Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.
Nilisikia siku za nyuma kuwa hata yule jamaa wa Benki kuu aliyeandikwa kuwa anahonga gari nyekundu kwa kila msichana anayempitia, naye alikula. Twafa!!


You must be kidding! Otherwise foleni ina wengi basi...
 
Kama vile ambavyo siamini kama huu mjadala hapa JF ni wa Kisiasa, ndivyo hivyo ambavyo siamini kama Mpakanjia alikuwa justified kumuandikia Spika kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake, simply kwasababu its not a parliamentary issue kwamba mbunge kapewa talaka.
Hii inaonyesha wazi kuwa huu ni mchezo mchafu wa kisiasa; na ni vema JF nasi tukawa makini kutojiingiza kwenye masuala ya chini ya shuka...If we must, then tujiulize kama tuna haki ya kujadili mahusiano ya mtu na kumuita majina machafu ilhali sisi wenyewe tuna machafu yetu.
Otherwise huu mjadala uende kwenye UDAKU!
 
Sipendi kuingia undani kuhusu suala la MAADILI ya Nchimbi, Zitto na Amina, ninachohofia ni afya ya Amina.

JAne Mihanji, alikua akiwania Uenyekiti wa UVCCM, pamoja naye alikuwapo, NApe Mnauye, na kwamba kukawa na habari kwamba viongozi wote wa juu wa CCM walikua wakitaka kumng'oa Nchimbi, sasa Nchimbi alimchukua Jane wakaenda naye mpaka nyumbani kwake, huko Jane aliruka ukuta, akidai kwamba alitaka kupuliziwa dawa, mara wakasema alitaka sijui 'kupigwa' na kadhalika, lakini kilichofuata ni kwamba Jane alichanganyikiwa kwa muda mrefu na kuna wakati tulifikia hoteli moja naye akawa anapiga kelele usiku, na kwamba hata nyumbani kwake alikua akikimbia ovyo. Alikua akitembea anaweza kuanza kupiga kelele kuwa anafuatwa. na huo ndo ukawa mwisho wa JAne ambaye hadi sasa ni mjumbe wa NEC lakini hasikiki. Ofisini kwake Uhuru na Mzalendo yupo kama hayupo. Jamani huyu Nchimbi ni nani? na KUNA NINI? Je, mtoto wa mjini Amina atayaweza MAKARAMA? Habari za M/kijiji zinanikumbusha JANE MIHANJI
 
Hizi mimi naona ni tuhuma sababu habari niliyoisoma hapa sijaoneka uthibitisho wa tuhuma hizo.

unajua kwa kumbu kumbu zangu wakati Amina anaolewa na huyu jamaa, amina kwanza alikuwa mdogo, pili uwezo wa kifedha wa bwana inaweza kuwa ndio chanzo cha ndoa yao. Hivyo kama tuhuma hizi ni za kweli kwa mtu anayetafakari hawezi kushangaa.

bali inawezekana baada ya kukomaa kiakili na kuimarika kiuchumi huyu binti sasa amenza kufanya maamuzi ya kimapenzi na sio msukumo wa fedha au udogo.

Ndoa ya hawa jamaa ni mkataba baina ya huyu binti na huyu mume wake, sasa kama huyu binti kakiuka mkataba, huyu bwana anapashwa kumshitaki mke wake kwa spika na sio huyu aliyemsaidia kazi yake. Maana huwezi kumshitaki mtu ambaye hayuko katika mkataba kuwa kavunja mkataba.

MAPENZI SI JAZIBA WALA HAYANUNULIWI KAMA NDOA IMEGOMA MNAACHANA KWA VIZURI KILA MMOJA ANAENDA KUJARIBU KILE ATACHOONA KINAFAA.



NAOMBA KUKUKOSOA

hawa ni waislam na walioana NDOA YA KIISLAM na katika uislam kuna sheria za kufuata inapotokea JAMBO HILI

MASHAHIDI 3 lazima wathibitishe

Zaidi ya HAYO UISLAM UNARUHUSU SEPARATION kwa kutegema kuwa hawa wawili wanaweza kufikia muafaka

Ikishindikana inabidi WAALI au JAMAA kama vile ma AMI au HALOO zao wanaweza kuombwa watole suluhu

Ikishindikana NGOMA inaenda kwa WAZAZI wa pande zote MBILI

Ikishindikana VIONGOZI WA KIDINI wanaweza kuingilia kutoa ushauri wao

Ikishindikana BASI TALAKA inatolewa

NA KATIKA uislam HAKUNA talaka 3

SASA WEWE UNAPOSEMA ETI WAKASHITAKIANE KWA SPIKA haihusiki
 
Kuna kila dalili kuwa Mbunge wa Viti Maalum Bi. Amina Chifupa (CCM) anashikiliwa na kuzuiwa kutokea hadharani kinyume na sheria. Dalili ni kuwa licha ya sakata linaloendelea kuna ndugu na jamaa wa karibu wa Mbunge huyo wakitumiwa na baadhi ya viongozi wa ngazi za juu... kanyang'anywa simu...gari... n.k... hawezi kwenda popote pasipo minders kuambatana naye... kutokana na tishio lake la kulipua mabomu...jambo lolote laweza kutokea kumnyamazisha milele!!!
 
kuna taarifa kuwa MHESHIMIWA AMINA CHIFUPA metekwa nyara au AMESHIKILIWA NA WATU bila ridhaa yake

JE KUNA MTU ANA LATEST KUHUSU HILI?
 
1. Zitto usibabaike, UGONI si sifa kwa mwanaume wa Kitanzania. Naomba mrejee makala ya Prince Bagenda akimzungumzia "raisi mtarajiwa."

2. Mbavu zinaniuma kusikia eti Bwana Mpakanjia kamuandia Spika kuhusu masuala yake na mkewe. Hivi Mpakanjia anamjua Spika vizuri? Kama hamjui, aulize ili apewe historia ya Spika alipokuwa kijana.

3. Wale waliokuwa wakimlinganisha Chifupa na Mbowe sijui wana maoni gani kwa kweli. Tupo tulioeleza toka mwanzo kwamba huyu Amina Chifupa hakuwa na background ya ku-serve ktk bunge la Jamhuri. Hapa sizungumzii suala la maadili tu, bali hata uwezo wa kujenga na kupambanua hoja.
 
lolote litakalo mtokea AMINA CHIFUPA basi huyo Nchimbi ajue kuwa DUNIA ni ndogo

HIVI KWELI HAWA WATU WATAENDELEA kutuvuruga mpaka lini?
 
3. Wale waliokuwa wakimlinganisha Chifupa na Mbowe sijui wana maoni gani kwa kweli. Tupo tulioeleza toka mwanzo kwamba huyu Amina Chifupa hakuwa na background ya ku-serve ktk bunge la Jamhuri. Hapa sizungumzii suala la maadili tu, bali hata uwezo wa kujenga na kupambanua hoja.


KWANI SIFA HIZO NI ZIPI? AU NDIO MNAANZA NA CHARACTER ASSASSINATIONS?

MAANA KAMA CHIFUPA HAFAI HAO WENGINE WANAFAA?

ACHA HIZO
 
USALAMA WA TAIFA wanafanya kazi gani ya kumlinda huyu Mheshimiwa MBUNGE wetu?

Je damu ikimwagika watasemaje? na waheshimiwa nao watasema nini?
 
Yaani hapa ni kama nasoma Novel vile hebu weka haya mambo 3 pamoja uone MOTO utakaowaka....Money..Power...Sex..

Moto Mnene huu naona Mzee ES amechoka kabisa...uwiiiiii jamani BUSARA za huyu Spika zinagharimu sio Chini ya Milioni 100...chonde chonde jamani...SPIKA ANAHUSISHWA VIPI.

Nchimbi...Nchimbi...enzi za BCS; Sam aliweka vita dhidi ya Nchimbi wakati ule nilikuwa sielewi lakini sasa naona huyu jamaa ni HATARI kama UKOMA. Huyu Nchimbi anatakiwa kupingwa vita atoke kabisa katika siasa za bongo. Huyu anataka MADARAKA kwa GHARAMA yoyote.

Siasa za Bongo zimeingiliwa na VIJANA...ule mchanganyiko wa...Sex...Power...Money...ni hatari, hebu hapo weka 24/7 media, mtandao wa internet, sms, (nimesikia Mpakanjia ana Video..!!) yaani ni hatari kuliko Bomu. Huu ni mwanzo tuu...Yet to come.
 
http://www.thisday.co.tz/News/1939.html


Chadema MP invites US envoy to constituency

Jamani Zitto yuko Kigoma


THISDAY CORRESPONDENT
Kigoma

US Ambassador Michael Retzer is scheduled to visit Kigoma Region this week.

The envoy is expected for a one-day tour of the region for a briefing on the situation as regards multiparty democracy, good governance and the fight against corruption, particularly in the Kigoma North Constituency.

Mr Retzer will be the guest of Kigoma North MP Zitto Kabwe (Chadema) and then talk to Mwandiga Village council members over the fight against corruption.

Mr Kabwe said his constituents are proud of the visit, and would use the opportunity to detail the envoy about the problems his voters face like lack of power supply, poor infrastructure, water supply and health services.

Supplying clean and safe water for household use was a major problem, despite that Lake Tanganyika borders the majority of villages in the constituency.

Dr Alex Kitumo, an aide to the MP, said the envoy’s visit would strengthen ties and familiarity between the region and the US with possible financing of various development projects
 
Kwanza hili suala sidhani kama ni CCM vs Chadema! (yaani CCM imepigwa bao!! heheheh!) Hawa ni wawili walienda kujifungia na kufanya walichofanya,bila kumtangazia mtu yeyote.Hii ilikuwa ni hiari ya watu wazima wawili.
Kitendo cha huyo mumewe Amina kumwandikia barua Spika,ni ujinga wake tu wa kupokea ushauri kutoka kwa mtu(Nchimbi) ambaye anataka kummaliza mkewe kisiasa.Jamaa ni mbumbumbu,na Nchimbi katumia opportunity hio kumshughulikia Amina.Wa kulaumiwa ni Mpakanjia.
Yeye kama mwanaume,angeyamaliza haya kimyakimya,maana kajitia aibu mwenyewe kuliko mkewe.Huyo Amina,ana rumours nyingi sana kuhusiana na maswala aliyohusishwa nayo hapa,kabla hata hajawa mbunge,na nina uhakika huyo Mpakanjia,kwa kuwa ni mtoto wa mjini lazima atakuwa anajua.Sasa iweje leo amwandikie Spika,je ingekuwa ni kiongozi wa juu zaidi angemwandikia nani?

Huko Dodoma haya hutokea kila siku.Ukitaka ushahidi nenda kwenye disco lao Club 84,na utashangaa jinsi wabunge wengi wanavyo mis-behave.Na huyu AC ni mmoja wao.

In my opinion,she became an MP way too early.Hakuwa na exposure ya kutosha before that.Maana hata huko Bungeni alishatolewa nje kwa ajili ya mavazi na akalia machozi! Sasa jamani huyo ni mtu wa kuwakilisha jamii kweli?
 
KAMATI YA UFUNDI hii kamati hiiiii

Huyu AC awe makini sana...kwa maneno ya Mugabe "this is quite a dangerous path"
 
Kama kweli mh. Zitto kale uroda wa huyu bibie, it is a big shame to himself and to my party. Nampa pole na kumtakia uponyaji wa haraka ili asimame tuendelee kukijenga chama chetu. Sio kwamba kula uroda ni kitu kibaya; kibaya hapa ni kula uroda wa mke wa mtu. Mbaya zaidi mke mwenyewe ni Amina Chifupa ambaye maadili yake ni questionable for ages.

Ukishakuwa mwanasiasa unayeng'ara lazima uwe makini sana. Ujue kuna watu watafurahia mafanikio yako na kuna wengine hawatafurahia tu bali pia watakuchukia na kufanya kila hila ili kukumaliza kisiasa. Hii ni hasa katika nchi kama za kwetu ambazo bado zimekaa kikomunisti komunisti. Sasa Zitto hata kama kweli hajamla uroda huyu binti alipaswa kujua kuwa kuwa naye karibu kiurafiki ingempeleka pabaya. Ni rahisi wote wawili kukanusha, lakini the damage has been done and it should have been possible to prevent it.

Sasa kinachotakiwa hapa kama kweli kosa hili limetokea ni Zitto kukiri na kuomba msamaha kwa Bwana Mpakanjia, kwa mke wake na kwa CHADEMA. Then asimame tuendelee na mapambano. Hakuna njia nyingine ya uponyaji hapa zaidi ya yeye kukiri na kuomba msamaha hadharani!

Zitto amekuwa mtu wa madili kwa muda mrefu sana. Nitasikitika kama kweli atakuwa amefikia hatua ya kuporomoka kimaadili kwa muda mfupi namna hii tangu awe mbunge.

Nasubiri kusikia kwake.


Mwanasiasa ukigombea URAIS au UBunge nijulishe nikuchangie fedha ya Kampeni
 
Originally posted by samvulachole:
KWANI SIFA HIZO NI ZIPI? AU NDIO MNAANZA NA CHARACTER ASSASSINATIONS? MAANA KAMA CHIFUPA HAFAI HAO WENGINE WANAFAA?
ACHA HIZO

samvulachole,
huyu Mama Amina Chifupa Mpakanjia alikuwa drama-queen tangu hajaingia bungeni. uwezekano wa huyu Mama kuwa a DISTRACTION bungeni ulikuwa mkubwa mno. Hili tukio/skendo limethibitisha wasiwasi huo.

wako wajumbe wa jamboforums walijenga mkakati wa character assasination dhidi ya Freeman Mbowe. Hao ndiyo waliofikia kutamba ktk forum hii kwamba Mama Amina Chifupa Mpakanjia ana uwezo kiuongozi,kiutawala, na kisiasa, kuliko Freeman. Tusubiri maoni yao baada ya tukio hili.

Yebo Yebo,
Yeyote "aliyemchongea" Mama Chifupa kwa ajili ya malengo ya siasa kwa kweli ni mtu hatari sana.

Miaka ya zamani wabunge walikuwa wakiingia siasa kwa malengo mazuri tu. Walikuwa wakiharibika baada ya kuingia siasa, na siyo kabla. Miaka hii ya karibuni wabunge wanakuwa tayari ni wahuni-huni kabla hata ya kuingia siasa.

Huu ni muendelezo tu wa siasa za wanamtandao. Naamini sote tunakumbuka kampeni chafu dhidi ya Salim Ahmed Salim. Kampeni hizi za ajabu-ajabu ndizo zilizomuweka Raisi wetu madarakani. Je, sasa ana uwezo wa kusafisha hali ya hewa ya kisiasa Tanzania?
 
Mzee alipigiwa simu na "mkuu" mmoja ili kuingilia kati na kuzungumza kwa niaba ya mtoto wake na hakuwa na options... kwani paraphrasing alichoambiwa ni kuwa "Mzee zungumza na mwanao kuwa kwenda hadharani haitamsaidia kitu, kwani akipoteza Ubunge hakuna mafao..." Pamoja na maneno hayo... kuna kila dalili kuwa Kamati ya Maadili ya CCM iko mbioni kuketi na lile "jinamizi la nidhamu ya chama" litatokeza kichwa chake.... stay tuned..
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom