Kashfa nzito: Zitto vs Amina Chifupa

Status
Not open for further replies.

Dua

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
3,111
Points
1,500

Dua

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
3,111 1,500
Hivi watu wakipendana kuna shida gani? Huyu mumewe yeye hatembei nje? Hapa wameshikana na wametalakiana haya ya kumwandikia spika ni katika kufanya nini hasa wakati wameisha peana talaka.

Absolutely stupid?
 

Samvulachole

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2006
Messages
414
Points
225

Samvulachole

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2006
414 225
Kabla ya kujikita katika ushabiki ni vyema kwanza tukajiuliza maswali kadhaa;

1. Mzee Mpakanjia ana ushahidi gani kuthibitisha madai yake?

2. Je masuala ya kulana "uroda" ambayo kwa kiasi kikubwa hufanywa kwa usiri Spika ana mamlaka ya aina gani nayo?

3. Kwa nini Mzee Mpakanjia asilipeleka suala hili kwa wazazi wa Bi Amina, kwani alipopeleka posa alipeleka kwa Spika?

Kama ushahidi ni "tetesi" mbona tumezisikia "tetesi" nyingi tu kuhusiana na Bi Amina sina haja ya kutaja majina kwani huwa mara nyingi sipendi kufanyia kazi udaku lakini nina majina ya wabunge wasiopungua 10 ambao naambiwa Bi Amina ameshawahudimia.

In that case where do we draw a line between private matters na public one?


maswali yako ni mazito na KHASWA ukizingatia kuwa WOTE NI WAISLAM na kutokana na sheria za kiislam lazima wapatikane MASHAHIDI WATATU...je bwana MPAKANJIA anao mashahidi?

Mambo ya ndani ya Mbunge au waziri yana nafasi gani na SPIKA? au kuna jambo ambalo sisi hatulijui?

BWANA mpakanjia KAMWACHA KWA talaka ngapi? MOJA AU MBILI AU TATU? je kule BAKWATA nako wanasemaje?

La MUHIMU ZAIDI WHY NOW?

kwa sababu hii inaweza ikawa ni distraction au ndio mambo ya GOOD DAY TO BUSSY BAD NEWS wakati tunajua fika kuwa WIZARA YA MAMBO YA NCH ZA NJE KUNA KASHFA NZITO na UBALOZI WETU LONDON imekuwa implicated kwa kutoa KANDARASI KINYEMELA


waswahili walisema kuwa dalili za MVUA ni MAWINGU ....
 

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2006
Messages
4,160
Points
1,250

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2006
4,160 1,250
Mtumwitu,
Nakubaliana na maadili yako. Lakini mbona ile picha yako si ya mwitu? (ha!ha!ha)
BWANA jASUSI ILE NI PICHA YA KWETU UNGUJA, NNAZANI UNAJUA KUWA KULE KWTU UNGUJA KULIKUWA KUNA MWITU MWINGI NA ARDHI YAKE INA RUTUBA SAANA, NA JINA LA UNGUJA LINATOKANA NA UNGO JAAA, INAMAANISHA NI KISIWA CHENYE NEEEMA.

SASA MIE NNAAMINI MTU MWITU MAANA YAKE MTU ANATEGEMEA MWITU ILI AISHI AU KILIMO KWA LUGHA YA WAZI NA SIO KUWA MIMI NI MTU WA MWITUNI KAMA ALIVYONIITA NDUGU YANGU lunyuNGU
 

FairPlayer

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2006
Messages
4,166
Points
1,225

FairPlayer

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2006
4,166 1,225
Wana Jambo,

Naomba wakati tunamjadili Zitto na Amina, mtambue kwanza kuwa Nchimbi ndie aliyemsaidia Amina kupata Ubunge. Inawezekana baada ya kutoa msaada malipo hayakufanywa.....

Issue: AC kumbukeni vilevile ni controversial figure. Angalieni na zingatieni kuwa kabla ya hapo alikuwa tayari na talaka mbili. Hii ni ya tatu ambayo ni talaka rejea, Mpakanjia akitaka kumuoa (kumrudia tena) inabidi kwanza aolewe na kufanya tendo la ndoa na mtu mwingine. Kwanini alipewa hizo talaka 2 kabla?, ni swali hilo. La mwisho alipewa kwa kuhusishwa na Salimu Chicago yule kada wetu maarufu au salimu matelephone. Inadaiwa kuwa Mumewe aliiuza gari alilomnunulia (rav 4 milango mitatu), hiyo gari alinunua Fikirini madinda akampa mpenzi wake Aisha Madinda yule mnenguaji wa Twanga pepeta. AC akakasirika, yeye kuwa na gari isiyo na hadhi na lake kutumiwa na Mnenguaji. Talaka ya kwanza sijui alitembea na nani!!!?!!!.

Sasa inawezekana mumewe ana wivu sana au ndio tabia yake au Dr Nchimbi amemsingizia kwa sababu AC alitaka kugombea UV CCM taifa!!!! fikirieni nini kingetokea kama huyu dada angepata uwenyekiti!!!!.

Siasa at its best. Kampeni zimeanza. Inabidi huyu dada anyamazishwe mapema. Ni kipindi kifupi tu mumewe alioa mtoto wa kiarabu.

Kuhusu Mumewe kuandikia "umma" kuhusu kuachana na mkewe, hiyo ninaiita ni kwa ajili ya shule yao ndogo. issue ya kifamilia ya nini kuiweka public!!???

Kwako Zitto, sijui ni lini ulikuja Dar, kama ulikuja kimasomo (hukuwa mkazi) basi una mengi ya kujifunza mdogo wangu. Kama kweli umelala naye siwezi kushangaa sana. Ila .... kwa kumchukua mke wa mtu hapo ulikosea. Ma miss wooote wale mzee?!? njoo jijini tukupe vimwana. Ningekushauri ukae kimya wala usijibu hizi tuhuma si kwenye magazeti wala sio humu!

FD
 

Mkira

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2006
Messages
425
Points
195

Mkira

JF-Expert Member
Joined May 10, 2006
425 195
Habari zinasema Mpakanjila ameisha pata ushahidi wa kutosha ukiwemo na wa ViDEO! alifuatilia kwa muda mrefu!


Huyu Rais wetu mtarajiwa bwana ZITTO kumbe nw wewe una ugonjwa wa kupenda kama .......heheheeeeeee

huna nafasi tena ya kugombea urais!!!


bye!!
 

Samvulachole

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2006
Messages
414
Points
225

Samvulachole

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2006
414 225
Wana Jambo,

Naomba wakati tunamjadili Zitto na Amina, mtambue kwanza kuwa Nchimbi ndie aliyemsaidia Amina kupata Ubunge. Inawezekana baada ya kutoa msaada malipo hayakufanywa.....

Issue: AC kumbukeni vilevile ni controversial figure. Angalieni na zingatieni kuwa kabla ya hapo alikuwa tayari na talaka mbili. Hii ni ya tatu ambayo ni talaka rejea, Mpakanjia akitaka kumuoa (kumrudia tena) inabidi kwanza aolewe na kufanya tendo la ndoa na mtu mwingine. Kwanini alipewa hizo talaka 2 kabla?, ni swali hilo. La mwisho alipewa kwa kuhusishwa na Salimu Chicago yule kada wetu maarufu au salimu matelephone. Inadaiwa kuwa Mumewe aliiuza gari alilomnunulia (rav 4 milango mitatu), hiyo gari alinunua Fikirini madinda akampa mpenzi wake Aisha Madinda yule mnenguaji wa Twanga pepeta. AC akakasirika, yeye kuwa na gari isiyo na hadhi na lake kutumiwa na Mnenguaji. Talaka ya kwanza sijui alitembea na nani!!!?!!!.


FD
SHEKHE katika uislam HAKUNA TALAKA 3

mbona WAZIRI MKUU HATAJWI?
 

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2006
Messages
9,419
Points
2,000

Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2006
9,419 2,000
hapa mnafiki ni dr nchimbi...wengine wooote wakiwemo mabosi wake hajawaona ..kamuona zitto tu!! nini bwana au lilichomuuma ni mpinzani " kupiga" .....au kwa sababu amina anataka uenyekiti UV .....

KWA ZITTO if you are really slimshed please stand up...tuambie mshkaji umekula au unasingiziwa,na huyo nchimbi atafutwe aulizwe kamuona zitto tu!!!!
 

Samvulachole

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2006
Messages
414
Points
225

Samvulachole

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2006
414 225
FIKIRADUNI WROTE:
Sasa inawezekana mumewe ana wivu sana au ndio tabia yake au Dr Nchimbi amemsingizia kwa sababu AC alitaka kugombea UV CCM taifa!!!! fikirieni nini kingetokea kama huyu dada angepata uwenyekiti!!!!.Huyo mumewe hana wivu angekuwa na wivu angemuachia TAJIRI MTOTO amchekelee mkewe namna hiyo? Hivi huyu Mumewe ni wawapi? maana sidhani kama ni wa Pwani huyu.
 

FairPlayer

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2006
Messages
4,166
Points
1,225

FairPlayer

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2006
4,166 1,225
Zitto,

Nina moja nimepewa kuhusu simu uliyopigiwa na AC akiwa na mumewe kuthibitisha uhusiano wenu wakati wanajadili usuluhishi.... Kali sana kaka, ila kumbuka mpemba yule asije akakutoa busha:)

FD
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,391,509
Members 528,420
Posts 34,083,183
Top