ...
5. Upelelezi na uchunguzi huru wa kisayansi na kitaaluma kuverify uhalali wa hiyo video.
 
ntashukuru..huyu jamaa huwa namcheki kwa macho matatu na UJIRA WAKE WA MWIHA
 
Naapa chini ya Mbingu na Ardhi kamwe Shetani hatamshinda Mungu.

Kama Daudi alimuua Goliathi kwa jiwe katu Mashetani hawa wanaotaka kuichafua Chadema hawatafanikiwa na wataangamia.

Naapa kwa Mungu aliye hai yeyote aliyeshiriki kutunga mpango huu mchafu hatabaki salama.

Naapa kwa Mungu Mkuu muumba kila kitu kwamba kila aliyeshiriki kutunga uchafu huu lazima ataumbuka siku si nyingi na ataomba radhi hadharani.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Anania akapasuka matumbo mbele ya madhabahu kwamba wahalifu hawa watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Herode akadondoka juu ya kiti cha kifalme na mwili wake kuliwa na siafu kwamba waovu waliotunga mbinu hii watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo kwamba watu hawa hawataweza kuendelea kuharibu Taifa letu kwa uchochezi wao bali watakipata sawasawa kile kiwapatacho watu wasiomjua Mungu.

Naapa kwa Mungu ambaye jina lake ni NIKO AMBAYE NIKO kwamba Shetani kamwe hatajitwalia utukufu.

Wao wana Baali na Chadema wana Mungu kamwe Baali hawezi kumshinda Mungu.

Kioja cha mwaka shetani kumlaani shetani

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Kuna haja ya Chadema kuanzisha kitenge cha ujasusi kiwe na uelewa na teknolojia kama Mossad ili kupambana na maagent wa ccm kama police na uwt
 
Duh! Bado tu hadi sasa kuna watu wanahangaika na kutudondoshea online tutorials za how to manipulate videos?! Kazi mnayo! Mtoa mada, naomba ufanye hayo maujanja kisha ubadilishe ile ile clip ya Lwakatare tuone anaepiga huo mchanga kwa sasa sio Lwakatare, bali awe Nchemba! Nisubirie saa ngapi kufaidi hayo maujanja yako mkuu wangu?! Usisahau, naifahamu vizuri sauti ya Nchemba enh!
 
It is an application developed at New York University, known as Video Rewrite, uses computer to match lip movements with the new voice track. hi process is used sana sana kwenye kutengeneza animation, Dubbing, also known as re-recording, is a post-production process used in filmmaking and video production, in which vocal recording (like dialogue) occurs subsequent to the original recording ,famous examples are the Babe, Atlantis: The Lost Empire, Finding Nemo, Cars, Shrek the Third, Ratatouille, Kung Fu Panda and WALL-E.

jamani hapa wasiwadanganye nikamchezo hako........................watanzania wasasa wajanja jamani

ccm elite juck of all trade,master of none
 
1. Tusiwasemee wahalifu au wapanga njama.
2. Lwakatare atoe kauli yake kwanza kuhusu hiyo video kama ni feki au alitumwa.
3. CDM iwathibitishie wananchi pasipo shaka kuwa wao hawahusiki na huo uhalifu (in details)
4. Mmiliki/mtayarishaji wa Video atafute na atoe maelezo yake ...
5. Upelelezi na uchunguzi huru wa kisayansi na kitaaluma kuverify uhalali wa hiyo video.
Japo mimi sio official authority, ila nimetazama ile video clip, nimejiridhisha its "bonafide genuine!", haijapitia doctoring yoyote!, japo ni kweli technolojia hizo zipo, kama lengo ni kuichafua Chadema, then of all the people, not Rwakatare!.

Negation doesn't help much!, nawapongeza sana Chadema kwa this time to to act promptly on "damage control", the best way was now to do the "right thing" and to "do it right", ilikuwa ni kum "disown" Rwakatere!, hayo mengine yote ni siasa tuu!.

Pasco.
 
jaman tuwaeleweje? mara alikuwa anarekodiwa huku anajua kama anarekodiwa, mara alirekodiwa kwa njia za siri, na wewe unatuletea dhana nyingine kabisa. ila mie naamini ile clip ni original na ndiyo maana yeye mwenyewe amekiri pale polisi wakati anahojiwa. tuache vyombo vya dola vifanye kazi zake

umekariri! fanyeni mfanyavyo hata hili litapita, wakoloni weusi mwisho wenu umefuka
 
jaman tuwaeleweje? mara
alikuwa anarekodiwa huku anajua kama anarekodiwa, mara alirekodiwa kwa
njia za siri, na wewe unatuletea dhana nyingine kabisa. ila mie naamini
ile clip ni original na ndiyo maana yeye mwenyewe amekiri pale polisi
wakati anahojiwa. tuache vyombo vya dola vifanye kazi zake

aah kumbe amekiri polisi cc wengine ha2jui ha2ko polisi lkn nyinyi wang'oa kucha tayari mmeisha jua amekiri
 
Nikîipata software hiyo nitatangeneza movie ya jk akihongwa suti na kulipiwa chumba cha kulala wageni na waarab..
 
ule mtambo wenu wa kufeki sms uliishia wapi?

Tunahitaji mtambo wa kufeki sms kwa shughuli gani na kikubwa kipi? CCM tuna mambo mengi sana ya kuwafanyia watanzania unafiki wenu umefikia kikomo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
jaman tuwaeleweje? mara alikuwa anarekodiwa huku anajua kama anarekodiwa, mara alirekodiwa kwa njia za siri, na wewe unatuletea dhana nyingine kabisa. ila mie naamini ile clip ni original na ndiyo maana yeye mwenyewe amekiri pale polisi wakati anahojiwa. tuache vyombo vya dola vifanye kazi zake

Kama wewe unaamini ile clip ni original kwa nini unakataa wenzako akiwemo gost wasiseme wanachoamini kuhusu hiyo clip?

Na hata kwa matokeo yeyote yale juu ya hili suala CDM haiwezi kufa, kwa usafi gani wa CCM/polisi wa tz walionao
kiwango cha kuona hilo ni tukio la kukifungia CDM?

Ila hii kesi kama ingekuwa yangu nisingehitaji wakili kushinda, labda kama wana ushahidi mwingine zaidi ya ile clip.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom