Karibuni Wikiendii!

Karibuni Wikiendii!

Usiniambie hukuniwekea share??? It is not fair - utafanya nisikupe zawadi yako...:eyebrows:
Dah! Waliniambia eti una allergy na nyama ya mbuzi kumbe waongo aisee dah ngoja nimwambie jamaa hapa achome nyingine kwa ajili yako.
 
Dah! Waliniambia eti una allergy na nyama ya mbuzi kumbe waongo aisee dah ngoja nimwambie jamaa hapa achome nyingine kwa ajili yako.

And you believed them? kabla hujanikutanisha na kakako Brajec tulikua tunakula nini?
 
Afu TF mbona unapadharau kwangu ivo?
Ujue mie ndo yule mama muuza wa Tandale.

Siku hizi huji kula utumbo wa kuku mbona?

Kama huyu ndugu yetu Asprin naye ameanza kuhudhuria zile baa za mama wauza kule Tandale kama Klorokwin basi kwisha kazi
 
And you believed them? kabla hujanikutanisha na kakako Brajec tulikua tunakula nini?
Dah! Huu msala sasa hebu njoo halafu tumalize hii kesi i know how to deal with this problem...
 
Afu TF mbona unapadharau kwangu ivo?
Ujue mie ndo yule mama muuza wa Tandale.

Siku hizi huji kula utumbo wa kuku mbona?
Khaaa! Tatizo lako alipokuwa akifika Klorokwin ulikuwa unamuwekea utumbo wa leo leo sie unatuwekea uliolala siku mbili
 
I think it is time i took that safari.... Just Brace yourself!!!
Usiogope mamaa, mi nilijua nitachelewa, nilifika saa 8 kasoro, nikaacha bia ila niliongoka na mguu, kipande cha maini na moyo. sasa ngoja nipashe pashe alafu tukakae nikwambie what you missed tukiwa safari
 
Usiogope mamaa, mi nilijua nitachelewa, nilifika saa 8 kasoro, nikaacha bia ila niliongoka na mguu, kipande cha maini na moyo. sasa ngoja nipashe pashe alafu tukakae nikwambie what you missed ukiwa safari
Dah! Nimetafuta huo mguu kweli kumbe wewe ndio umeondoka nao
 
Back
Top Bottom