Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Kasoro kubwa katika video ya Lwakatare

Kama hujui majibu ya Lwakatare katika mahojiano yake na polisi, KAA KIMYA.

Unajua Lwakatare alipoulizwa "unalitambua eneo hili ilipopigwa hii picha ya video?" alijibuje?

Walaghaika wa chadema mtafika msikokukusudie kwa kufuata upepo kama bendera...
 
It is an application developed at New York University, known as Video Rewrite, uses computer to match lip movements with the new voice track. hi process is used sana sana kwenye kutengeneza animation, Dubbing, also known as re-recording, is a post-production process used in filmmaking and video production, in which vocal recording (like dialogue) occurs subsequent to the original recording ,famous examples are the Babe, Atlantis: The Lost Empire, Finding Nemo, Cars, Shrek the Third, Ratatouille, Kung Fu Panda and WALL-E.

jamani hapa wasiwadanganye nikamchezo hako........................watanzania wasasa wajanja jamani
Kama nihivyo basi wataalamu waje na video inayo onyesha rahisi akikataa kuwa hii siyo Rwakatare ni mipango ya wahuni wa CCM tuone Police watafanya nini!!!
 
Japo mimi sio official authority, ila nimetazama ile video clip, nimejiridhisha its "bonafide genuine!", haijapitia doctoring yoyote!, japo ni kweli technolojia hizo zipo, kama lengo ni kuichafua Chadema, then of all the people, not Rwakatare!.

Negation doesn't help much!, nawapongeza sana Chadema kwa this time to to act promptly on "damage control", the best way was now to do the "right thing" and to "do it right", ilikuwa ni kum "disown" Rwakatere!, hayo mengine yote ni siasa tuu!.

Pasco.

Mkuu Pasco
Hawawezi kufanya hivyo wanajua Lwakatare anaweza kugoma kufa peke yake; ni mtandao wa wauji ndani ya Chadema; kama unakumbuka wakati Dr. Ulimboka tuliyasema haya na walitaka kuipaka matope serikali ili wananchi waandamane na kuishikiniza serikali ijiuzulu; walisahau wanancheza na serikali.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Japo mimi sio official authority, ila nimetazama ile video clip, nimejiridhisha its "bonafide genuine!", haijapitia doctoring yoyote!, japo ni kweli technolojia hizo zipo, kama lengo ni kuichafua Chadema, then of all the people, not Rwakatare!.

Negation doesn't help much!, nawapongeza sana Chadema kwa this time to to act promptly on "damage control", the best way was now to do the "right thing" and to "do it right", ilikuwa ni kum "disown" Rwakatere!, hayo mengine yote ni siasa tuu!.

Pasco.
You are suggesting LWAKATARE, a scapegoat???
 
Kitu ambacho watawala hawajaelewa, na hawataelewa hadi watakapotoka madarakani, ni kuwa wao wanafikiri wanapambana na CHADEMA kama CHADEMA. Ukweli ni kwamba CHADEMA ni alama tu ya wale wote wanaotaka mabadiliko katika nchi hii. Yeyote anayekerwa na kuona kuwa mambo hayaendi vizuri, na anayeamini kwamba tupo hivi tulivyo kwa sababu ya CCM na utawala wake, analazimika kuunga mkono CHADEMA, sio tu kama chama, lakini kama alama ya mabadiliko. Kwa hiyo kujaribu kuizima CHADEMA ni kujaribu kuzima dhamira ya ndani kabisa ya mabadiliko ambayo imejikita ndani ya watanzania walio wengi leo. Wafuatiliaji mabadiliko duniani wanaelewa kuwa haiwezekani kuzima kiu na dhamira ya mabadiliko kwa sababu ipo ndani sana ya mioyo ya watu. Ndio maana mipango yote ya kijinga kama hii na isiyo ya kijinga itafeli na CHADEMA itaibuka imara zaidi!
 
Wana mapinduzi wanaamini kuwa ukiona mambo kama haya tambua kuwa ukombozi upo karibu. Uhuru na Ruto walifanya kama haya na sasa wameingia ikulu, aibu kwa ICC na mafia wao. Nadhani ni muda wa kushangilia ushindi na mapinduzi ya kweli, watanzania wenye akili, na hasa hawa wanaotumia mitandao ya kijamii na forum makini kama JF watatumia akili zao kuchambua hili. Maana mengi yamesemwa kuhusu CHADEMA yameshindwa....walianza na ukanda ukashindwa, wakaja na dini wakashindwa, wakaja na kadi ya dokta Slaa wakashindwa, sasa wemeibuka na mauaji...hakika MUNGU ni yule yule jana, leo na hata milele, ataendelea kutupigania wana CHADEMA.

Tualianza na MUNGU, tunaendelea na MUNGU, tutamaliza na MUNGU
Ikiwa MUNGU, yupo upande wetu, nani atanyanyuka kinyume chetu?

Tafakari upya kaka kuhusu mtazamo wako..
hapa hamtoki na sasa imedhihirika kwa kila mtanzania kuwa CDM ni nini na kipo kwa dhamira gani. mtatoa povu mpaka mkaukiwe lakini hakuna kitakachowaokoa. akili zenu zinaongozwa na mapenzi/ushabiki kuliko LOGIC na UKWELI.
VIGEZO VYOTE vinavyotolewa vya kuonyesha mapungufu ya hiyo VIDEO ni upuuzi mtupu na haiwezi kumuingia akilini mtu mwenye taaluma ya ICT. lakini kwa sababu humu wengi ni MBUMBUMBU!!! tunazua mijadala kuhusu uhalisia wa video na kudhihirisha UMBUMBUMBU wetu. That video is RAW.. uneditted and continuous. hakuna aditional clips wala kulishwa maneno kwa muhusika. kama GREAT THINKER tungejadili kuhusu mambo matatu.....1. je ni kweli CHADEMA wana mikakati ya kufanya mauaji na utekaji kama video inavyoonyesha..2. je huu ni mpango wa CCM/SERIKALI kuiangamiza CDM kupitia kwa Rwakatare...3. Je RWAKATARE ni mtu anayeweza kuaminika ndani ya chama(CHADEMA) kiasi cha kutonunulika na kufanya alichofanya??
 
Japo mimi sio official authority, ila nimetazama ile video clip, nimejiridhisha its "bonafide genuine!", haijapitia doctoring yoyote!, japo ni kweli technolojia hizo zipo, kama lengo ni kuichafua Chadema, then of all the people, not Rwakatare!.

Negation doesn't help much!, nawapongeza sana Chadema kwa this time to to act promptly on "damage control", the best way was now to do the "right thing" and to "do it right", ilikuwa ni kum "disown" Rwakatere!, hayo mengine yote ni siasa tuu!.

Pasco.
Heri sema wewe unayecheza na videos kila siku manake tukisema wengine tunaambiwa tunatumiwa na MAGAMBA!
 
You are suggesting LWAKATARE, a scapegoat???
Politics mi kama business, kuna "assets" na "liabilities", akiona biashara inayumba, you turn some assets into a liabilities kwa kuzi despose into the market ili kuongeza mtaji na kuinusuru biashara yako.

Rwakatare was an an asset, ila kwa maneno yale, has "turned into a liability!", asset ikisha turn into a liability, the only way is to dispose it!, there is no any other way!, na ukiamua kuendelea kuibeba liability ndani ya biashara yako, itaendelea kukuletea hasara!.

Tulisema huko nyuma na tutaendelea kusema, na kusema na kusema, tena, na tena na tena (hii ni verse!)
Ili Chadema iweze kuchukua nchi 2015!, its not only needs to do "the right thing!", but it got to to "things right!".
Hatua ya kwanza kabisa in doing the "right thing" and "things right" ni kuukubali "ukweli". "Seek the truth, and the truth will set you free!". Kiukweli, yale ni maneno ya Rwakatare!, Chadema waanzie hapo kwenye "ukweli", ndipo tusonge mbele!. Nimesema "negation!" ni just a short time solution kama "morphine" inavyotumiwa kwa waliojeruhiwa vibaya vitani, wanalambishwa kutuliza tuu maumivu makali!, ila morphine yenyewe sio dawa, na haitibu kitu!. Ile "negation" ya Chadema ya jana ni "morphine" tuu katika hilo jereha!. Jeraha bado lipo na kidonda kipo wide open!, dawa ni kukitibu tena mapema kabla hakijawa contaminated!.

Pasco.
 
Kitu ambacho watawala hawajaelewa, na hawataelewa hadi watakapotoka madarakani, ni kuwa wao wanafikiri wanapambana na CHADEMA kama CHADEMA. Ukweli ni kwamba CHADEMA ni alama tu ya wale wote wanaotaka mabadiliko katika nchi hii. Yeyote anayekerwa na kuona kuwa mambo hayaendi vizuri, na anayeamini kwamba tupo hivi tulivyo kwa sababu ya CCM na utawala wake, analazimika kuunga mkono CHADEMA, sio tu kama chama, lakini kama alama ya mabadiliko. Kwa hiyo kujaribu kuizima CHADEMA ni kujaribu kuzima dhamira ya ndani kabisa ya mabadiliko ambayo imejikita ndani ya watanzania walio wengi leo. Wafuatiliaji mabadiliko duniani wanaelewa kuwa haiwezekani kuzima kiu na dhamira ya mabadiliko kwa sababu ipo ndani sana ya mioyo ya watu. Ndio maana mipango yote ya kijinga kama hii na isiyo ya kijinga itafeli na CHADEMA itaibuka imara zaidi!

MABADILIKO!!!!!!! hata kuondoa chakula kizuri mezani na kuweka KINYESI nayo pia ni mabadiliko.
WATANZANIA sio punguani kiasi cha kuchoka chakula na kuamua kukiondoa mezani na kuweka KINYESI kama m-badala..tunachohitaji ni mabadiko CHANYA na sio mabadiliko HASI munayoyahubiri ninyi.. zama za UNAFIKI kwa kigezo cha demokrasia ndio zinazotusumbua lakini mwishoni ni kwamba''' kila mwenye dhamira CHAFU na nchi yetu, dhamira yake itawekwa wazi bila ya matarajio yake na haijalishi kama huyu mtu ni CCM au ni CDM. na kwa bahati yenu mbaya, mmekuwa wa kwanza kudhihirisha dhamira yenu chafu
 
Kitu ambacho watawala hawajaelewa, na hawataelewa hadi watakapotoka madarakani, ni kuwa wao wanafikiri wanapambana na CHADEMA kama CHADEMA. Ukweli ni kwamba CHADEMA ni alama tu ya wale wote wanaotaka mabadiliko katika nchi hii. Yeyote anayekerwa na kuona kuwa mambo hayaendi vizuri, na anayeamini kwamba tupo hivi tulivyo kwa sababu ya CCM na utawala wake, analazimika kuunga mkono CHADEMA, sio tu kama chama, lakini kama alama ya mabadiliko. Kwa hiyo kujaribu kuizima CHADEMA ni kujaribu kuzima dhamira ya ndani kabisa ya mabadiliko ambayo imejikita ndani ya watanzania walio wengi leo. Wafuatiliaji mabadiliko duniani wanaelewa kuwa haiwezekani kuzima kiu na dhamira ya mabadiliko kwa sababu ipo ndani sana ya mioyo ya watu. Ndio maana mipango yote ya kijinga kama hii na isiyo ya kijinga itafeli na CHADEMA itaibuka imara zaidi!
MTU yeyote ambae anaitakia mema nchi hii hakika hawezi kuyapinga mabadiliko lakini sizani kama itakuwa sahihi kuwa mamluki wa mabadiliko!! Kwamba, lolote litakalofanywa na wanamadiliko tulishangilie hata kama ni ovu!! Wapo kumbwakumbwa, hawa watashangilia kila kitu na kupinga kila kitu kutoka upande mwingine! Ni bahati mbaya sana wanamabadiliko wa CHADEMA wanaona kila anayewapinga basi huyo ni adui hata kama kinachopingwa ni sahihi!

Hivyo basi, tuache propaganda kwenye serious issue. Ilimradi post yako ipo kwenye thread inayohusiana na suala la Lwakatare, basi sina shaka yoyote kwamba hata mchango wako unaegemea kwenye thread husika! Kama mnaamini CCM na serikali yake wana mpango wa kuizima CHADEMA isivyo halali, basi ni kheri CHADEMA nayo ikiepuka kufanya mambo yanayotia shaka. Hili la Lwakatare ni jambo linalotia shaka. CHADEMA walalamikie udhaifu wa Jeshi la Polisi katika kutekeleza majukumu yake lakini wasilalamikie kukamatwa Lwakatare coz' sababu ya kukamatwa ipo! Katu, kutokamatwa kwa watu wengine hakuwezi kuwa sababu tosha ya kutokamatwa Lwakatare.
 
Mkuu asante sana kwa ufafanuzi ambao najua mungu yupo nasi, WATASHINDA NA HAWATASHINDA

kwani TBCCM kuna tamthilia moja ya wachina wanaongea kiswahili kabisa inaitwa DOU DOU NA MAMA WAKWE ZAKE... mara ya kwanza nilipoiona nilijua wanaongea kiswahili ukitazama kimakini sana unajua sio KABISAA...

POA TU SISI TUNA MUNGU WAO WANA MAJESHI NA SILAHA, mungu tusaidie.
 
Kitu ambacho watawala hawajaelewa, na hawataelewa hadi watakapotoka madarakani, ni kuwa wao wanafikiri wanapambana na CHADEMA kama CHADEMA. Ukweli ni kwamba CHADEMA ni alama tu ya wale wote wanaotaka mabadiliko katika nchi hii. Yeyote anayekerwa na kuona kuwa mambo hayaendi vizuri, na anayeamini kwamba tupo hivi tulivyo kwa sababu ya CCM na utawala wake, analazimika kuunga mkono CHADEMA, sio tu kama chama, lakini kama alama ya mabadiliko. Kwa hiyo kujaribu kuizima CHADEMA ni kujaribu kuzima dhamira ya ndani kabisa ya mabadiliko ambayo imejikita ndani ya watanzania walio wengi leo. Wafuatiliaji mabadiliko duniani wanaelewa kuwa haiwezekani kuzima kiu na dhamira ya mabadiliko kwa sababu ipo ndani sana ya mioyo ya watu. Ndio maana mipango yote ya kijinga kama hii na isiyo ya kijinga itafeli na CHADEMA itaibuka imara zaidi!
Mkuu Kitila Mkumbo, heshima mbele, kwanza nakubaliana na wewe kuwa kwa sasa Chadema hapa ilipofika sio chama tuu kama chama, its a "movement for change" and as the "wind of change" "sweeping across Tanzania" is gaining more and more momentum, wako wengi watakaozolewa na upepo huu, hivyo kufikia kiwango na kuifanya Chadema iwe "unstoppable" kuingia ikulu 2015!, lakini lazima "chadema" ikubali "ukweli" kuwa inaongozwa na watu na sio malaika!, sasa linapofanyika kosa "dhahiri" lazima "chama" kiwe tayari kuukubali "ukweli" na kubeba "responsibilities" za ukweli huo na sio kwa "negation" kama inavyofanyika sasa!. Nimeisikiliza clip ni "bonafide genuine!".

Pasco.
 
Kitu ambacho watawala hawajaelewa, na hawataelewa hadi watakapotoka madarakani, ni kuwa wao wanafikiri wanapambana na CHADEMA kama CHADEMA. Ukweli ni kwamba CHADEMA ni alama tu ya wale wote wanaotaka mabadiliko katika nchi hii. Yeyote anayekerwa na kuona kuwa mambo hayaendi vizuri, na anayeamini kwamba tupo hivi tulivyo kwa sababu ya CCM na utawala wake, analazimika kuunga mkono CHADEMA, sio tu kama chama, lakini kama alama ya mabadiliko. Kwa hiyo kujaribu kuizima CHADEMA ni kujaribu kuzima dhamira ya ndani kabisa ya mabadiliko ambayo imejikita ndani ya watanzania walio wengi leo. Wafuatiliaji mabadiliko duniani wanaelewa kuwa haiwezekani kuzima kiu na dhamira ya mabadiliko kwa sababu ipo ndani sana ya mioyo ya watu. Ndio maana mipango yote ya kijinga kama hii na isiyo ya kijinga itafeli na CHADEMA itaibuka imara zaidi!

Umesikika kiongozi.
ila ungegusia pia kuhusu HII VIDEO ya kiongozi .
 
Wilfred-Lwakatare.jpg

Kwa walio wajuzi wa taalamu ya utengenezaji filamu za maigizo huwawezi kupata shida ya kubaini kasoro mbalimbali ikiwemo

  • Kukwepesha taswira ya mazingira halisi na makandokando ya mahali alipokuwa
  • Kuficha watu aliokuwa anawapa maelekezo au maelezo.
  • Kasoro za uoanisha lips vibration na maneno yanayotamkwa
Vigezo hivyo vichache tu kati ya vingi nisivyoviainisha hapa wenye ujuzi wamambo ya kutengeneza movie kwa kuoanisha maneno na picha za matukio watakueleza jinsi kasoro iliyopo. Kikubwa zaidi utaona vibration ya lips hapa na pale vina ukinzano na maneno yanayotamkwa tofauti na movie ambayo imekuwa recorded picha na maneno kwa wakati mmoja bilakufanya uhariri.

Video ambayo ni recorded sound na moving pictures ni tofauti sana na movie ya kutengenezwa, ukiangalia utaweza kugundua ukweli huu na kusoma kasoro mbalimbali zilizomo.

Mhusika katika kesi hii ambaye ni Rwekatare anaweza kuwa na kumbukumbu katika matukio kadhaa ambayo alikuwepo na hivyo kuoanisha tukio alilokuwepo ambapo alikuwa recorded na hivyo kutumia moving picture hizo katika kutengeneza movie hii.

Kasoro za movie hii nimebaini binafsi nilivyoangalia movie hiyo kutokana na kozi mojawapo niliyochukua wakati nipo chuoni kitengo cha Digital Media and Electronic Publishing na nilipokuwa field kwenye kampuni yautengenezaji filamu nchini Marekani siku za nyuma.

Hatua za awali polisi zina makosa
Polisi wenye uzoefu wangeanzia na kumfuatilia aliyeweka hiyo movie kwenye mitandao aeleze aliipataje, na ndiye mwenye jibu kamili. Rwekatare angekuja kushikwa baada ya mtoa ushuhuda aliyeweka hiyo movie kuthibitisha chanzo cha movie hiyo, huo ndio ufundi wa vyombo vya upelelezi uliotukuka katika upelelezi vinginevyo nikitandawili.

Sina maana ya kumtetea Rwekatare, lakini suala zima katika kesi hii kuna kasoro nyingi mno za kisheria, kiufundi katika upelelezi na mengine mengi, pengine polisi kwa kiherehere chao walichofanya wameshaharibu chanzo kikuu cha kupatikana ukweli katika kesi hii kwani wahusika watakuwa wameshatafuta mbinu ya kujificha.
Weledi ulikuwa wataalamu wa upelelezi huanza na chanzo cha tukio kwanza badala ya hatua waliyochukua polisi kuanzia matawi badala ya shina.

Tamkola Makamu Katibu Mkuu CCM Bara, Mwigulu Mchemba zimechelewa kuchukuliwa alipotangaza kwamba anazo movie hizo, na leo wanakuja na mpya wakati hatua za awali ambazo zingesaidia katika upelelezi zimekiukwa.

Mbaya zaidi movie inaonekana kurekodiwa muda mrefu lakini imekuja kutundikwa baada ya tukio la Mwandishi Kibada, kuna kila dalili ya wale wale waliomteka na kumtesa Kibanda ndio waliotundika movie hiyo mitandaoni. Wanatakiwa wasakwe na watoe maelezo walikopata movio hiyo na kuwa mashahidi wa kwanza katika kesi hii.

Filming-on-Jefferson-and-Randolph---applying-makeup.jpg

Jinsimovie zinavyoandaliwa nimejaribu kupitia makarabasha yangu ya chuoninikajikumbusha mengi na hivyo nashirikisha kakipande haka muwezikusoma kitu fulani kinachoendelea katika movie hii

Themotion picture was born in 1878, and while only 16 frames long,required multiple cameras and many many hours, as it was turned intoa movie by assembling the individual images one frame at a time.Flash forward over 130 years, and we can shoot more movies in a daywith our iPhones than were made in the first 20 years of film. Andwhile it's so easy to do, it's much harder to do well.
Director:
The directorcontrols the creative aspect of the movie, and is a key liaisonbetween the crew and the cast. If this is your movie and your storyidea, and the budget is modest, the director is probably you.

Cinematographer,or Director of Photography (D.O.P.):
This person isin charge of making sure the lighting and actual filming of the moviego smoothly, as well as deciding with the director how each shotshould be framed, light, and shot. He or she manages the lighting andcamera crews (or is the lighting and camera crew, on a smaller film).

Castingdirector:
The castingdirector decides which actors are best suited for the film, as wellas negotiating contracts and schedules.

Setdesigner:
This person isin charge of making sure the sets correspond with the director'screative vision. He or she might also be the props master (in chargeof the items that fill the set).

Cameraoperator:
The cameraoperator does the actual shooting of the movie, working with thecameras. On a small production, this person could also be thecinematographer or the director-or both!

Sound man:
The soundman may be one or more people. Dialog needs to be recorded either inscene, or looped in later during production. Sound effects, likelasers zapping and helicopters exploding, all need to be created;music needs to be sourced, recorded, and mixed; and foley (footsteps,leather creaks, plates broken, doors slamming) all the needs to begenerated.

Costumedesigner:
On a largeproduction, this person would choose (and maybe even sew) everycostume used in the film. On smaller productions, this position isusually merged with another job.

Hair andmakeup artist:
As the nameimplies, this person is in charge of getting the actors into theright hairstyles and makeup for each scene. On a small production,this position might not even exist.

Scriptsupervisor:
The scriptsupervisor is charged with making sure the actors stay on script, andthat the continuity of the film is maintained. He or she might alsorecord the production's daily progress working through thescreenplay. On a smaller production, this might be merged withanother position.

Filmeditor:
Onceproduction has wrapped, the editor takes all the shots and combinesthem into the master. He works with the director, keeping some takesand cutting others. On a smaller movie, the director might handleediting.

Soundeditor:
The soundeditor mixes the music, dialog, foley, and effects. Mostcomputer-based film-editing software makes some allowance for audiotracks, but the addition of a skilled engineer is highly recommended.

:msela:TANZANIAYA LEO NI YA KIZAZI KIPYA SI CHA MWAKA 47:msela:

Rwakatare was an an asset, ila kwa maneno yale, has "turned into a liability!", asset ikisha turn into a liability, the only way is to dispose it!, there is no any other way!, na ukiamua kuendelea kuibeba liability ndani ya biashara yako, itaendelea kukuletea hasara!.
Hakika hilo ndilo CHADEMA walilotakiwa kulifanya badala ya kutumia energy kubwa kulikanusha wakati kila kitu kipo wazi! Ni ujinga kuzani watu ni punguani na kwamba wanaweza kuhadaika na porojo za uwepo wa Video Doctoring Technologies. CCM wana pesa ya kutosha, kama wangeamua kufanya hiyo Video Manipulation Technology wala wasingefanya kitu chenye poor quality kama video ya Lwakatare. Na aidha, hata content yenyewe ingekuwa ni ya kutisha zaidi kuliko iliyomo kwenye video iliyopo....
 
MTU yeyote ambae anaitakia mema nchi hii hakika hawezi kuyapinga mabadiliko lakini sizani kama itakuwa sahihi kuwa mamluki wa mabadiliko!! Kwamba, lolote litakalofanywa na wanamadiliko tulishangilie hata kama ni ovu!! Wapo kumbwakumbwa, hawa watashangilia kila kitu na kupinga kila kitu kutoka upande mwingine! Ni bahati mbaya sana wanamabadiliko wa CHADEMA wanaona kila anayewapinga basi huyo ni adui hata kama kinachopingwa ni sahihi!

Hivyo basi, tuache propaganda kwenye serious issue. Ilimradi post yako ipo kwenye thread inayohusiana na suala la Lwakatare, basi sina shaka yoyote kwamba hata mchango wako unaegemea kwenye thread husika! Kama mnaamini CCM na serikali yake wana mpango wa kuizima CHADEMA isivyo halali, basi ni kheri CHADEMA nayo ikiepuka kufanya mambo yanayotia shaka. Hili la Lwakatare ni jambo linalotia shaka. CHADEMA walalamikie udhaifu wa Jeshi la Polisi katika kutekeleza majukumu yake lakini wasilalamikie kukamatwa Lwakatare coz' sababu ya kukamatwa ipo! Katu, kutokamatwa kwa watu wengine hakuwezi kuwa sababu tosha ya kutokamatwa Lwakatare.
Mkuu NazDaz, asante sana kwa "objectivity" yako kwenye hili!. Kiukweli nakuingiza kundi la kina Mzee Mwanakijiji, Nguruvi3, Mchambuzi and the like ambao daima wanasimama kwenye ukweli no matter what!.
Asante.
Pasco.
 
Kibanda alisema siku chache kabla kutekwa, aliona gar la polis likimfuatilia mara kadhaa, na wakat wa utesaj palikuwa na maneno "Afande mshuti tu"

Kwa kuzingatia maelezo ya Kibanda mwenyewe hasa ya gar la polis utagundua Lwakatale hausik ktk mpango huu.
Chukua maneno ya Membe (waandish maudui), Wasira (CDM itakufa 2013) na Mwigulu (Mkanda wa uhalifu CDM) Utagundua nyuma ya maneno yao kulikuwa na mipango ya hatar sana.

Vilevile tujiulize kwanin polis hawakwenda kuchukua mkanda wa Mwigulu mapema, wamesubir mpaka uwekwe Youtube?

Anyway kila mtu aamin anavyodhan, lakin mi bado sana kuamin hil swala.
 
Umesikika kiongozi.
ila ungegusia pia kuhusu HII VIDEO ya kiongozi .
Ana akili huyo, hawezi kugusia....kuigusia manake inabidi atuunge mkono akina sie jambo ambalo katu hawezi kulifanya unless awe tayari kukabiliana na mashuti ya kwamba MWANA-MASALIA.
 
Kama kweli kwa karne hii kuna watu wataamini au kuaminishwa kuwa Mh Winfred Lwakatare ndio katoa video hii ni hatari sana kwa Taifa la Tanzania kwani kuna watu watakuja kuwanunua then mkauzwa then wajanja wakala pesa zao kwa ulaini,Hivi Bongo kuna wasomi kweli??

Hii video jamani imetengenezwa na ni rahisi sana kutengeneza ni mambo ya Computer hayo wananchi msipumbazwe kama ni kweli mlikona wapi muuji au wauaji wakapangaa ujinga kama huu hadharani tena kweupe kabisa kama ionyeshavyo hii video Lol kama na Police wamemkamata kwa hii video kweli hapo hakuna Police kuna Policeuniform na mijikanda kuzunguka mwli mzima lakini hakuna wataalamu teh teh teh.

Kina Riziwani Kikwete na Nape Nnauye walisema wanafahamu watu waliomfanyia Kibanda so swali hawa nao walikamatwa kwa kuhojiwa na kama hawajakamatwa wakati wanawafahamu watesaji hapo kweli kuna Police??

Mwaka jana CCM kupitia kwa kina Mwigulu,Wasira Steven walisema kuwa CHADEMA mwisho wake ni mwaka huu sasa hii ndio propoganda hiyo lol siasa za Bongo ni uchwara kweli kweli kama alivyosema Rostam Aziz.

Mwaka jana Mwingulu alisema ana video ya mpango wa mauaji ya CHADEMA na wakaambiwa waipeleke Police ili kama ni kweli wahusika wakamatwe,waliambiwa na viongozi wa CHADEMA lakibni hawajaipeleka kwa maana hiyo walikuwa hawajaimaliza sasa CCM walishamtesa na kutaka kumuuwa Kibanda ndio wanatoa video hii ya kuchonga hivi kwa miaka hii watu wenye akili zao wanaweza kutoa hii movie?

Jamani Watanzania tukae mamcho naa hawa jamaa wa CCM wametumia njia nyingi sana kuikandamiza CHADEMA lakini wameshindwa sasa wamekuja na upuuzi huu watakaowaamini watakuwa wanakasoro za akili.

CCM wameona maji yako shingoni ndio wanacheza movie za kina Jack Chein za kuruka kwenye ukuta na watoto wanaamini ni kweli so wataoiamini hii video nawasikitikia sana sana wako nyuma sana na Dunia hii ya Technologia
kweli wanaoshabikia bila kuichambua ndio wajinga zaidi ya walioiweka
 
Let us share the pain and joy together,let us live in brotherhood,because our mission is not cemented by blood,but by faith and hope.May GOG bless CHADEMA,may GOD bless Tanzania.
 
Back
Top Bottom