Karibuni Wikiendii!

Ha ha ha... Fidel mswalie mtume, mie sina hata bustani wala pawa tila hicho kilimo kwanza ntakitekelezaje?
Mimi si muingiaji wa mara kwa mara kwenye hili jukwaa la MMU. Lakini baada ya kunikuta yanayonikuta sasa nikawa sina ujanja, ikabidi niingie humu kutafuta msaada wa magwiji.

Nina tatizo moja ambalo sijui kama wenzangu wengine mnalo.
Sex drive yangu iko very low kwa wanawake ambao ama ni wazuri (haiba nzuri) au wana mafanikio (elimu, kipato, nk). Ni kinyume chake kwa wanawake ambao hawana attributes nilizozitaja.

Mfano mmoja. Nina mtu wangu wa karibu (mpenzi) ambaye kwa kweli - mashallah - amejaaliwa kwa haiba. Nikitoka naye, kila shingo na jicho vinatufuata tunapopita. She's quite an attractive woman, kusema za ukweli. Hata kipato chake si haba, nadhani kinalingana na cha kwangu au kama nimemzidi basi ni kwa kiasi kidogo sana. Huyu dada amesababisha nivalishwe celebrity status fulani hivi kutokana na mvuto alio nao. Lakini kinachonitatiza, linapokuja suala la kufanya naye mapenzi huwa sisisimuki naye kabisa. Sijui tatizo ni nini kwa sababu she's very attractive and she knows how to treat a man in bed (you men should know what am talking about here).

Kwa upande mwingine, huwa napenda kupata kinywaji changu kwenye pub moja hivi hapa mjini. Kuna huyu waitress. She is not all that kwa haiba yake kwa kweli, lakini nikajikuta naanza kumfeel na mtoto akatambua hilo (kwa vile na mimi haiba yangu si mbaya kivile, ukichanganya na vitip nimpavyo ndo kabisaa!). Since I slept with her for the first time, nimekuwa nikitamani kuwa naye more often than to be with my own woman. Huwa najikuta na-enjoy sana ku-sex naye. Huwa natafuta visingizio vingi vya kutofanya mapenzi na mtu wangu ili tu niweze ku-enjoy na huyu waitress!

Sijui tatizo langu ni nini jamani. Naombeni ushauri na msaada wa haraka kwa sababu deep down mimi mwenyewe naona hizi feelings zangu ziko totally misplaced.

Nakosa raha kabisa!
 
Thanks pal, namiss sana bia za stuli ndefu, huku East Timor vijamaa vinapiga gitaa na kutafuta wamama wazee wa asutralia tu wapate pesa ya kula, hakuna raha kama kwetu tunapoagiza kwa sauti kuu

Bia ni Tamu kuliko Ngono
Karibuni kaunta ya juu na Condoms zenu.
Sie tushazeeka kazi ni moja tu.
Kunywa na kunywa afu kunywa tena zaidi. Kunywa kwa spidi. Kunywaaa afu Kulala!! Kudadadadadeki!

Ukimwi ni mzito kubeba kuliko mimba
Babu hiyo biya ya Kunywa Afu bado ipo
 
Wala hata staki tena ..
umenialika mi wa mwishoooo.
Mate yanani dondoka sasa loooh
unajua utalala wapi leo..
 
@ TF tafadhalini hakikisheni Asprin hakunywi biya ya 18 manake hali yake inantia wasiwasi, ameanza kunena kwa lugha jaman, khaa.
 
Naomba unisaidie, nina experience ya kukutana na vibinti yaani niko kwenye hatua za awali za kutongoza hata kabla jibu la kukubaliwa au kukataliwa, binti anaanza kumwaga matatizo yake.... na ukikaa vibaya ooh kodi ya nyumba imeisha ooh tv yangu ni ya kizamani nahitaji Digital Tv oooh....
wananikera mnooooo​

Mimi si muingiaji wa mara kwa mara kwenye hili jukwaa la MMU. Lakini baada ya kunikuta yanayonikuta sasa nikawa sina ujanja, ikabidi niingie humu kutafuta msaada wa magwiji.

Nina tatizo moja ambalo sijui kama wenzangu wengine mnalo.
Sex drive yangu iko very low kwa wanawake ambao ama ni wazuri (haiba nzuri) au wana mafanikio (elimu, kipato, nk). Ni kinyume chake kwa wanawake ambao hawana attributes nilizozitaja.

Mfano mmoja. Nina mtu wangu wa karibu (mpenzi) ambaye kwa kweli - mashallah - amejaaliwa kwa haiba. Nikitoka naye, kila shingo na jicho vinatufuata tunapopita. She's quite an attractive woman, kusema za ukweli. Hata kipato chake si haba, nadhani kinalingana na cha kwangu au kama nimemzidi basi ni kwa kiasi kidogo sana. Huyu dada amesababisha nivalishwe celebrity status fulani hivi kutokana na mvuto alio nao. Lakini kinachonitatiza, linapokuja suala la kufanya naye mapenzi huwa sisisimuki naye kabisa. Sijui tatizo ni nini kwa sababu she's very attractive and she knows how to treat a man in bed (you men should know what am talking about here).

Kwa upande mwingine, huwa napenda kupata kinywaji changu kwenye pub moja hivi hapa mjini. Kuna huyu waitress. She is not all that kwa haiba yake kwa kweli, lakini nikajikuta naanza kumfeel na mtoto akatambua hilo (kwa vile na mimi haiba yangu si mbaya kivile, ukichanganya na vitip nimpavyo ndo kabisaa!). Since I slept with her for the first time, nimekuwa nikitamani kuwa naye more often than to be with my own woman. Huwa najikuta na-enjoy sana ku-sex naye. Huwa natafuta visingizio vingi vya kutofanya mapenzi na mtu wangu ili tu niweze ku-enjoy na huyu waitress!

Sijui tatizo langu ni nini jamani. Naombeni ushauri na msaada wa haraka kwa sababu deep down mimi mwenyewe naona hizi feelings zangu ziko totally misplaced.

Nakosa raha kabisa!

hahahahaha umeungana na mtoa mada
 
hivi hizi sred zimeingiliana au ni mimi mwenyewe nimeingiliana?
Kwa jinsi navyo mfahamu Julio na Mkwasa...huwa wanapenda watu wampira wakukaa nao..yaani viungo wengi..pia wao kama makocha huwa wanafundisha mpira jihadi..

kuhusu hao kutoka coastal na moro na ruvu..sio ttz...wameitwa wachezaji 28,na mashindano wanatakiwa 20,ni kugombea nafasi
na said maulid kaambiwa njoo ugombee namba kama unaweza....

ila vijana pia wako..na ndio hao wametoka coastal.moro na ruvu
pia tukumbuke kuna mashindano mengine ya COSAFA. U-18..timu ya NgoroNgoro Heros wanashiriki ni wiik ijayo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom