Watavuka tu manake kama ni hujuma washafanyiwa nyingi tu ila hii balaa!!!!
Hata mtu anapojihujumu mwenye mnataka kuilaumu CCM?
Chama
Gongo la mboto DSM
Watavuka tu manake kama ni hujuma washafanyiwa nyingi tu ila hii balaa!!!!
Huu mtihani CDM wakiuvuka tu, CCM wamekwisha!
Sasa mwenye uwezo mdogo wa ku-analyse hapa nani; mimi au wewe?! Yaani kwa akili yako the issues is as simple as kutengeneza animation?! Una hali mbaya sana ya ufahamu!! Kwani ile sauti ya katuni ni yake mwenyewe?! Hivi unaelewa maana ya ku-link similar voice?! Unaweza ku-fake hata lips vibration, hapo hakuna tatizo!! tatizo linakuja pale katika utiaji wa maneno yatakayobeba sauti ya muhusika and not just sauti...unaelewa wewe; au unakurupuka tu?! Kwamba, utengeneze video yenye urefu beyond 5 minutes ikiwa na sauti ya muhusika huku akizungumzia jambo lenye mtirirko unaoeleweka...hivi unaelewa kinachoongelewa hapa?! Na ndio maana nikakuambia manipulated videos nyingi kama sio zote zenye sauti ya muhusika huku zikibeba ujumbe unaoeleweka haziwezi kwenda beyond 5 minute achilia mbali ya Lwakatare iliyochukua 19 minutes. Kama unayo hiyo manipulated video ambayo imeenda beyond that much huku ikiwa na sauti halisi ya muhiska; weka hapa tuisikie!! By the way, wakurupukaji wenzako kama wewe nimewapa changamoto kwamba wai-manipulate ile ya Lwakatare na tumuone Nchemba hapa na suati yake ile ile ya Nchemba lakini akiongelea aliyoongea Lwakatare...! Kama ni simple, create hiyo video kisha weka hapa otherwise, nyamaza coz' hujui unachoongea.Hakuna kitu cha namna hiyo! uwezo wako wa kuanalyse ni mdogo sana. Kutengeneza phonology is very easy na is not that expensive kama unavyofikiri. Angalia cartoons zinazotengenezwa wanyama au mimea inapoongea na kuendana sambamba na midomo ya kinachozungumza. Wadhani hilo haliwezekani? kupanga mauaji ktk surroundings zinazoonekana hazina uhalisia.
Unaona unavyojikanganya...na ndio maana nimekuambia mapema kwamba uwezo mdogo!! Umesema kwamba video ya Lwakatare ni fake lakini hapa unasema ya Lwakatare na Ilunga ni sawa simply because hata Ilunga alihamasiha mauaji!! Sasa unakataa nini na unakubali nini?!kuhusisha kwao ni kwa sababu tuhuma za Lwakatare ni kupanga mauaji,amekamatwa na Ilunga amewachochea watu wawaue viongozi wa kanisa katoliki na kweli wawili wamepigwa risasi Zanzibar, mmoja amejeruhiwa mwingine amefariki.Kwa uelewa wako kwa kigezo cha Lwakatare huyu hastahili kukamatwa?
Kuhusisha imani ya Lwakatare kuwa kama angekuwa muislamu watu wangesema sana huo ni upotoshaji,uzandiki na unafiki wa kiwango cha juu.
Angalia mtiririko wa mjadala huu watu wote makini humu ndani wanapingana lkn hoja zao ni za kisiasa kutuchomekea udini si haki
Umeisikiliza vizuri hiyo sauti? By the way, how long is the video?! Ukipata majibu ya hayo maswali, oanisha na kile nilichokiandika!
Tangu lini CCM wakawa na uswahiba na CHADEMA?! Wakipata nafasi, wanabutua tu....!! INgejulikana vipi ya kutengeneza kama kila kitu kinakuwa well framed?!be a great thinker wange weka kwenye good quality ingejulikana yakutengeneza kwa kila mtu ,na kuhusu content zilizo ongelewa hazijawekwa kali ili kuonyesha kua sio makini
ccm wamesha wafanya watanzania ni wafu
Pamoja Mkuu wangu PatrioteNasDas habari yako mkuu, naomba nikukumbushe tu ufup wa video ya Obama haimaanish walioiandaa walishindwa kwenda zaid ya hapo. Hiyo iliandaliwa specifically for that short event. Kutoshabihiana kwa sauti ile pia haimaanish utaalam ndo uliishia hapo au that should always be the case, we have not been told yet, kuwa that was the best case scenario. Ile video iliwekwa kuelezea kuwa Technologia ya kulishana maneno ipo hapa dunian ingawa sikusema kuwa Lwakatare kalishwa maneno, naiman post ile bado inasomeka vzr.
CCM wamesha wafanya Watanzania ni WAFU
Unaona unavyojikanganya...na ndio maana nimekuambia mapema kwamba uwezo mdogo!! Umesema kwamba video ya Lwakatare ni fake lakini hapa unasema ya Lwakatare na Ilunga ni sawa simply because hata Ilunga alihamasiha mauaji!! Sasa unakataa nini na unakubali nini?!
halafu ulivyo mfinyu wa kuelewa wala hufahamu tofauti kati ya KUPANGA & KUCHOCHEA! Lwakatare anapanga na kuagiza mtu/watu mahsusi kutekeleza mpango wake....Ilunga amemwagiza nani?! Ni mtu mpumbavu tu ndie anaweza kuhusisha suala la Ilunga na Lwakatare. Na watu tusioshikiwa akili kama wewe, hata hilo la Ilunga tulilipigia kelele kama hili la Lwakatare!! Ulivyo mpuuzi unalazimisha kuleta suala la udini wakati mimi ndo nilikuwa napinga kuhusisha udini. Narudia, kama huna hoja, u better shut up!
Hao unaowasema hawaleti ushahidi kwamba video sio genuine bali wanaleta online tutorials kuonesha kwamba videos can be manipulated....hizi ni hoja dhaifu!!! By the way, hakuna hata mmoja ambae ametoa video ya Mr.X akizungumza exactly kwa sauti ya Mr. Y. Unasema umeamua kukubaliana na mimi?! Aisee, mie nakubaliana na watu wenye uwezo wa kuchambua mambo na sio kusukumwa na ushabiki bendera fuata upepo kama wewe!!! Humu kuna magwiji wanaoijua CHADEMA kuliko wewe mshika jezi lakini wapo very sensitive katika kukanusha coz' wanajua mabo mengine hayakanushiki unless uwe na akili za matope!kuhusu Lwakatare ni tuhuma ambazo kazijakuwa proven let alone kutengenezewa mashtaka,ww unataka watu humu tukubaliane kuwa ni genuine.Sina uzoefu wa kutengeneza video lkn angalia post zinazokosoa utengenezaji,hata motives maana kuna majuha wana link na tukio la Kibanda.
Hata waliopost mtandaoni ni mystery na kwa polisi wasimtafute na kumhoji,yet tusiokubali kirahisi utuambie tuna akili za kushikiwa.Ok tulianza kusikia kwa Mchemba kuhusu hii Video na ni yeye aliyetoa tuhuma kuhusu sms za vitisho bungeni,imeishia wapi?
Umefunga akili yako kutushawishi na tusiangalie upande mwingine wa shilingi.
Kumbuka mjinga hupenda kufuta ujinga kwa kujifunza vitu asivyovijua lkn ogopa mpumbavu,yeye kapumbaa na kujiona anajua sana na wengine hawajui hata asichokijua hujiona anajua.Sijui we uko kundi gani?Mwisho nimeamua kukubaliana nawe ile ni video halisi,au unasemaje?
Kosa kubwa ambalo mmefanya, ukifika karibu na mwishoni yaani 17:59, Lwakatare anaonekana kusema" UNAMTRACE, KAMA ANA MABIBI?. Katika hali yoyote ile ukitamka neno MABIBI lazima lips zikutane mara mbili. Mtazamaji weka slow motion utaona Midomo ya Lwakatare haikutani kabisa, anaongea vitu vingine kabisa, neno BIBI ni lazima lips zikutane katika hali yoyote ile. Hapo usalama wa CCM mmechemka
Hao unaowasema hawaleti ushahidi kwamba video sio genuine bali wanaleta online tutorials kuonesha kwamba videos can be manipulated....hizi ni hoja dhaifu!!! By the way, hakuna hata mmoja ambae ametoa video ya Mr.X akizungumza exactly kwa sauti ya Mr. Y. Unasema umeamua kukubaliana na mimi?! Aisee, mie nakubaliana na watu wenye uwezo wa kuchambua mambo na sio kusukumwa na ushabiki bendera fuata upepo kama wewe!!! Humu kuna magwiji wanaoijua CHADEMA kuliko wewe mshika jezi lakini wapo very sensitive katika kukanusha coz' wanajua mabo mengine hayakanushiki unless uwe na akili za matope!
Hiki chama cha kijani kitakua kimewapumbaza wengi sana nchini. Tena cha ajabu hata wanaojiita eti ma-great thinkers nao wanapumbazwa na hiki Chama. Hii inasababisha hata maendeleo kuchukua muda sana nchini kwa vile tu kuna watu wanashabikia uozo uliopo nchini, hawataki mabadiliko.Ingekuwa umefuatilia vizuri post zangu ungegundua kwamba sijakataa uwepo wa hiyo teknolojia.....hoja yangu wangu ni kwamba, huwezi ku-link a real voice kwenye video ikaenda beyond 5 minutes! Umeangalia hiyo ya Obama? Ni ya dakika ngapi? Umesikiliza vizuri hiyo sauti?!